Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam ambao kila Rais wa Tanzania anatamani kukutana nao ni akina nani?


Makada wa ccm
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
Wakati wa Hayati Rais Dkt. Magufuli Kiongozi wao alikuwa ni Mzee Joseph Butiku na Kesho akikosekana hapo Mlimani City naogelea kutoka Kunduchi ( Dar es Salaam ) hadi Chumbageni ( Zanzibar )
 
Wakati wa Hayati Rais Dkt. Magufuli Kiongozi wao alikuwa ni Mzee Joseph Butiku na Kesho akikosekana hapo Mlimani City naogelea kutoka Kunduchi ( Dar es Salaam ) hadi Chumbageni ( Zanzibar )
Yaani mtu wa kiabakari huko awe kiongozi wa Wazee wa DSM ! hii itakuwa sarakasi ya kishamba sana !
 
Asante sana mwamba
 
Shukrani sana Mohamed Said
 
Umeeleza vizuri
 

Road to Independence TZ - Le Moyne
TTACSA -Tanganyika Territory African Civil Servants Association- formed and led by Martin Kayamba in 1922, educated in Britain; Wanted.
Kutokana na wingi wa wenyeji wa Tanga kuwepo ktk ajira za 'kisomi' toka enzi za utawala wa serikali ya Jeremani ( mkoloni) hadi serikali ya Mwingereza wakaona 'kujazana' kwao ktk ajira basi wawafungue macho waTanganyika waanzishe Chama Cha Maslahi ya Wafanyakazi waAfrika (Wamatumb)i wote wa Tanganyika. Source : Historia ya mkoa wa Tanga

In 1922 the Tanganyika Territory African Civil Services Association, the first known modern African political organization, was formed with Tanga city as headquarters. The region surrounding Tanga formed an intergral part of Tanganyika in 1961, when it gained independence, and of Tanzania in 1964, when Tanganyika merged with Zanzibar. Source : Tanganyika (Tanzania): African Association, 1929-1948
 
The Nationalists

TANU (the Tanganyika African National Union)
, the political party which took Tanganyika to Independence in 1961, was only founded in 1954. But it had many antecedents. The Tanganyika Territory African Civil Service Association had been founded by Martin Kayamba in 1922, to bring together Muslim and Christian civil servants in Tanga, and in 1929 this had been reformed as the African Association, open to all Africans, with branches in all the major towns. The trade union movement developed in the docks in Dar es Salaam and Tanga, and unions were also created in the mines, on the railways and in the sisal plantations. A series of strikes demonstrated their power to challenge the colonial state ..... Read more : Source : The Story of Martin Kayamba (I)
 
By Martin Kayamba, 1935
My Life and Work in East Africa

I was born on 2nd February, 1891, at Mbweni, Zanzibar. I am the first son of Hugh Peter Kayamba. He is one of the sons of Chief Mwelekwanyuma of Kilole, son of Kimweri Zanyumbai (Kimweri the Great) King of Wakilindi. The Wakilindi are a ruling clan, who ruled over the Wasambaa and other tribes in the coastal areas of Tanga prior to the German occupation of these countries. The first Mkilindi named Mbega came from the hills in the Handeni area. He was a famous hunter and through his hunting prowess and generosity was chosen by the Wasambaa to be their ruler. Chief Mwelekwanyuma was appointed by his father as Chief over the Wabondei and the Coastal section from Pangani to Vanga.




Source: TEN AFRICANS : MARGERY PERHAM : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

READ MORE source : The Story of Martin Kayamba (I)

M
Photo : Martin Kayamba’s father Hugh Peter Kayamba (left) and Henry Masibu (right). Photo courtesy of www.bloxhamschool.com
 
Waasisi wa Mungu wa CCM mwenge Nyamrunda ?
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
Mzee Yusuf na wenzie.
 
Mmoja wapo wa wazee wa Daressalaam ambaye hataweza kukosa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…