johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Kwanini CHADEMA inapata ruzuku na NCCR Mageuzi haipati ruzuku ilhali vyote vilishiriki uchaguzi mkuu?Hakuna uhusiano kati ya kukubali matokeo na kuchukua ruzuku, matokeo feki ya uchaguzi yalitangazwa na NEC ya CCM, hayo hayatambuliki, pesa za ruzuku ni kodi halali wanazokatwa wananchi wa taifa hili na serikali, hivyo serikali ni wakusanyaji na wakiwapa Chadema ni wajibu wao, narudia tena hakuna uhusiano kati ya kuyakubali matokeo na kuchukua ruzuku.
Ruzuku inamtambua!Huyo mtu simtambui.
Nakuibia siri tu wee Mama..
Hapa jf inaendeshwa kura ya siri ya kutafuta ni nani anaongoza kuanzisha thread za kipumbavu..
Mpaka sasa UNAONGOZA Mama.
Uliza maswali ya maana tafadhali, kasome sheria ujue kwa nini.Kwanini Chadema inapata ruzuku na Nccr mageuzi haipati ruzuku ilhali vyote vilishiriki uchaguzi mkuu?
Manka tupe hiyo formula ya kugawa ruzuku ili tujue kwanini Nccr mageuzi haipati ruzuku na Chadema inapata.Ni very funny jitu zima lenye mvi mpaka matakoni kama Johnthebaptist lipo hapa linafananisha Ruzuku ambayo ni mali ya umma wanagawa kwa vyama vyote kwa formula maalumu na Ushiriki wa moja kwa moja na serikali dhalimu?
Yaani kama civilization ya watu tuliamua kwa pamoja vyama vya siasa vyote vipate ruzuku kwa formula maalumu ili viweze kujiendeleza kuhakikisha nchi inasimama kwenye system ya demokrasia
Punguani Johnthebaptist anadhani ruzuku ni mali ya CCM anagawa kwa vyama vya siasa kama zawadi with masharti..no,ni hela zetu wananchi tunawapa hivyo vyama
Kumbuka,vyama vya siasa kwa makusudi tuliamua kuvipa ruzuku na kuvinyima visipokee hela kutoka nje maana hela kutoka nje zinaweza kua hatari zaidi....
Kama mnataka,futeni ruzuku,katiba irekebishwe vyama viwe huru kupokea hela kutoka kwa yeyote duniani halafu uone the difference hapa
Tulikaa na tukaweka ruzuku makusudi kuzuia external financial influence of sort isiwe kubwa,japo wanapokea kwa njia za chini,ila sio wazi kiivyo
Ruzuku ni wananchi tunawapa vyama vya siasa vyote CCM included!
Usilete ukichaa aisee
Kwa mapenzi ya CCM, sio sheria za nchi.Ruzuku inamtambua!
Chadema hawaheshimu akina mama by Spika Job Ndugai!Kwenye post yako hii umetumia neno "MAMA" kwa namna udhalilishaji na kejeli. Labda nikushauri usirudie kutumia neno hilo kwa namna hiyo tena. Usitumie neno hilo katika mtazamo wa kudhalilisha na kutweza. Binafsi, na nina uhakika na wengine wengi wanawaheshimu sana akina MAMA kwa kuwa wao ni nguzo katika familia na jamii kwa ujumla. Hivyo wape akina mama heshima yao wanayostahili.
Ni kweli kamanda. Wana haki ya kikatiba kabisa maana wana madiwani kadhaa na wabunge 20.Kuna jambo huko Lumumba hamlielewi, mnadhani pesa ya ruzuku ni ya kwenu, wacheni kujidanganya, ruzuku ni pesa za walipa kodi wanazokatwa na serikali, hiyo sio pesa ya serikali ya CCM, ni pesa ya wananchi hivyo Chadema wana haki ya kuichukua.
Hahah aiseee.Nakuibia siri tu wee Mama..
Hapa jf inaendeshwa kura ya siri ya kutafuta ni nani anaongoza kuanzisha thread za kipumbavu..
Mpaka sasa UNAONGOZA Mama.
Kwahyo huo mpunga wenyewe mumevuna kutoka kwenye serikali ambayo hamuikubaliii ?Badala ya kuleta ushahidi wa CHADEMA kupokea hiyo ruzuku, unataka sisi ndio tutafute ukweli ili hali wewe ndio umeleta hii habari!
Hata hivyo, hilo likitokea sitashangaa kwani niliwahi tabiri jambo kama hilo kufanywa.
Tatizo lenu wote akili zinafanana, misalaba ya taifa.Ni kweli kamanda. Wana haki ya kikatiba kabisa maana wana madiwani kadhaa na wabunge 20.
Unawakataa wabunge wako?Tatizo lenu wote akili zinafanana, misalaba ya taifa.
Hao wabunge 20 umewatoa wapi?!
Hizo pesa za serikali ya CCM zinatoka kwa nani?"Serikali ya CCM sio halali lakini pesa zake ni halali na wanazichukua"
pole sana johnthebaptist kwa matusi na kejeli utakazo ambulia kutokana na swali lako la kuudhi kwa Nyumbu wa Ufipa.
Hahahaaaa....... Sasa tunaongea lugha moja kwamba Chadema ilipata KURA za kutosha ndio sababu " inapokea" ruzuku.Acha unafiki
Unaijua na unajua kwanini vyama ambavyo havijapata kura kufikia threshold tulijiwekea havipati
Acha unafiki wewe
Shida una unafiki kupita maelezo mpaka unaondoa credibility yako which is nonsense kabisa
Baniani mbaya kiatu chake dawa.Hizo pesa za serikali ya CCM zinatoka kwa nani?
Lumumba ni kiwanda cha ujinga Tanzania.
Hapa nazungumzia kuyatambua matokeo halali ya uchaguzi mkuu 2020 siyo Huruma!Ni haki yao na hela wanapata kutoka kwetu sisi wananchi na sio CCM!
Shida unataka kufanya ni "huruma ya utawala wa CCM" kutoa hiyo ruzuku!
SUK ni huruma ya utawala wa CCM Zanzibar....wanakaa meza moja kuamua uongozi wa zanzibar
Of which sisi hatuwezi kaa na CCM meza moja!
Cha ajabu ACT sasa hivi adui yake mkubwa ghafla kageuka ni Chadema in a span of just 2 weeks
CCM sio adui tena wa ACT.....