Wanaoichukia AI wapata pigo: Sasa Injili ni mbele kwa mbele!

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Hivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo zisiwafikie watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya ya AI kwamba haifai kutumiwa katika kazi za Injili.

Sasa, kuanzia leo jina AI limebadilishwa rasmi kuwa "SI" yaani Super Intelligence. Wabunifu wa jina hili jipya wameona kuwa kuendelea kuiita teknolojia hii mpya "AI" ni kuifanya ionekane feki, wakati hii ni teknolojia ya hali ya juu na yenye kupendeza.

Mimi naungana nao kwa asilimia 200, kwa sababu teknolojia hii inatimiza unabii wa Daniel kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka (Dan 12:4). Kubadilishwa kwa jina hilo kutaifanya pia teknolojia hii ipendwe na watumishi wengi wa Mungu, na hivyo kuifanya Injili ihubiriwe kwa kasi zaidi ulimwenguni pote, na kutimiza tena unabii wa Yesu Kristo mwenyewe kwamba Injili ikiishahubiriwa ulimwenguni pote, hapo ndipo mwisho wa dunia utakapokuja (Mt 24:14).

Kuanzia leo teknolojia hii ukiiita AI utaonekana umepitwa na wakati. Wenzako sasa tunaiita Super Intelligence. Wabunifu wa maneno ya Kiswahili sijui wataiitaje; muda utaongea.

Haya jamani watumishi wenzangu wa Mungu, tuchangamke, tuitumie Super Intelligence(SI), kuandaa video, nyimbo, tafsiri, vipindi na makala mbalimbali zinazofikisha Ujumbe wa Kristo kwa watu wengi zaidi. YESU YU KARIBU KURUDI(Ufu 22:10-12).
 
Hivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo kuwafikia watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya ya AI kwamba haifai kutumiwa katika kazi za Injili.

Sasa, kuanzia leo jina AI limebadilishwa rasmi na kuitwa "SI" yaani Super Intelligence. Wabunifu wa jina hili jipya wameona kuwa kuendelea kuiita teknolojia hii mpya "AI" ni kuifanya ionekane feki, wakati hii ni teknolojia ya hali ya juu na yenye kupendeza.

Mimi naungana nao kwa asilimia 200, kwa sababu teknolojia hii inatimiza unabii wa Daniel kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka (Dan 12:4). Kubadilishwa kwa jina hilo kutaifanya pia teknolojia hii ipendwe na watumishi wengi wa Mungu, na hivyo kuifanya Injili ihubiriwe kwa kasi zaidi ulimwenguni pote, na kutimiza tena unabii wa Yesu Kristo mwenyewe kwamba Injili ikiishahubiriwa ulimwenguni pote, hapo ndipo mwisho wa dunia utakapokuja (Mt 24:14).

Kuanzia leo teknolojia hii ukiita AI utaonekana umepitwa na wakati. Wenzako sasa tunaiita Super Intelligence. Wabunifu wa maneno ya Kiswahili sijui wataiitaje; muda utaongea.

AI imekuja kupora na kunyang'anya nafasi ya roho Mtakatifu
 
Yani huwa unachanganya mambo si kidogo
 
Nyimbo nyingi za AI ama sijui tuziite za SI kama ulivyodai ndugu mtoa Uzi, ni moja kati ya nyimbo za hovyo haswaaa yaani hazina vina wala mizani aibu tupu!!
 
Hivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo kuwafikia watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya ya AI kwamba haifai kutumiwa katika kazi za Injili.

Sasa, kuanzia leo jina AI limebadilishwa rasmi na kuitwa "SI" yaani Super Intelligence. Wabunifu wa jina hili jipya wameona kuwa kuendelea kuiita teknolojia hii mpya "AI" ni kuifanya ionekane feki, wakati hii ni teknolojia ya hali ya juu na yenye kupendeza.

Mimi naungana nao kwa asilimia 200, kwa sababu teknolojia hii inatimiza unabii wa Daniel kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka (Dan 12:4). Kubadilishwa kwa jina hilo kutaifanya pia teknolojia hii ipendwe na watumishi wengi wa Mungu, na hivyo kuifanya Injili ihubiriwe kwa kasi zaidi ulimwenguni pote, na kutimiza tena unabii wa Yesu Kristo mwenyewe kwamba Injili ikiishahubiriwa ulimwenguni pote, hapo ndipo mwisho wa dunia utakapokuja (Mt 24:14).

Kuanzia leo teknolojia hii ukiita AI utaonekana umepitwa na wakati. Wenzako sasa tunaiita Super Intelligence. Wabunifu wa maneno ya Kiswahili sijui wataiitaje; muda utaongea.

Haya jamani watumishi wenzangu wa Mungu, tuchangamke, tuitumie Super Intelligence(SI), kuandaa video, nyimbo, tafsiri, vipindi na makala mbalimbali zinazofikisha Ujumbe wa Kristo kwa watu wengi zaidi. YESU YU KARIBU KURUDI(Ufu 22:10-12).
Kuna dini wenye sayansi? 😂😂😂
We naye unakuwa unaonekana kama una mihemko uliyoshindwa kuidhibitu
 
Hivi kuna mtu mwenye mihemuko kama wewe. Leo umekasirika mpaka umekataa hata kuwapa update wateja wako. Ngoja nikupe dawa ya kuondoa hasira. Hii hapa, kunywa:
Mhubiri 7:9
Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
 
Sina mihemko we Dada , huu ujinga unaofanywa na Mods siwezi ku entertain hata mara moja .

Mtu anaanzisha uzi saa 2 asbh kabla ya Mahakama kukaa, halafu ninayeanzisha uzi baada ya Mahakama kukaa ninakuwa nimekosea ?

Acha waendelee hivyo hivyo, maana hawatuthamini wateja tunaofuata kanuni kwa ufasaha
 
Maandiko yananiambia sio vizuri kumhukumu mtu kabla ya kumsikia akijitetea. Soma Yohana 7:51. Imeandikwa hivi: Nikodemo akasema: “Je! Sheria yetu humhukumu mtu, isipokuwa kwanza imsikie, na kujua atendavyo?”

Hao wakuu wa JF kabla hujawahukumu kuwa wanafanya ujinga, uliwauliza kwanza kwanini huwa wanaunganisha uzi wako? Sasa ulichokifanya leo ni ile waswahili wanasema "hasira hasara." Ndio maana nimekupa hii dawa unywe upone.
Mhubiri 7:9
Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
 
Hakuna dini inakubali Sayansi acha kudanganya watu
Hivi hapa vifungu vya Biblia vinavyoonyesha ukweli wa kisayansi karne nyingi kabla wanasayansi hawajagundua mambo ya kisayansi kwa kutumia mitambo:

1. Umbo la Dunia: Isaya 40:22 inasema, "Yeye ndiye anayeketi juu ya duara la dunia..." Aya hii ilitaja umbo la duara (sphere) la dunia wakati ambapo mataifa mengi ya kale walikuwa wanaamini dunia ni bapa.

2. Fizikia na Jiolojia: Ayubu 26:7 inasema, "Yeye hutandaza kaskazini juu ya nafasi tupu, na kuining'iniza dunia pasipo na kitu." Maandiko haya yanathibitisha kuwa dunia iko angani bila kushikiliwa na nguzo yoyote, jambo linaloendana na sheria ya sasa ya nguvu ya uvutano (gravity).

3. Mzunguko wa Maji: Mhubiri 1:7 Inasema, "Mito yote huingia baharini, walakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena." Huu ni ufafanuzi kamili wa kisayansi wa mzunguko wa maji (hydrological cycle). Mvua inanyesha, inaingia mtoni/baharini, maji yanayeyuka na kurudi hewani kuwa mawingu.

4. Uhai na Tiba: Mambo ya Walawi 17:11 inasema, "Kwa kuwa uhai nguvu za mwili u katika hiyo damu." Hadi karne ya 19, matabibu walikuwa wanatibu wagonjwa kwa "kunyonya damu" (bloodletting), jambo lililoua watu wengi (akiwemo George Washington). Biblia ilionya mapema kuwa uhai unategemea damu.

Katika Mithali 4:13 tunaambiwa pia hivi:
"Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako."

Elimu inayozungumzwa hapo ni pamoja na elimu ya sayansi inayotufundisha kuchemsha maji ya kunywa ili kuua vijidudu vya magonjwa, kupiga mswaki, kula vyakula vya aina zote badala ya kuchagua chagua, kuoga, kufua nguo. Yote hayo ni sehemu ya elimu ya sayansi na yanakubalika kibiblia.

Nilishawaambia Biblia ina hazina nyingi zilizojificha, lakini watu wamedanganywa na shetani wasiisome wakaerevuka.

Anza leo kusoma Biblia utagundua mambo mengi ya kukusaidia kiafya, kielimu, kikazi na kibiashara

cc: Manyanza Gunner11
 
Back
Top Bottom