Hii ni kwa watakatifu feki tulio nao nyakati hiziAI imekuja kupora na kunyang'anya nafasi ya roho Mtakatifu
Nani amekuambia Roho Mtakatifu huwa anachelewa? By the way, usiongozwe na ndoto. Ndoto ni makapi (Yeremia 23:28IHilo ndo kusudi hasa la AI. Setfree aone mashahidi mmeanza kujitokeza, maana wakati mwingine Roho Mtakatifu hatafsiri ndoto yako kwa haraka, unaingia AI.
Nani amekuambia Roho Mtakatifu huwa anachelewa, wakati kazi yake ni kutuongoza na kututia kwenye kweli yoteRoho Mtakatifu, mwalimu amechelewa kukufundisha jambo, unazama AI
Usichanganye masomo, mshauri wa ajabu ni Yesu (Isaya 9:6 ). Roho Mtakatifu ni Msaidizi (Yn 14:16)Roho Mtakatifu mshauri wa ajabu ukiona anachelewa unaomba msaada AI
Umekosea kidogo ....AI ni Sananu ya 666...na 666 ni "mwili wako mwanadamu" ....AI ni 666
Mathayo 22:29Kuhusu AI ..na sanamu ya huyo mnyama imeandikwa naye huyp mnyama 666 akapewa kuipulizia pumzi hiyp sanamu mpaka ikanena (maana yake ni kuiprogram) nayo ikanena makufuru ..maana yake hiyo AI itatukuzwa kuliko Mungu na Roho mtakatifu katika inenayo.
NONSENSE ..kama 666 ni kitu kijacho ...je wafu wote waliokufa kabla ya hiyo 666 wata kwenda PEPONI ? ...maana imeandikwa kuwa wenye chapa ya huyo mnyama ndiyo watakao tupwa jehanam ......je kuna sababu zaidi ya DHAMBI inayo mfanya mtu kutupwa jehanam..? HAKUNA SABABU ZAIDI YA DHAMBI INAYO MFANYA MTU ATUPWE JEHANAM HIVYO CHAPA HAPO NI DHAMBI ...SASA SWALI... JE DHAMBI IPO TOKA BINADAMU WA KWANZA..? JIBU NI NDIYO, DHAMBI IPO TOKA ADAMU NA HAWA, SASA UTASEMAJE KUWA 666 NI KITU KIJACHO .... SWALI LA PILI NI ILI ...imeandikwa watu wakashangaa kwa kuwa huyo Mnyama alikuwako kisha akapotea kisha akawako tena mara ya 3 nakupanda kwenda kwenye uhalibifu ...nipe fafanuzi yake sawa sawa na mafundisho yako..maana ya MNYAMA KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA KUWAKO TENA MARA YA TATU 3 NA IKAWA NI AJABU MAANA YAKE NI MWANADAMU ..Mathayo 22:29
"...Mnapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu."
Kwa taarifa yako, 666 haitafanya kazi mpaka Kanisa linyakuliwe.
Unadai eti AI itatukuzwa kuliko Mungu na Roho Mtakatifu. Tazama hii picha hapa inavyokuaibisha.
Anayetukuzwa kwenye hii picha iliyotengenezwa na SI, ni nani?
View attachment 3677314
Halafu, wewe Lwiva usitumie tena jina AI kwenye mabandiko yako. Hilo jina limeishapitwa na wakati.
Sema Super Intelligence (SI).
cc: Yoda
Ntakujibu, subiri...NONSENSE ..kama 666 ni kitu kijacho ...je wafu wote waliokufa kabla ya hiyo 666 watakenda PEPONI ...maana imeandikwa kuwa wenye chapa ya huyo mnyama ndiyo watakao tupwa jehanam ......je kuna sababu zaidi ya DHAMBI inayo mfanya mtu kutupwa jehanam..? HAKUNA SABABU ZAIDI YA DHAMBI INAYO MFANYA MTU ATUPWE JEHANAM HIVYO CHAPA HAPO NI DHAMBI ...SASA SWALI... JE DHAMBI IPO TOKA BINADAMU WA KWANZA..? JIBU NI NDIYO, DHAMBI IPO TOKA ADAMU NA HAWA, SASA UTASEMAJE KUWA 666 NI KITU KIJACHO .... SWALI LA PILI NI ILI ...imeandikwa watu wakashangaa kwa kuwa huyo Mnyama alikuwako kisha akapotea kisha akawako tena mara ya 3 nakupanda kwenda kwenye uhalibifu ...nipe fafanuzi yake sawa sawa na mafundisho yako..maana ya MNYAMA KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA KUWAKO TENA MARA YA TATU 3 NA IKAWA NI AJABU MAANA YAKE NI MWANADAMU ..
1)UISHI
2)UFA
3)UFUFULIWA
HIvyo hiyo mara ya 3 ni kufufuliwa kwa watu wote na waovu kupelekwa kwenye uhalibifu yaani kutupwa jehanam.
Niliahidi nitakujibu. Hata hivyo nitakujibu kiujumla kwa sababu somo kuhusu Mnyama na namba 666 ni refu sana, linahitaji muda mwingi kulielezea.NONSENSE ..kama 666 ni kitu kijacho ...je wafu wote waliokufa kabla ya hiyo 666 watakenda PEPONI ...maana imeandikwa kuwa wenye chapa ya huyo mnyama ndiyo watakao tupwa jehanam ......je kuna sababu zaidi ya DHAMBI inayo mfanya mtu kutupwa jehanam..? HAKUNA SABABU ZAIDI YA DHAMBI INAYO MFANYA MTU ATUPWE JEHANAM HIVYO CHAPA HAPO NI DHAMBI ...SASA SWALI... JE DHAMBI IPO TOKA BINADAMU WA KWANZA..? JIBU NI NDIYO, DHAMBI IPO TOKA ADAMU NA HAWA, SASA UTASEMAJE KUWA 666 NI KITU KIJACHO .... SWALI LA PILI NI ILI ...imeandikwa watu wakashangaa kwa kuwa huyo Mnyama alikuwako kisha akapotea kisha akawako tena mara ya 3 nakupanda kwenda kwenye uhalibifu ...nipe fafanuzi yake sawa sawa na mafundisho yako..maana ya MNYAMA KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA KUWAKO TENA MARA YA TATU 3 NA IKAWA NI AJABU MAANA YAKE NI MWANADAMU ..
1)UISHI
2)UFA
3)UFUFULIWA
HIvyo hiyo mara ya 3 ni kufufuliwa kwa watu wote na waovu kupelekwa kwenye uhalibifu yaani kutupwa jehanam.
Soma uzi huu upate ufahamu zaidi kuhusu mlolongo wa mambo yatakayotokea soonNONSENSE ..kama 666 ni kitu kijacho ...je wafu wote waliokufa kabla ya hiyo 666 watakenda PEPONI ...maana imeandikwa kuwa wenye chapa ya huyo mnyama ndiyo watakao tupwa jehanam ......je kuna sababu zaidi ya DHAMBI inayo mfanya mtu kutupwa jehanam..? HAKUNA SABABU ZAIDI YA DHAMBI INAYO MFANYA MTU ATUPWE JEHANAM HIVYO CHAPA HAPO NI DHAMBI ...SASA SWALI... JE DHAMBI IPO TOKA BINADAMU WA KWANZA..? JIBU NI NDIYO, DHAMBI IPO TOKA ADAMU NA HAWA, SASA UTASEMAJE KUWA 666 NI KITU KIJACHO .... SWALI LA PILI NI ILI ...imeandikwa watu wakashangaa kwa kuwa huyo Mnyama alikuwako kisha akapotea kisha akawako tena mara ya 3 nakupanda kwenda kwenye uhalibifu ...nipe fafanuzi yake sawa sawa na mafundisho yako..maana ya MNYAMA KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA KUWAKO TENA MARA YA TATU 3 NA IKAWA NI AJABU MAANA YAKE NI MWANADAMU ..
1)UISHI
2)UFA
3)UFUFULIWA
HIvyo hiyo mara ya 3 ni kufufuliwa kwa watu wote na waovu kupelekwa kwenye uhalibifu yaani kutupwa jehanam.
eschatologySoma uzi huu upate ufahamu zaidi kuhusu mlolongo wa mambo yatakayotokea soon
Heshima zenu wakuu.
Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja.
![]()
Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!
Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini Yerusalemu. Ujenzi wa hekalu la tatu ni hatua muhimu sana kwa Waisraeli katika maandalizi ya kumpokea...www.jamiiforums.com
Nakusihi usome kwa makini uzi huu usije ukasema hukujua au hukuambiwa, mambo haya yatakapoanza kutokea:
1. Kunyakuliwa kwa Kanisa
Tukio hili litafanyika wakati Yesu atakapokuja mawinguni kulichukua Kanisa, yaani wote...
- Setfree
- mambo mazito wakati yajue yesu
- Replies: 39
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Soma uzi huu upate ufahamu zaidi kuhusu mlolongo wa mambo yatakayotokea soon

Amekutuma umsemee?
Watu wa madhehebuni siku zote mna akili finyu sana ...ndiyo sababu kila siku mnabadili gia angani leo mnasema hivi na kusingizia ni roho mtakatifu kisha kesho mnakuja kusema mlikosea siyo hivi ni vile na kusema ni roho mtakatifu mfano ni ndacha siku za nyuma alikuwa anasema mungu ana nafsi 3 sasa hivi anasema alikosea ...wewe hoja zako ni upotovu wa madhehebuni umelishwa mafunuo mapotovu ya dhehebu lako ...Soma uzi huu upate ufahamu zaidi kuhusu mlolongo wa mambo yatakayotokea soon
Heshima zenu wakuu.
Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja.
![]()
Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!
Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini Yerusalemu. Ujenzi wa hekalu la tatu ni hatua muhimu sana kwa Waisraeli katika maandalizi ya kumpokea...www.jamiiforums.com
Nakusihi usome kwa makini uzi huu usije ukasema hukujua au hukuambiwa, mambo haya yatakapoanza kutokea:
1. Kunyakuliwa kwa Kanisa
Tukio hili litafanyika wakati Yesu atakapokuja mawinguni kulichukua Kanisa, yaani wote...
- Setfree
- mambo mazito wakati yajue yesu
- Replies: 39
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Ungeweka basi na vifungu vya Biblia vinavyothibitisha hizo tafsiri zako. Vinginevyo maneno matupu hayavunji mfupa.Watu wa madhehebuni siku zote mna akili finyu sana ...ndiyo sababu kila siku mnabadili gia angani leo mnasema hivi na kusingizia ni roho mtakatifu kisha kesho mnakuja kusema mlikosea siyo hivi ni vile na kusema ni roho mtakatifu mfano ni ndacha siku za nyuma alikuwa anasema mungu ana nafsi 3 sasa hivi anasema alikosea ...wewe hoja zako ni upotovu wa madhehebuni umelishwa mafunuo mapotovu ya dhehebu lako ...
NINACHO KUAMBIA MIMI NDIYO SAHIHI NAIJUA BIBLIA KULIKO MTU YOYOTE ...HAKUNA FUMBO NISILO LIJUA NDANI YA BIBLIA ..ILA MAFUMBO YOTE WAKRISTO WA SASA WA MADHEHEBUNI MMEYAPOTOSHA .. MFANO WAKRISTO HAMJUI HATA AMRI KUMI ZA MUNGU MAANA YAKE NINI ... MKIULIZWA MASWALI MNAJIBU KISHABIKI SIYO KILOGIC NA KWELO ...
1) 666 = MWILI WAKO MWANADAMU.
2)CHAPA YA HUYO 666 NI = DHAMBI.
3)CHAPA KWENYE PAJI LA USO NI = NIA OVU ZA DHAMBI.
4)CHAPA KWENYE MIKONO NI =MATENDO MAOVU YA DHAMBI .
5)KUTO KUUZA WALA KUNUNUA ISIPOKUWA MTU ANA CHAPA YA HUYO MNYAMA MAANA YAKE NI =KWAMBA MAISHA YOTE YA MWANADAMU YATATAWALIWA NA TAMAA OVU ZA MWILI (666) KATIKA NJIA ZAKE ZOTE.
6)MNYAMA 666 KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA WATU WAKASHANGAA KUMWONA TENA MARA YA 3 MAANA YAKE NI = KWAMBA MWANADAMU ATAISHI KATIKA MWILI KISHA ATAKUFA NA SIKU YA KIHAMA MUNGU ATAWAFUFUA WANADAMU WOTE KATIKA MIILI (666)
7)MNYAMA KUONEKANA TENA BAADA YA KUTOWEKA NA KUPANDA KWENYE UHALIBIFI MAANA YAKE = MUNGU ATAWAFUFUA WAOVU WOTE KWENYE MIILI NA KUWAPANDISHA KWENYE UHALIBIFU WA JEHANAM.
8)SANAMU YA MNYAMA NI = VITU VYOTE VILIVYOPO DUNIANI NA FAHARI ZOTE ZA DUNIANI HAPA.
9)KUTO KUMSUJUDIA HUYO MNYAMA WALA SANAMU YAKE MAANA YAKE NI = KUTO KUFUATA MWILI WALA TAMAA ZA MWILI
10) SUBIRA YA WATAKATIFU KUHUSU 666 MAANA YAKE NI = WATAKATIFU WOTE UFANYA SUBIRA KUU KATIKA KUUSHINDA MWILI NA TAMAA ZA MWILI ILI WAPATE KUYATENDA MAPENZI YA MUNGU .. ndiyo maana maandiko yanasema ..mwili ushindana na roho (nafsi )kwa sababu nia ya mwili ni mauti bali nia ya roho ni uzima.
Nimesha kupa mwongoxo tumia huo muongozo kusoma upya kuhusu 666 na tumia akili yako kufanya proof...unataka kunichosha bure yote niliyo eleza yapo kwenye kitabu cha injili ..Ungeweka basi na vifungu vya Biblia vinavyothibitisha hizo tafsiri zako. Vinginevyo maneno matupu hayavunji mfupa.
Amekutuma umsemee?
Wewe unayetumia akili nyingi kufikiria mbona unavunja sheria za JF kwa makusudi?Tupo tunaangalia unavyotumia akili ndogo kufikiria.
Hicho kitabu cha Injili kinachozungumzia 666 kinaitwaje?Nimesha kupa mwongoxo tumia huo muongozo kusoma upya kuhusu 666 na tumia akili yako kufanya proof...unataka kunichosha bure yote niliyo eleza yapo kwenye kitabu cha injili ..
dini mpya na imani mpya ninayoanzisha itakubali sayansiHakuna dini inakubali Sayansi acha kudanganya watu