marehem x
JF-Expert Member
- Dec 28, 2022
- 513
- 792
Umeng'akaYani wanachosha wakat wao ndo waharibifu wakubwa
nani analawiti watoto?
Nani anaongoza Kwa kutoka nje ya ndoa?
Nani huwa wanalawit wanaume wenzao?
Nani analawiti wanawake?
Nani anakuza biashara ya ukahaba Kwa kuwa wanunuaji mahiri?
Walichotuzidi ni uhodari wa kulalamika na kuona wanaonewa watupumzishe kwanza
Mahusiano ni fumbo full stop