Wanaoichukia AI wapata pigo: Sasa Injili ni mbele kwa mbele!

Wanaoichukia AI wapata pigo: Sasa Injili ni mbele kwa mbele!

Hilo ndo kusudi hasa la AI. Setfree aone mashahidi mmeanza kujitokeza, maana wakati mwingine Roho Mtakatifu hatafsiri ndoto yako kwa haraka, unaingia AI.
Nani amekuambia Roho Mtakatifu huwa anachelewa? By the way, usiongozwe na ndoto. Ndoto ni makapi (Yeremia 23:28I
Roho Mtakatifu, mwalimu amechelewa kukufundisha jambo, unazama AI
Nani amekuambia Roho Mtakatifu huwa anachelewa, wakati kazi yake ni kutuongoza na kututia kwenye kweli yote
Roho Mtakatifu mshauri wa ajabu ukiona anachelewa unaomba msaada AI
Usichanganye masomo, mshauri wa ajabu ni Yesu (Isaya 9:6 ). Roho Mtakatifu ni Msaidizi (Yn 14:16)
 
AI ni 666
Umekosea kidogo ....AI ni Sananu ya 666...na 666 ni "mwili wako mwanadamu" ....
Imeandikwa ...Yoyote atakaye ipokea chapa ya huyo mnyama 666 au kuisujudia sanamu yake atatupwa motoni ....maana yake ni hii

YOYOTE ATAKAYE FUATA MAMBO YA MWILI AU KUSUJUDIA VITU VIFANYAVYO NA MWILI MFANO MAGARI , AI, NYUMBA , DHAHABU , FEDHA NK

1)MNYAMA 666 NI MWILI WAKE MTU
2)CHAPA NI DHAMBI
3)YOYOTE NI NAFSI
4)SANAMU YA MNNYAMA NI VITU VYOTE VIZALISHWAVYO NA MWANADAMU MFANO ..MAGARI , NDEGE, NYUMBA , AI TV, PIKIPIKI , VYAKULA , DHAHABU , NK..

Kuhusu AI na sanamu ya huyo mnyama, imeandikwa naye huyo mnyama 666 akapewa kuipulizia pumzi hiyo sanamu mpaka ikanena (maana yake ni kuiprogram) nayo ikanena makufuru ..maana yake hiyo AI itatukuzwa kuliko Mungu na Roho mtakatifu katika inenavyo.
 
Kuhusu AI ..na sanamu ya huyo mnyama imeandikwa naye huyp mnyama 666 akapewa kuipulizia pumzi hiyp sanamu mpaka ikanena (maana yake ni kuiprogram) nayo ikanena makufuru ..maana yake hiyo AI itatukuzwa kuliko Mungu na Roho mtakatifu katika inenayo.
Mathayo 22:29
"...Mnapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu."

Kwa taarifa yako, 666 haitafanya kazi mpaka Kanisa linyakuliwe.

Unadai eti AI itatukuzwa kuliko Mungu na Roho Mtakatifu. Tazama hii picha hapa inavyokuaibisha.
Anayetukuzwa kwenye hii picha iliyotengenezwa na SI, ni nani?
Utatu Mtakatifu_.png

Halafu, wewe Lwiva usitumie tena jina AI kwenye mabandiko yako. Hilo jina limeishapitwa na wakati.
Sema Super Intelligence (SI).

cc: Yoda
 
View attachment 3677314

Halafu, wewe Lwiva usitumie tena jina AI kwenye mabandiko yako. Hilo jina limeishapitwa na wakati.
Sema Super Intelligence (SI).

cc: Yoda
NONSENSE ..kama 666 ni kitu kijacho ...je wafu wote waliokufa kabla ya hiyo 666 wata kwenda PEPONI ? ...maana imeandikwa kuwa wenye chapa ya huyo mnyama ndiyo watakao tupwa jehanam ......je kuna sababu zaidi ya DHAMBI inayo mfanya mtu kutupwa jehanam..? HAKUNA SABABU ZAIDI YA DHAMBI INAYO MFANYA MTU ATUPWE JEHANAM HIVYO CHAPA HAPO NI DHAMBI ...SASA SWALI... JE DHAMBI IPO TOKA BINADAMU WA KWANZA..? JIBU NI NDIYO, DHAMBI IPO TOKA ADAMU NA HAWA, SASA UTASEMAJE KUWA 666 NI KITU KIJACHO .... SWALI LA PILI NI ILI ...imeandikwa watu wakashangaa kwa kuwa huyo Mnyama alikuwako kisha akapotea kisha akawako tena mara ya 3 nakupanda kwenda kwenye uhalibifu ...nipe fafanuzi yake sawa sawa na mafundisho yako..maana ya MNYAMA KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA KUWAKO TENA MARA YA TATU 3 NA IKAWA NI AJABU MAANA YAKE NI MWANADAMU ..
1)UISHI
2)UFA
3)UFUFULIWA
HIvyo hiyo mara ya 3 ni kufufuliwa kwa watu wote na waovu kupelekwa kwenye uhalibifu yaani kutupwa jehanam.
 
NONSENSE ..kama 666 ni kitu kijacho ...je wafu wote waliokufa kabla ya hiyo 666 watakenda PEPONI ...maana imeandikwa kuwa wenye chapa ya huyo mnyama ndiyo watakao tupwa jehanam ......je kuna sababu zaidi ya DHAMBI inayo mfanya mtu kutupwa jehanam..? HAKUNA SABABU ZAIDI YA DHAMBI INAYO MFANYA MTU ATUPWE JEHANAM HIVYO CHAPA HAPO NI DHAMBI ...SASA SWALI... JE DHAMBI IPO TOKA BINADAMU WA KWANZA..? JIBU NI NDIYO, DHAMBI IPO TOKA ADAMU NA HAWA, SASA UTASEMAJE KUWA 666 NI KITU KIJACHO .... SWALI LA PILI NI ILI ...imeandikwa watu wakashangaa kwa kuwa huyo Mnyama alikuwako kisha akapotea kisha akawako tena mara ya 3 nakupanda kwenda kwenye uhalibifu ...nipe fafanuzi yake sawa sawa na mafundisho yako..maana ya MNYAMA KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA KUWAKO TENA MARA YA TATU 3 NA IKAWA NI AJABU MAANA YAKE NI MWANADAMU ..
1)UISHI
2)UFA
3)UFUFULIWA
HIvyo hiyo mara ya 3 ni kufufuliwa kwa watu wote na waovu kupelekwa kwenye uhalibifu yaani kutupwa jehanam.
Ntakujibu, subiri...
 
Niliahidi nitakujibu. Hata hivyo nitakujibu kiujumla kwa sababu somo kuhusu Mnyama na namba 666 ni refu sana, linahitaji muda mwingi kulielezea.

Kwanza, kumbuka kwamba kitabu cha Ufunuo kinataja wanyama wawili tofauti wanaofanya kazi pamoja kama sehemu ya utatu wa shetani (Shetani, Mnyama wa kwanza, na Mnyama wa pili).

Mnyama wa kwanza anatajwa katika Ufunuo 13:1-10, huyu ndiye "Mpinga Kristo."
Huyu ni mnyama anayetoka katika bahari, mwenye vichwa saba na pembe kumi. Mnyama huyu ni mtu lakini ni Mpinga Kristo. Ni kiongozi wa ulimwengu atakayepewa nguvu na mamlaka makubwa na joka Shetani (Ufunuo 13:2). Yeye ndiye atakayedai kuabudiwa na ndiye atakayenusurika jeraha la mauti, jambo litakaloshangaza ulimwengu mzima.

Mnyama wa pili anatajwa katika Ufunuo 13:11-18. Huyu ni mnyama anayetoka katika nchi, mwenye pembe mbili mfano wa mwanakondoo lakini ananena kama joka. Huyu anajulikana kama Nabii wa Uongo (Ufunuo 19:20). Kazi yake kubwa ni kumfanyia kampeni Mnyama wa kwanza (Mpinga Kristo). Huyu mnyama wa pili ndiye atakayewalazimisha wanadamu wote wamsujudie Mnyama wa kwanza; ndiye atakayefanya miujiza ya uongo (kama kushusha moto kutoka mbinguni).

Mpaka hapo nadhani umeona kuwa Mnyama au Mpinga Kristo ni mtu. Ndio sababu katika 2 Wathesalonike 2:3 anatajwa kuwa ni "mtu wa kuasi" au "mwana wa uharibifu"

AI ni teknolojia iliyoundwa na wanadamu, haina roho, haina nafsi na inaweza kutumiwa kumtukuza Mungu. Mnyama au Mpinga Kristo, atakuwa kinyume kabisa na Kristo. Hatafanya kabisa mambo ya kumtukuza Kristo. Lakini AI si unaona inatengeneza picha za kumsifu Mungu, Mwana na Roho Mtakatifu? Huyo Mnyama hatafanya hivyo.

Nilikuambia 666 haitafanya kazi mpaka Kanisa linyakuliwe. Ushahidi wa Maandiko huu hapa: 2 Thes 2:3-8. Watakatifu yaani Kanisa ndilo linalozuia kufunuliwa kwa huyo Mwasi. Kanisa likinyakuliwa tu, kivumbi cha Mnyama kinaanza.

Namba 666 itatumika wakati wa dhiki kuu. Dhiki kuu itatokea baada ya Kanisa au watakatifu kunyakuliwa. Namba 666 itatumika kama mfumo wa kiuchumi. Hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kununua wala kuuza kitu chochote asipokuwa na alama hiyo katika mkono wake wa kuume au kwenye kipaji cha uso wake (Ufunuo 13:16-17). Hii itakuwa ni ishara ya utii na uaminifu kwa huyo Mnyama/Mpinga Kristo. Kupokea chapa hiyo ni kumkataa Mungu kabisa na adhabu yake ni ziwa la moto (Ufunuo 14:9-11).

Kama ingekuwa kwamba kupokea chapa au namba hiyo 666 maana yake ni kutenda dhambi basi hiyo ingepingana na andiko hilo kwamba wasio na chapa hiyo hawataweza kuuza wala kununua. Je sasa hivi kuna mtu anayezuiliwa kuuza au kununua bidhaa? Jibu ni la. Wenye dhambi na watakatifu wote wako huru kuuza na kununua chochote.

Kuhusu swali lako "alikuwako kisha akapotea kisha akawako tena mara ya 3," iko hivi: Mpinga Kristo ataanza kutawala ulimwengu kama kiongozi mwenye nguvu na ushawishi mkubwa, ataleta "amani ya uongo" duniani. Baadaye "hatakuwepo" (atapotea/atakufa): Hiyo itatokea katika kipindi cha dhiki kuu.

Kama nilivyosema, dhiki kuu itaanza baada ya kanisa kunyakuliwa na itakuwa kwa kipindi cha miaka saba. Sasa katikati ya miaka hiyo saba ya dhiki kuu, Mpinga Kristo atapata "jeraha la mauti" kichwani (Ufunuo 13:3) kutokana na kushambuliwa. Atakufa physically na kuonekana kuwa "hayuko" tena. Baadaye "atakuwepo" (mara ya 3 / atakuja tena): shetani atamfufua kimiujiza, hapo ndipo ulimwengu utakaposhangaa na kumwabudu, ukisema hakuna wa kufanana naye. Shetani atafanya hivyo ili kuiga kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo, ili kuupoteza ulimwengu umwabudu yeye. Baada ya "kufufuka" kwa huyo Mnyama ndipo atakapogeuka kuwa dikteta katili na hatimaye kutupwa motoni pale Yesu atakapomwangamiza kwa pumzi ya kinywa chake (Ufunuo 19:20).

Naamini umepata ngaa kidogo picha ya mnyama/mpinga Kristo na namba 666.
AI ni teknolojia tu kama teknolojia nyingine, hivyo tusiiogope, tuitumie kumtukuza Mungu kwa kutengeneza picha, nyimbo, video na makala zinazompa Mungu utukufu. Tuitumie pia kuwaonya watu watubu na kuacha dhambi kabla siku hizo mbaya hazijaja.

Mungu akubariki sana ndugu yangu Lwiva
 
NONSENSE ..kama 666 ni kitu kijacho ...je wafu wote waliokufa kabla ya hiyo 666 watakenda PEPONI ...maana imeandikwa kuwa wenye chapa ya huyo mnyama ndiyo watakao tupwa jehanam ......je kuna sababu zaidi ya DHAMBI inayo mfanya mtu kutupwa jehanam..? HAKUNA SABABU ZAIDI YA DHAMBI INAYO MFANYA MTU ATUPWE JEHANAM HIVYO CHAPA HAPO NI DHAMBI ...SASA SWALI... JE DHAMBI IPO TOKA BINADAMU WA KWANZA..? JIBU NI NDIYO, DHAMBI IPO TOKA ADAMU NA HAWA, SASA UTASEMAJE KUWA 666 NI KITU KIJACHO .... SWALI LA PILI NI ILI ...imeandikwa watu wakashangaa kwa kuwa huyo Mnyama alikuwako kisha akapotea kisha akawako tena mara ya 3 nakupanda kwenda kwenye uhalibifu ...nipe fafanuzi yake sawa sawa na mafundisho yako..maana ya MNYAMA KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA KUWAKO TENA MARA YA TATU 3 NA IKAWA NI AJABU MAANA YAKE NI MWANADAMU ..
1)UISHI
2)UFA
3)UFUFULIWA
HIvyo hiyo mara ya 3 ni kufufuliwa kwa watu wote na waovu kupelekwa kwenye uhalibifu yaani kutupwa jehanam.
Soma uzi huu upate ufahamu zaidi kuhusu mlolongo wa mambo yatakayotokea soon
 
Soma uzi huu upate ufahamu zaidi kuhusu mlolongo wa mambo yatakayotokea soon
eschatology
 
Soma uzi huu upate ufahamu zaidi kuhusu mlolongo wa mambo yatakayotokea soon

Setfree aise hautumii common sense kabisa kila mara unapoulizwa swali unazunguka na kutupa vifungu vya Biblia. Jibu straightforward bila kukimbia maswali.

Mdau Lwiva yupo very logical ila umeanza kukimbia maswali kwa kuzunguka akubaliane na Imani yako kwanza. Be clear and answer unachoulizwa.
 
Amekutuma umsemee?
 
Soma uzi huu upate ufahamu zaidi kuhusu mlolongo wa mambo yatakayotokea soon
Watu wa madhehebuni siku zote mna akili finyu sana ...ndiyo sababu kila siku mnabadili gia angani leo mnasema hivi na kusingizia ni roho mtakatifu kisha kesho mnakuja kusema mlikosea siyo hivi ni vile na kusema ni roho mtakatifu mfano ni ndacha siku za nyuma alikuwa anasema mungu ana nafsi 3 sasa hivi anasema alikosea ...wewe hoja zako ni upotovu wa madhehebuni umelishwa mafunuo mapotovu ya dhehebu lako ...
NINACHO KUAMBIA MIMI NDIYO SAHIHI NAIJUA BIBLIA KULIKO MTU YOYOTE ...HAKUNA FUMBO NISILO LIJUA NDANI YA BIBLIA ..ILA MAFUMBO YOTE WAKRISTO WA SASA WA MADHEHEBUNI MMEYAPOTOSHA .. MFANO WAKRISTO HAMJUI HATA AMRI KUMI ZA MUNGU MAANA YAKE NINI ... MKIULIZWA MASWALI MNAJIBU KISHABIKI SIYO KILOGIC NA KWELI...

1) 666 = MWILI WAKO MWANADAMU.

2)CHAPA YA HUYO 666 NI = DHAMBI.

3)CHAPA KWENYE PAJI LA USO NI = NIA OVU ZA DHAMBI.

4)CHAPA KWENYE MIKONO NI =MATENDO MAOVU YA DHAMBI .

5)KUTO KUUZA WALA KUNUNUA ISIPOKUWA MTU ANA CHAPA YA HUYO MNYAMA MAANA YAKE NI =KWAMBA MAISHA YOTE YA MWANADAMU YATATAWALIWA NA TAMAA OVU ZA MWILI (666) KATIKA NJIA ZAKE ZOTE.

6)MNYAMA 666 KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA WATU WAKASHANGAA KUMWONA TENA MARA YA 3 MAANA YAKE NI = KWAMBA MWANADAMU ATAISHI KATIKA MWILI KISHA ATAKUFA NA SIKU YA KIHAMA MUNGU ATAWAFUFUA WANADAMU WOTE KATIKA MIILI (666).

7)MNYAMA KUONEKANA TENA BAADA YA KUTOWEKA NA KUPANDA KWENYE UHALIBIFI MAANA YAKE = MUNGU ATAWAFUFUA WAOVU WOTE KWENYE MIILI NA KUWAPANDISHA KWENYE UHALIBIFU WA JEHANAM.

8)SANAMU YA MNYAMA NI = VITU VYOTE VILIVYOPO DUNIANI NA FAHARI ZOTE ZA DUNIANI HAPA.

9)KUTO KUMSUJUDIA HUYO MNYAMA WALA SANAMU YAKE MAANA YAKE NI = KUTO KUFUATA MWILI WALA TAMAA ZA MWILI.

10) SUBIRA YA WATAKATIFU KUHUSU 666 MAANA YAKE NI = WATAKATIFU WOTE UFANYA SUBIRA KUU KATIKA KUUSHINDA MWILI NA TAMAA ZA MWILI ILI WAPATE KUYATENDA MAPENZI YA MUNGU .. ndiyo maana maandiko yanasema ..mwili ushindana na roho (nafsi )kwa sababu nia ya mwili ni mauti bali nia ya roho ni uzima.
 
Watu wa madhehebuni siku zote mna akili finyu sana ...ndiyo sababu kila siku mnabadili gia angani leo mnasema hivi na kusingizia ni roho mtakatifu kisha kesho mnakuja kusema mlikosea siyo hivi ni vile na kusema ni roho mtakatifu mfano ni ndacha siku za nyuma alikuwa anasema mungu ana nafsi 3 sasa hivi anasema alikosea ...wewe hoja zako ni upotovu wa madhehebuni umelishwa mafunuo mapotovu ya dhehebu lako ...
NINACHO KUAMBIA MIMI NDIYO SAHIHI NAIJUA BIBLIA KULIKO MTU YOYOTE ...HAKUNA FUMBO NISILO LIJUA NDANI YA BIBLIA ..ILA MAFUMBO YOTE WAKRISTO WA SASA WA MADHEHEBUNI MMEYAPOTOSHA .. MFANO WAKRISTO HAMJUI HATA AMRI KUMI ZA MUNGU MAANA YAKE NINI ... MKIULIZWA MASWALI MNAJIBU KISHABIKI SIYO KILOGIC NA KWELO ...
1) 666 = MWILI WAKO MWANADAMU.
2)CHAPA YA HUYO 666 NI = DHAMBI.
3)CHAPA KWENYE PAJI LA USO NI = NIA OVU ZA DHAMBI.
4)CHAPA KWENYE MIKONO NI =MATENDO MAOVU YA DHAMBI .
5)KUTO KUUZA WALA KUNUNUA ISIPOKUWA MTU ANA CHAPA YA HUYO MNYAMA MAANA YAKE NI =KWAMBA MAISHA YOTE YA MWANADAMU YATATAWALIWA NA TAMAA OVU ZA MWILI (666) KATIKA NJIA ZAKE ZOTE.
6)MNYAMA 666 KUWAKO KISHA KUTOWEKA KISHA WATU WAKASHANGAA KUMWONA TENA MARA YA 3 MAANA YAKE NI = KWAMBA MWANADAMU ATAISHI KATIKA MWILI KISHA ATAKUFA NA SIKU YA KIHAMA MUNGU ATAWAFUFUA WANADAMU WOTE KATIKA MIILI (666)
7)MNYAMA KUONEKANA TENA BAADA YA KUTOWEKA NA KUPANDA KWENYE UHALIBIFI MAANA YAKE = MUNGU ATAWAFUFUA WAOVU WOTE KWENYE MIILI NA KUWAPANDISHA KWENYE UHALIBIFU WA JEHANAM.
8)SANAMU YA MNYAMA NI = VITU VYOTE VILIVYOPO DUNIANI NA FAHARI ZOTE ZA DUNIANI HAPA.
9)KUTO KUMSUJUDIA HUYO MNYAMA WALA SANAMU YAKE MAANA YAKE NI = KUTO KUFUATA MWILI WALA TAMAA ZA MWILI
10) SUBIRA YA WATAKATIFU KUHUSU 666 MAANA YAKE NI = WATAKATIFU WOTE UFANYA SUBIRA KUU KATIKA KUUSHINDA MWILI NA TAMAA ZA MWILI ILI WAPATE KUYATENDA MAPENZI YA MUNGU .. ndiyo maana maandiko yanasema ..mwili ushindana na roho (nafsi )kwa sababu nia ya mwili ni mauti bali nia ya roho ni uzima.
Ungeweka basi na vifungu vya Biblia vinavyothibitisha hizo tafsiri zako. Vinginevyo maneno matupu hayavunji mfupa.
 
Ungeweka basi na vifungu vya Biblia vinavyothibitisha hizo tafsiri zako. Vinginevyo maneno matupu hayavunji mfupa.
Nimesha kupa mwongoxo tumia huo muongozo kusoma upya kuhusu 666 na tumia akili yako kufanya proof...unataka kunichosha bure yote niliyo eleza yapo kwenye kitabu cha injili ..
 
Tupo tunaangalia unavyotumia akili ndogo kufikiria.
Wewe unayetumia akili nyingi kufikiria mbona unavunja sheria za JF kwa makusudi?
Umeruhusiwa na Maxence Melo kutukana?
Nakusikitikia maana unajiongezea dhambi juu ya dhambi. Hasira na matusi vitakufanya utupwe motoni milele.
Tubu Yesu yuaja upesi.
(Mathayo 3:2)
 
Nimesha kupa mwongoxo tumia huo muongozo kusoma upya kuhusu 666 na tumia akili yako kufanya proof...unataka kunichosha bure yote niliyo eleza yapo kwenye kitabu cha injili ..
Hicho kitabu cha Injili kinachozungumzia 666 kinaitwaje?
 
Back
Top Bottom