Wanaoichukia AI wapata pigo: Sasa Injili ni mbele kwa mbele!

AI au SI ni roho wa mfalme wa anga(shetani)alifukuzwa na Mungu na kutumia anga kufanya kazi zake kuhadaa roho za binadamu ili waufuate ufalme wake.Tunapasa kuwa macho nyakati hizi
Weka hapa vifungu vya Biblia uthibitishe hoja yako, usiongee maneno matupu
 

Kwanza turudi katika core AI ni nini na lengo lake kubwa ni nini? Lengo la AI ni kusimulate human like intelligence kupitia alogarithm za computer. Each time unapoweka prompt yako AI inabadilisha maneno kuwa namba na kufanya hesabu ili kuweza kufanya utabiri ikujibu nini kutokana na ulichouliza. Whether someone uses AI for content creation doesn't mean AI is there to spread word of God the same AI is misleading the same AI gives the opposite of religion. Kwahiyo it's just a tool just like how tulitumia Google in the past hamna kitu kipya sana what's important ni capability ya reasoning ilionayo AI, uwezo wa kuchambua past data based on training that's it.
 
Kwa kidwahili “Akili kumkichwa”
 
Ulichoongea bado kina-support tu mada yangu. Yes, SI is just a tool. Ukiitumia vibaya itakuletea matokeo mabaya, ukiitumia kueneza Injili, itaeneza, tena kwa kishindo. Na ndio lengo la mada hii, tuitumie SI kutimiza agizo la Yesu Kristo (Mk 16:15).
 
Yaani nimkasirikie mtu aliyechanganyikiwa!
Wewe ni wa kuonewa huruma tu.
 
Yaani nimkasirikie mtu aliyechanganyikiwa!
Wewe ni wa kuonewa huruma tu.
Jionee huruma wewe na roho yako, kwa sababu njia uipitayo inaenda upotevuni.
Mimi sio wa kuonewa huruma maana tayari nina tiketi ya kwenda mbinguni (Yn 5:24)
 
Ulichoongea bado kina-support tu mada yangu. Yes, SI is just a tool. Ukiitumia vibaya itakuletea matokeo mabaya, ukiitumia kueneza Injili, itaeneza, tena kwa kishindo. Na ndio lengo la mada hii, tuitumie SI kutimiza agizo la Yesu Kristo (Mk 16:15).

Sawa mamaa. Upo sahihi.
 
Nyimbo nyingi za AI ama sijui tuziite za SI kama ulivyodai ndugu mtoa Uzi, ni moja kati ya nyimbo za hovyo haswaaa yaani hazina vina wala mizani aibu tupu!!
Inategemea na prompts. Mimi nimetengeneza nyimbo nyingi tamu sana.
By the way, nani alikuambia nyimbo lazima ziwe na vina na mizani?

Zaburi ya 150:1-6 ni wimbo wa kumsifu Mungu. Unaona hapa kuna vina na mizani?
Haleluya.
Msifuni Mungu katika patakatifu pake;
Msifuni katika anga la uweza wake.
Msifuni kwa matendo yake makuu;
Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
Msifuni kwa mvumo wa baragumu;
Msifuni kwa kinanda na kinubi;
Msifuni kwa matari na kucheza;
Msifuni kwa zeze na filimbi;
Msifuni kwa matoazi yaliayo;
Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA.
Haleluya.
 
"From this point forward, all of United States' documents, and hopefully the world's, will be changed to use the more accurate term 'super' as opposed to 'artificial'. So it's 'super intelligence'," Trump said.
UNGA
 
Kunena kwa lugha ni kupi? Ndio huku ambako kanisa zima wanaongea lugha isiyoeleweka na hamna mwenye karama ya kutafsiri?
Matendo 2:4
Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…