Wanaoichukia AI wapata pigo: Sasa Injili ni mbele kwa mbele!

Kweli, yale maswali nilokuwa namuuliza roho saivi nauilza AI tu
Hilo ndo kusudi hasa la AI. Setfree aone mashahidi mmeanza kujitokeza, maana wakati mwingine Roho Mtakatifu hatafsiri ndoto yako kwa haraka, unaingia AI.

Roho Mtakatifu, mwalimu amechelewa kukufundisha jambo, unazama AI

Roho Mtakatifu mshauri wa ajabu ukiona anachelewa unaomba msaada AI
 
Hivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo zisiwafikie watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya ya AI kwamba haifai kutumiwa katika kazi za Injili.

Sasa, kuanzia leo jina AI limebadilishwa rasmi kuwa "SI" yaani Super Intelligence. Wabunifu wa jina hili jipya wameona kuwa kuendelea kuiita teknolojia hii mpya "AI" ni kuifanya ionekane feki, wakati hii ni teknolojia ya hali ya juu na yenye kupendeza.

Mimi naungana nao kwa asilimia 200, kwa sababu teknolojia hii inatimiza unabii wa Daniel kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka (Dan 12:4). Kubadilishwa kwa jina hilo kutaifanya pia teknolojia hii ipendwe na watumishi wengi wa Mungu, na hivyo kuifanya Injili ihubiriwe kwa kasi zaidi ulimwenguni pote, na kutimiza tena unabii wa Yesu Kristo mwenyewe kwamba Injili ikiishahubiriwa ulimwenguni pote, hapo ndipo mwisho wa dunia utakapokuja (Mt 24:14).

Kuanzia leo teknolojia hii ukiiita AI utaonekana umepitwa na wakati. Wenzako sasa tunaiita Super Intelligence. Wabunifu wa maneno ya Kiswahili sijui wataiitaje; muda utaongea.

Haya jamani watumishi wenzangu wa Mungu, tuchangamke, tuitumie Super Intelligence(SI), kuandaa video, nyimbo, tafsiri, vipindi na makala mbalimbali zinazofikisha Ujumbe wa Kristo kwa watu wengi zaidi. YESU YU KARIBU KURUDI(Ufu 22:10-12).

Aya bhan ila watu wa dini kwa ujuaji 😂

Kwamba AI inasambaza injili
 
Hivi hapa vifungu vya Biblia vinavyoonyesha ukweli wa kisayansi karne nyingi kabla wanasayansi hawajagundua mambo ya kisayansi kwa kutumia mitambo:

1. Umbo la Dunia: Isaya 40:22 inasema, "Yeye ndiye anayeketi juu ya duara la dunia..." Aya hii ilitaja umbo la duara (sphere) la dunia wakati ambapo mataifa mengi ya kale walikuwa wanaamini dunia ni bapa.

2. Fizikia na Jiolojia: Ayubu 26:7 inasema, "Yeye hutandaza kaskazini juu ya nafasi tupu, na kuining'iniza dunia pasipo na kitu." Maandiko haya yanathibitisha kuwa dunia iko angani bila kushikiliwa na nguzo yoyote, jambo linaloendana na sheria ya sasa ya nguvu ya uvutano (gravity).

3. Mzunguko wa Maji: Mhubiri 1:7 Inasema, "Mito yote huingia baharini, walakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena." Huu ni ufafanuzi kamili wa kisayansi wa mzunguko wa maji (hydrological cycle). Mvua inanyesha, inaingia mtoni/baharini, maji yanayeyuka na kurudi hewani kuwa mawingu.

4. Uhai na Tiba: Mambo ya Walawi 17:11 inasema, "Kwa kuwa uhai nguvu za mwili u katika hiyo damu." Hadi karne ya 19, matabibu walikuwa wanatibu wagonjwa kwa "kunyonya damu" (bloodletting), jambo lililoua watu wengi (akiwemo George Washington). Biblia ilionya mapema kuwa uhai unategemea damu.

Katika Mithali 4:13 tunaambiwa pia hivi:
"Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako."

Elimu inayozungumzwa hapo ni pamoja na elimu ya sayansi inayotufundisha kuchemsha maji ya kunywa ili kuua vijidudu vya magonjwa, kupiga mswaki, kula vyakula vya aina zote badala ya kuchagua chagua, kuoga, kufua nguo. Yote hayo ni sehemu ya elimu ya sayansi na yanakubalika kibiblia.

Nilishawaambia Biblia ina hazina nyingi zilizojificha, lakini watu wamedanganywa na shetani wasiisome wakaerevuka.

Anza leo kusoma Biblia utagundua mambo mengi ya kukusaidia kiafya, kielimu, kikazi na kibiashara

cc: Manyanza Gunner11

🚮🚮😀 Vilevile inasema Dunia iliumbwa kwa siku tu. Sisi wote ni familia ya Nuhu, jua lilisima siku 3, kulikuwa na mwanga kabla ya jua, Dunia ilianza ikafuata jua na nyota nyingine. Aya bhan kama Biblia imekuwa sayansi siku hizi nawapongeza.
 
Aya bhan ila watu wa dini kwa ujuaji 😂

Kwamba AI inasambaza injili
Hii picha hujaona kwamba inasambaza Injili? Au unafikiri huyu ni mtu halisi?
Zaburi 27_1.png
 
🚮🚮😀 Vilevile inasema Dunia iliumbwa kwa siku tu. Sisi wote ni familia ya Nuhu, jua lilisima siku 3, kulikuwa na mwanga kabla ya jua, Dunia ilianza ikafuata jua na nyota nyingine. Aya bhan kama Biblia imekuwa sayansi siku hizi nawapongeza.
Pole sana, wewe ni miongoni mwa watu waliokuwa wanaipinga AI na kuiona kama kitu feki. Sijui unajisikiaje sasa 'kuhabarishwa' kuwa AI 'imepandishwa cheo' na kuitwa Super Intelligence (AI).
Njia za Mungu hazizuiliki. Injili sasa itahubiriwa kwa viwango vya juu sana kwa kutumia Super Intelligence. Hata Wachina watasikia Injili.
约翰福音 3:16
神爱世人,甚至将他的独生子赐给他们,叫一切信他的,不至灭亡,反得永生。
 
Hii kama ni wewe naenda kuipigia nyeto polepole. Hapa unafanya vijana wanaipenda injili polepole huku wakiburudika.
Mungu akuhurumie, yasikupate yaliyompata huyu aliyekuwa akifanya uchafu huo
 
Wakuu mliotajwa hapa, AI sasa inaitwa SI (Super Intelligence). Please consider editing your recent posts and comments by replacing “AI” with “SI” (Super Intelligence). President Trump and the White House have already officially made this change, so it’s time we all started using the new terminology.
Baba mtakatifu91
Binadamu Mtakatifu
Blueboy Jr
Dr. Said
Fbn
gwapole
Heavy User
Hulda-Tamarri
Masokotz
Mindyou
Mshana Jr
Mwl.RCT
ndege JOHN
peace2007
Poor Brain
Richer
Smart911
The mission 2017
Wakusoma 12
Xi Jinping
Yoyo Zhou
Zero Star
 
Pole sana, wewe ni miongoni mwa watu waliokuwa wanaipinga AI na kuiona kama kitu feki. Sijui unajisikiaje sasa 'kuhabarishwa' kuwa AI 'imepandishwa cheo' na kuitwa Super Intelligence (AI).
Njia za Mungu hazizuiliki. Injili sasa itahubiriwa kwa viwango vya juu sana kwa kutumia Super Intelligence. Hata Wachina watasikia Injili.
约翰福音 3:16
神爱世人,甚至将他的独生子赐给他们,叫一切信他的,不至灭亡,反得永生。

Sawa mama, just keep in mind AI is nothing than a tool, nothing than alogarithms, nothing more than instructions, nothing more than a computer. Kwahiyo the issue isn't italeta udini au sijui kitu gani but it's there kusambaza maarifa itatengezea non believers kutokana na wigo mpana wa maarifa na vilevile wenye Imani wataendelea kubaki kwenye comfort zone yako. Just be smart don't let AI give you such confidence bado haujui unaongea nini mama jifunze kuwa mpole.

Ujuaji sio mzuri, don't make claims you can't prove. Don't think you know better than others. Anyway goodnight.
 
Punyeto sio mbaya na Haina madhara kiafya may be addiction. Watu wamekuwa wakifanya kwa miaka bil shida.
 
Just be smart don't let AI give you such confidence
Sio confidence, ni reality, tembelea youtube usearch channel hii @TheAIBibleOfficial - created by Pray.com, this high-profile project brings stories from the Old Testament and the Book of Revelation to life through highly cinematic, blockbuster-style storytelling. Its visually powerful approach has attracted widespread attention from theologians and viewers alike, presenting the Bible as an expansive and interconnected “Marvel universe of faith” and making these timeless biblical narratives accessible to a new generation.
 
Punyeto sio mbaya na Haina madhara kiafya may be addiction. Watu wamekuwa wakifanya kwa miaka bil shida.
Hata huyo jamaa alikuwa anajitetea hivyo hivyo hadi hilo janga lilipomkuta ndio akabadilika.
Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo atavunjika ghafla.(Mit 29:1-14)
 
Roho wa Mungu anapasa kuishi katika mwili wa mwanadamu anayeamini na kutimiza mapenzi ya Mungu.AI au SI ni roho wa mfalme wa anga(shetani)alifukuzwa na Mungu na kutumia anga kufanya kazi zake kuhadaa roho za binadamu ili waufuate ufalme wake.Tunapasa kuwa macho nyakati hizi
 
Sawa sikuhizi tunatengeneza roho chumbani kwetu
 
Hivi hapa vifungu vya Biblia vinavyoonyesha ukweli wa kisayansi karne nyingi kabla wanasayansi hawajagundua mambo ya kisayansi kwa kutumia mitambo:

1. Umbo la Dunia: Isaya 40:22 inasema, "Yeye ndiye anayeketi juu ya duara la dunia..." Aya hii ilitaja umbo la duara (sphere) la dunia wakati ambapo mataifa mengi ya kale walikuwa wanaamini dunia ni bapa.

2. Fizikia na Jiolojia: Ayubu 26:7 inasema, "Yeye hutandaza kaskazini juu ya nafasi tupu, na kuining'iniza dunia pasipo na kitu." Maandiko haya yanathibitisha kuwa dunia iko angani bila kushikiliwa na nguzo yoyote, jambo linaloendana na sheria ya sasa ya nguvu ya uvutano (gravity).

3. Mzunguko wa Maji: Mhubiri 1:7 Inasema, "Mito yote huingia baharini, walakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena." Huu ni ufafanuzi kamili wa kisayansi wa mzunguko wa maji (hydrological cycle). Mvua inanyesha, inaingia mtoni/baharini, maji yanayeyuka na kurudi hewani kuwa mawingu.

4. Uhai na Tiba: Mambo ya Walawi 17:11 inasema, "Kwa kuwa uhai nguvu za mwili u katika hiyo damu." Hadi karne ya 19, matabibu walikuwa wanatibu wagonjwa kwa "kunyonya damu" (bloodletting), jambo lililoua watu wengi (akiwemo George Washington). Biblia ilionya mapema kuwa uhai unategemea damu.

Katika Mithali 4:13 tunaambiwa pia hivi:
"Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako."

Elimu inayozungumzwa hapo ni pamoja na elimu ya sayansi inayotufundisha kuchemsha maji ya kunywa ili kuua vijidudu vya magonjwa, kupiga mswaki, kula vyakula vya aina zote badala ya kuchagua chagua, kuoga, kufua nguo. Yote hayo ni sehemu ya elimu ya sayansi na yanakubalika kibiblia.

Nilishawaambia Biblia ina hazina nyingi zilizojificha, lakini watu wamedanganywa na shetani wasiisome wakaerevuka.

Anza leo kusoma Biblia utagundua mambo mengi ya kukusaidia kiafya, kielimu, kikazi na kibiashara

cc: Manyanza Gunner11
1. Principal kuu ya Sayansi ni kuthibitisha. Unaweza kuthibitisha Kuna mtu anaeketi juu ya dunia
 
Back
Top Bottom