Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

Kama umeelewa hili tangazo nisaidie, wanamaanisha itatoke lini? Maana sio muda unaotarajiwa hili suala kutokea
 

Duu,baada ya kushuhudia ya Bukoba?
 
Nadhani ni vizuri watupe darasa kwa uchache kwamba, tahadhari ipi tuchukue, je tuondoke mikoa ya Pwani kwa kipindi fulani au tahadhari ipi tuchukue maana Tsunami mziki wake hatari.
 

Attachments

  • 20231018_172814.jpg
    92.9 KB · Views: 1
Mbona sielewi ni vipi mikoa ya pwani ya bara ichukue tahadhari (jambo ambalo ni jema kabisa) ilhali visiwani hasa Zenji, pemba na Mafia ambako ndio kumezungukwa na maji kusiwe na angalizo wakati ni kilomita chache kutoka pwani ya TZ bara, au mie ndio sijaelewa vizuri hii tsunami inakujaje?
 
Tangazo lao halielewki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…