DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ndo ukweli Kaka!Mzazi umeua🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ukweli Kaka!Mzazi umeua🤣
Hivi huko TMA mna uhakika kuna Mageologisti wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..
View attachment 2785593
Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM 😀😀(kdn
Hivi huko TMA mna uhakika kuna Mageologisti wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..
View attachment 2785593
Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM [emoji3][emoji3](kdn)
Nadhani ni vizuri watupe darasa kwa uchache kwamba, tahadhari ipi tuchukue, je tuondoke mikoa ya Pwani kwa kipindi fulani au tahadhari ipi tuchukue maana Tsunami mziki wake hatari.Hivi huko TMA mna uhakika kuna Mageologisti wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..
View attachment 2785593
Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM 😀😀(kdn)
Nimeshatua Dar....Zanzibar tsunami haifiki? Kuna kipenzi changu kule nimwambie aondoke haraka
Yule nabii aliyesema wakazi wa Dar wauze mali zao ataingia kazini very soonView attachment 2785590
Mamlaka leo imetangaza kuwepo kwa Hali ya hatari ya Volcano Katika bahari ya Hindi.
Maeneo:- Mkoa wa Pwani, Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Na Mtwara.
How? Mtu wa kinampanda telegram hii inamhusuje?Kuna ubaya wangeandika wahusika " watu wote wanaoishi tanzania"??
Ndugu yangu yaan wewe watu wanakosa usingiz kwa ajili ili wewe salama.kitengo cha dharura wapo hawalali amin taarifa hizi za kitaaalamu.serikal hailali wewe utalalaUsiwaamini hao wazee wa mamlaka ya hali ya hewa.
Dar penyewe unaishi kigamboni sa itakuajeNimeshatua Dar.
Tsunami ikija kule.kojani itatufunika.kama blanketi🤣
Sasa Dar utawapeleka Wapi 😀😀 watu wako ~8milNadhani ni vizuri watupe darasa kwa uchache kwamba, tahadhari ipi tuchukue, je tuondoke mikoa ya Pwani kwa kipindi fulani au tahadhari ipi tuchukue maana Tsunami mziki wake hatari.
Mwisho wa siku ni Nuhu!! Ee Nuhu wee tufungulieHakuna uhalisia wa jambo hili kutokea bali ni mazoezi ya utayari tu yanafanyika!
Tangazo lao halielewkiMbona sielewi ni vipi mikoa ya pwani ya bara ichukue tahadhari (jambo ambalo ni jema kabisa) ilhali visiwani hasa Zenji, pemba na Mafia ambako ndio kumezungukwa na maji kusiwe na angalizo wakati ni kilomita chache kutoka pwani ya TZ bara, au mie ndio sijaelewa vizuri hii tsunami inakujaje?