AI imekuja kupora na kunyang'anya nafasi ya roho MtakatifuHivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo kuwafikia watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya ya AI kwamba haifai kutumiwa katika kazi za Injili.
Sasa, kuanzia leo jina AI limebadilishwa rasmi na kuitwa "SI" yaani Super Intelligence. Wabunifu wa jina hili jipya wameona kuwa kuendelea kuiita teknolojia hii mpya "AI" ni kuifanya ionekane feki, wakati hii ni teknolojia ya hali ya juu na yenye kupendeza.
Mimi naungana nao kwa asilimia 200, kwa sababu teknolojia hii inatimiza unabii wa Daniel kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka (Dan 12:4). Kubadilishwa kwa jina hilo kutaifanya pia teknolojia hii ipendwe na watumishi wengi wa Mungu, na hivyo kuifanya Injili ihubiriwe kwa kasi zaidi ulimwenguni pote, na kutimiza tena unabii wa Yesu Kristo mwenyewe kwamba Injili ikiishahubiriwa ulimwenguni pote, hapo ndipo mwisho wa dunia utakapokuja (Mt 24:14).
Kuanzia leo teknolojia hii ukiita AI utaonekana umepitwa na wakati. Wenzako sasa tunaiita Super Intelligence. Wabunifu wa maneno ya Kiswahili sijui wataiitaje; muda utaongea.
Haya jamani watumishi wenzangu wa Mungu, tuchangamke, tuitumie Super Intelligence(SI), kuandaa video, nyimbo, tafsiri, vipindi na makala mbalimbali zinazofikisha Ujumbe wa Kristo kwa watu wengi zaidi. YESU YU KARIBU KURUDI(Ufu 22:10-12).
"From this point forward, all of United States' documents, and hopefully the world's, will be changed to use the more accurate term 'super' as opposed to 'artificial'. So it's 'super intelligence'," Trump said.Nani amebadilisha jina AI kuwa SI?
Aisee, basi kama ni Trump amependekeza AI iitwe SI, hili jina jipya litavuma"From this point forward, all of United States' documents, and hopefully the world's, will be changed to use the more accurate term 'super' as opposed to 'artificial'. So it's 'super intelligence'," Trump said.
Mi ningekuoa baada ya wiki tu ungekua sawa wala usingeandika aya yote sabu ningekufix"From this point forward, all of United States' documents, and hopefully the world's, will be changed to use the more accurate term 'super' as opposed to 'artificial'. So it's 'super intelligence'," Trump said.
Indeed!!! ila shetani naye kama kawaida yake kubadili matumizi in negative way....Ndio maana nimesema tuitumie kuhubiri Injili. Hilo ni jambo jema.
mkuu Bwana YESU asifiwe!Mi ningekuoa baada ya wiki tu ungekua sawa wala usingeandika aya yote sabu ningekufix
Yani huwa unachanganya mambo si kidogoHivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo kuwafikia watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya ya AI kwamba haifai kutumiwa katika kazi za Injili.
Sasa, kuanzia leo jina AI limebadilishwa rasmi na kuitwa "SI" yaani Super Intelligence. Wabunifu wa jina hili jipya wameona kuwa kuendelea kuiita teknolojia hii mpya "AI" ni kuifanya ionekane feki, wakati hii ni teknolojia ya hali ya juu na yenye kupendeza.
Mimi naungana nao kwa asilimia 200, kwa sababu teknolojia hii inatimiza unabii wa Daniel kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka (Dan 12:4). Kubadilishwa kwa jina hilo kutaifanya pia teknolojia hii ipendwe na watumishi wengi wa Mungu, na hivyo kuifanya Injili ihubiriwe kwa kasi zaidi ulimwenguni pote, na kutimiza tena unabii wa Yesu Kristo mwenyewe kwamba Injili ikiishahubiriwa ulimwenguni pote, hapo ndipo mwisho wa dunia utakapokuja (Mt 24:14).
Kuanzia leo teknolojia hii ukiita AI utaonekana umepitwa na wakati. Wenzako sasa tunaiita Super Intelligence. Wabunifu wa maneno ya Kiswahili sijui wataiitaje; muda utaongea.
Haya jamani watumishi wenzangu wa Mungu, tuchangamke, tuitumie Super Intelligence(SI), kuandaa video, nyimbo, tafsiri, vipindi na makala mbalimbali zinazofikisha Ujumbe wa Kristo kwa watu wengi zaidi. YESU YU KARIBU KURUDI(Ufu 22:10-12).
Kuna dini wenye sayansi? πππHivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo kuwafikia watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya ya AI kwamba haifai kutumiwa katika kazi za Injili.
Sasa, kuanzia leo jina AI limebadilishwa rasmi na kuitwa "SI" yaani Super Intelligence. Wabunifu wa jina hili jipya wameona kuwa kuendelea kuiita teknolojia hii mpya "AI" ni kuifanya ionekane feki, wakati hii ni teknolojia ya hali ya juu na yenye kupendeza.
Mimi naungana nao kwa asilimia 200, kwa sababu teknolojia hii inatimiza unabii wa Daniel kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka (Dan 12:4). Kubadilishwa kwa jina hilo kutaifanya pia teknolojia hii ipendwe na watumishi wengi wa Mungu, na hivyo kuifanya Injili ihubiriwe kwa kasi zaidi ulimwenguni pote, na kutimiza tena unabii wa Yesu Kristo mwenyewe kwamba Injili ikiishahubiriwa ulimwenguni pote, hapo ndipo mwisho wa dunia utakapokuja (Mt 24:14).
Kuanzia leo teknolojia hii ukiita AI utaonekana umepitwa na wakati. Wenzako sasa tunaiita Super Intelligence. Wabunifu wa maneno ya Kiswahili sijui wataiitaje; muda utaongea.
Haya jamani watumishi wenzangu wa Mungu, tuchangamke, tuitumie Super Intelligence(SI), kuandaa video, nyimbo, tafsiri, vipindi na makala mbalimbali zinazofikisha Ujumbe wa Kristo kwa watu wengi zaidi. YESU YU KARIBU KURUDI(Ufu 22:10-12).
Hivi kuna mtu mwenye mihemuko kama wewe. Leo umekasirika mpaka umekataa hata kuwapa update wateja wako. Ngoja nikupe dawa ya kuondoa hasira. Hii hapa, kunywa:Kuna dini wenye sayansi? πππ
We naye unakuwa unaonekana kama una mihemko uliyoshindwa kuidhibitu
Sina mihemko we Dada , huu ujinga unaofanywa na Mods siwezi ku entertain hata mara moja .Hivi kuna mtu mwenye mihemuko kama wewe. Leo umekasirika mpaka umekataa hata kuwapa update wateja wako. Ngoja nikupe dawa ya kuondoa hasira. Hii hapa, kunywa:
Mhubiri 7:9
Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
Maandiko yananiambia sio vizuri kumhukumu mtu kabla ya kumsikia akijitetea. Soma Yohana 7:51. Imeandikwa hivi: Nikodemo akasema: βJe! Sheria yetu humhukumu mtu, isipokuwa kwanza imsikie, na kujua atendavyo?βSina mihemko we Dada , huu ujinga unaofanywa na Mods siwezi ku entertain hata mara moja .
Mtu anaanzisha uzi saa 2 asbh kabla ya Mahakama kukaa, halafu ninayeanzisha uzi baada ya Mahakama kukaa ninakuwa nimekosea ?
Acha waendelee hivyo hivyo, maana hawatuthamini wateja tunaofuata kanuni kwa ufasaha
Hivi hapa vifungu vya Biblia vinavyoonyesha ukweli wa kisayansi karne nyingi kabla wanasayansi hawajagundua mambo ya kisayansi kwa kutumia mitambo:Hakuna dini inakubali Sayansi acha kudanganya watu