Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa
 
Hahaha! Mi naona thamani ya mwanamke ni kunizalia watoto tu mengine sioni cha maana. Ni wenzetu lakini ni watu wenye njama za ajabu ajabu sana.

Nb: usitambe mbele ya jamii eti wewe una mke bora ( inawezekana watu wote wanajua mkeo ni malaya kasoro wewe tu ndiyo hujui, utachekwa)
 
Sio TU mwanamke. Isipokuwa ni binadamu yoyote ni vigumu kumtabiri. Mimi siku nikichepuka basi hiyo ndio siku ambayo nikirudi nyumbani ni lazima nimpande, Tena kumpanda Kule Kwa kukera Ili asiwaze chochote. Same to them siku akiliwa ndio siku atakayokuonyesha kuwa na minyege.
 
Kuna workmate anajifanyaga anajua sana kum-handle mkewe, kutwa anashauri wengine wafanye kama yeye! But Kila nikimwangalia mkewe naona.....there is inside spark othat needs to be boosted...kizuri ni kwamba anaishi na watakatifu wengi!.....ndio salama yake ngosha. Pengine Angelia kama wengine na angeacha kukosoa wengine.
 
Na Huyo mwanamke Alikuwa na Mwanaume. Yaani hakuna Mwanamke bila mwanaume, yaani hakuna Kosa la Mwanamke Mwanaume Hajahusika!

Hila nitatizo la wote sio kutwa mwanamke mwanamke
Mwanaume yeye Ruksa.
 
Yaani mke wa mtu anaweza kuwa anagongwa na mme akampgia simu na akaipokea huku anafiniyia ndani na akachukuwa maelekezo yote alafu mchezo ukaendelea pasipo shaka yoyote. Kuna kisa huwa natamani kukiweka hadharani lakini mara kadhaa ninasita kwani madhara yanaweza kuwa makubwa kuliko funzo.
 
Wanawake na wanaume wote ni wa ovyo na hakuna uharibifu bila uwepo wa wanaume

Unatongoza mke wa mtu hadi unampa mimba nani ni muharibifu? Na mwanamke unakubali kutoka nje ya ndoa nae ni mwehu Kwa kifupi wote hatuna akili.
 
Back
Top Bottom