Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Wanagongewa wake zao na wanaume wenzao halafu wanatusema sisi.

Kwanini kama wanaume wasiungane wakubaliane hamna kugonge mke wa mtu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wangekuwa wamefanya kitu Cha maana sana Tena Liwe azimio nchi nzima kuwa wasiogengeane wake zao kilamtu apambane na haliyake wanahamasisha vijana wakaate ndoa wakiwa wameoa wanatka mabaharia wajipoozee wapi kama sio Kwa wakezao na uzuri wa mke wamtu huwa hawawahudumii ni mseleleko atahudumiwa na mumewe
 
Na Huyo mwanamke Alikuwa na Mwanaume. Yaani hakuna Mwanamke bila mwanaume, yaani hakuna Kosa la Mwanamke Mwanaume Hajahusika!

Hila nitatizo la wote sio kutwa mwanamke mwanamke
Mwanaume yeye Ruksa.

Mwanamke anatongozwa habakwi, mwenye hiari ya kukubali au kukataa ni yeye. sasa anajua ni mke wa mtu na akatongozwa akakubali nakuanza kuliwa mpaka mimba, tunaanzaje hapa kulauma mwanaume?, Inawezekana hata huyo mwanaume hajui kama huyo Ke ni mke wa mtu.
 
Yaani mke wa mtu anaweza kuwa anagongwa na mme akampgia simu na akaipokea huku anafiniyia ndani na akachukuwa maelekezo yote alafu mchezo ukaendelea pasipo shaka yoyote. Kuna kisa huwa natamani kukiweka hadharani lakini mara kadhaa ninasita kwani madhara yanaweza kuwa makubwa kuliko funzo.
Iweke mkuu tujifunze
 
Here is wanawake once agaaaaaain!! Uzi mwanana kabisa kutoka kwa malaika wetu watukufu.

Dj walete wazee wa "kataa ndoa" kwa wimbo wowote matata wa amapiano🎹🎤🎤🎤🎤
Wewe mama bulubendi kwanini unapenda kubadili id mama bulubendi jamani
 
Wangekuwa wamefanya kitu Cha maana sana Tena Liwe azimio nchi nzima kuwa wasiogengeane wake zao kilamtu apambane na haliyake wanahamasisha vijana wakaate ndoa wakiwa wameoa wanatka mabaharia wajipoozee wapi kama sio Kwa wakezao na uzuri wa mke wamtu huwa hawawahudumii ni mseleleko atahudumiwa na mumewe
Ewaaaaaaahhhh, wameoa halafu wanaambia vijana "kataa ndoa". Na vijana bila hiyana wanaenda kuponea kwa wake zao. Wanawajaza na mimba kabisa.
 
Ugonjwa ni siri ya Daktari na Mgonjwa labda mgonjwa aamue yeye mwenyewe kusema hasa akiwa na fahamu zake anajitambua. Ni kosa kama Daktari alimsema, kumzodoa , au kumshutumu ameitoa makusudi hata kama amegundua ni hivyo. Labda yeye mwenyewe mgonjwa aseme wazi kuwa ameitoa na awaambie ndugu na jamaa na marafiki
Huyu vipi, yaani umeumwa kiasi cha kulazwa. Halafu ugonjwa uwe siri kiasi cha hata ndugu wanakuuguza au mume asijue! Unaishi kijiji gani
 
Yaani mke wa mtu anaweza kuwa anagongwa na mme akampgia simu na akaipokea huku anafiniyia ndani na akachukuwa maelekezo yote alafu mchezo ukaendelea pasipo shaka yoyote. Kuna kisa huwa natamani kukiweka hadharani lakini mara kadhaa ninasita kwani madhara yanaweza kuwa makubwa kuliko funzo.
Weka wazi Mkuu!Acha uoga!
 
Sio tu wanaume wanaogopa kuoa sa hivi

Wanaogopa kuingia kwenye Mahusiano kabisa na kuwa committed ni mwendo wa kufanya mapenzi na ku dump, domestication process inayotokea ni ya hatari Sana ni tatizo juu ya tatizo watoto wengi wasio na baba wanaongezeka

Wa kike na wa kiume na wenyewe wanaona poa tu kutokua na Familia

Mambo yatakavyokuja kuwa huko mbele sijui kabsa aisee inatisha
 
Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa
Huyo Mr nae ni tatizo, mwanamke siku zote anapima upepo, mali zako mwenyewe utumie kondom why, tumia njia pendekezwa za uzazi WA mpango nje ya ndom!! By the way huyo mwanamume Bado alienselea kuwa zwazwa!?
 
Yaani mke wa mtu anaweza kuwa anagongwa na mme akampgia simu na akaipokea huku anafiniyia ndani na akachukuwa maelekezo yote alafu mchezo ukaendelea pasipo shaka yoyote. Kuna kisa huwa natamani kukiweka hadharani lakini mara kadhaa ninasita kwani madhara yanaweza kuwa makubwa kuliko funzo.
Usikilete🙏sio kila jambo la kuandika humu
 
Yaani mke wa mtu anaweza kuwa anagongwa na mme akampgia simu na akaipokea huku anafiniyia ndani na akachukuwa maelekezo yote alafu mchezo ukaendelea pasipo shaka yoyote. Kuna kisa huwa natamani kukiweka hadharani lakini mara kadhaa ninasita kwani madhara yanaweza kuwa makubwa kuliko funzo.
Dondosha kisa ww
C unatumia code mzee
 
Hahaha! Mi naona thamani ya mwanamke ni kunizalia watoto tu mengine sioni cha maana. Ni wenzetu lakini ni watu wenye njama za ajabu ajabu sana.

Nb: usitambe mbele ya jamii eti wewe una mke bora ( inawezekana watu wote wanajua mkeo ni malaya kasoro wewe tu ndiyo hujui, utachekwa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom