Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Sisi ambao hatuwaowa Hawa wapenzi tulio nao
Tukiona hivi tunagwaya sana.
Kuna matukio ukiyaona na ukiyasoma unaona kuoa au kuolewa ni kujilipua ndo maana wengi wanaona Bora harusi tu wafanye masherehe wacheze amapiano baada ya hapo hakuna ndoa ni kuviziana tu
 
yani kila siku mwanamke mwanamke, utafikiri hivyo visa anafanya mwanamke peke yake😏😏 KILA PENYE UHARIBIFU WA MWANAMKE KUNA MWANAUME NYUMA YAKE
 
Na pesa za wachangiaji zimeliwa. Ni upuuzi mtakatifu kuchanga pesa unasumbua watu wachangie harusi kumbe fisi wanakwenda kuoana.

Kwenye group la michango full kusumbuana,
Malizia malizia pledge pledge full makelele. Full kutoboa mifuko ya watu
 
Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa
Usitukane wanawake wote kwa uovu wa huyo mmoja.
 
[emoji28][emoji28] Sisi wenyewe wanawake hatujijui vizuri,sasa huyo anayejiona anatujua nje ndani,arudi darasani [emoji28][emoji28]btw huyo mwanamke anampenda mchepuko kuliko mumewe[emoji28] funny enough,bt iko hivo hata mie Kuna boyfriend wangu wa high school nampenda till today,sema alishaoa[emoji135]
Nisomee Ph ya K yako tafadhali
 
yani kila siku mwanamke mwanamke, utafikiri hivyo visa anafanya mwanamke peke yake😏😏 KILA PENYE UHARIBIFU WA MWANAMKE KUNA MWANAUME NYUMA YAKE
Huyo mwanamke asingeenda mji jirani kupigwa kavu angepata hiyo mimba? Halafukwanini mume apge kavu halafu mchepuko aloweke kamba?
 
Usitukane wanawake wote kwa uovu wa huyo mmoja.
FaizaFoxy wewe ni legend

Fikiria mwanamke ananiramani,ananipenda naamua kutoka nae pembeni na kupata soda anaanza kuelezea mapumgufu ya mumewe yote hadi naona huruma kwa mwanaume mwenzangu lkn ndio nifanyeje, anaomba amegwe, kwa sabab anadai mumewe hapigi vzr.

Huyo ni mmoja.

Mwingine. Anakuomba yupo tayari awe mke mwenza aachane na mumewe na ama wameshaachana ama wapo kwenye mgogoro.

Kisa anadai jamaa akija usiku, anapapasa tu miguu ilipo, anatafuta katikati ya miguu, anapanda , anapapasa kwenye mpasuko anapangua nguo,pichu na kuutafuta shimo na kuingiza pachupachu amemaliza kutoa wazungu anatoka kwa kheri.

Mwanamke huyo unaamua kutoka naye unambinua kila style anapenda mwenyewe anaomba na pesa na lodge anachukua anakutafuta kukujuza niko lodge flan njoo.

Hawa ni mifano tu
 
HAKUNA MWANADAMU ASIYETABIRIKA HAYUPO, BUT MANY IF YOU HAMUWEZI OBSERVE AND HATA MKIOBSERVE HAMJUI MUANGALIE NN,, AU HATA SEHEMU YA KUANZIA
 
[emoji28][emoji28] Sisi wenyewe wanawake hatujijui vizuri,sasa huyo anayejiona anatujua nje ndani,arudi darasani [emoji28][emoji28]btw huyo mwanamke anampenda mchepuko kuliko mumewe[emoji28] funny enough,bt iko hivo hata mie Kuna boyfriend wangu wa high school nampenda till today,sema alishaoa[emoji135]
Sio kweli, ni kwamba tu hakuna anayechukua muda wake to observe, and listen
 
yani kila siku mwanamke mwanamke, utafikiri hivyo visa anafanya mwanamke peke yake[emoji57][emoji57] KILA PENYE UHARIBIFU WA MWANAMKE KUNA MWANAUME NYUMA YAKE
Vp uharibifu wa lesbians ...mwanaume pia anahusika[emoji848] eeh
 
Yani wanachosha wakat wao ndo waharibifu wakubwa
nani analawiti watoto?
Nani anaongoza Kwa kutoka nje ya ndoa?
Nani huwa wanalawit wanaume wenzao?
Nani analawiti wanawake?
Nani anakuza biashara ya ukahaba Kwa kuwa wanunuaji mahiri?
Walichotuzidi ni uhodari wa kulalamika na kuona wanaonewa watupumzishe kwanza
Oooh!! Wameamua waje na kampeni mpya ya kumchafua mwanamke🙆🙆🙆

""Angalia hapa:
Adamu aliponzwa na mwanamke
Samson aliponzwa na mwanamke
Rutu aliponzwa na mwanamke
Mfalme suleiman aliponzwa na mwanamke
Dola ya rumi chanzo cha kuanguka ni mwanamke""

#YNWA
 
FaizaFoxy wewe ni legend

Fikiria mwanamke ananiramani,ananipenda naamua kutoka nae pembeni na kupata soda anaanza kuelezea mapumgufu ya mumewe yote hadi naona huruma kwa mwanaume mwenzangu lkn ndio nifanyeje, anaomba amegwe, kwa sabab anadai mumewe hapigi vzr.

Huyo ni mmoja.

Mwingine. Anakuomba yupo tayari awe mke mwenza aachane na mumewe na ama wameshaachana ama wapo kwenye mgogoro.

Kisa anadai jamaa akija usiku, anapapasa tu miguu ilipo, anatafuta katikati ya miguu, anapanda , anapapasa kwenye mpasuko anapangua nguo,pichu na kuutafuta shimo na kuingiza pachupachu amemaliza kutoa wazungu anatoka kwa kheri.

Mwanamke huyo unaamua kutoka naye unambinua kila style anapenda mwenyewe anaomba na pesa na lodge anachukua anakutafuta kukujuza niko lodge flan njoo.

Hawa ni mifano tu
Hayo yote uliyoyasema ni mapungufu ya wanaume. Dunia ya leo wanaume jina ni wengi sana.

Kama unabisha muulize bibi yako.
 
Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa

Dah, vijana tafakarini kabla ya kuoa, mimi sasa nimeshachoka kabisa haya mambo ya wanawake........
 
Back
Top Bottom