Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa

dah ni hatari sana
 
Hahahahahahaha wanaume bhana. Hapa wote mnaungana na mtoa mada vizuri tu kama vile wote mmepigwa matukio.

Vipi kwani, hamkuoa bikra? Maana kwenye nyuzi za bikra karibia wote mnasema hamuwezi kuoa asiye bikra. Kwamba mabikra wana tabia njema.

Vipi hamkuoa wenye wapo 25years and below? Maana kwenye mada za hivo wote mmeoa wenye wapo under 24 maana wana maadili.

Vipi sasa, mbona mnalia lia kama vile wote mmeoa single mothers ikiwa humu hamtaki kuoa single mothers? Au hao bikra na under 25 nao wanawapiga matukio?
Ukimpata bikira under 18 TZ ni Tag
 
Sio tu wanaume wanaogopa kuoa sa hivi

Wanaogopa kuingia kwenye Mahusiano kabisa na kuwa committed ni mwendo wa kufanya mapenzi na ku dump, domestication process inayotokea ni ya hatari Sana ni tatizo juu ya tatizo watoto wengi wasio na baba wanaongezeka

Wa kike na wa kiume na wenyewe wanaona poa tu kutokua na Familia

Mambo yatakavyokuja kuwa huko mbele sijui kabsa aisee inatisha
Tunapoelekea kuoa kutaonekana kama moja la jambo la KIJUJAA.

Ila mahusiano ya siku hizi lazima uwe na plan B kichwani mwako jinsi ya kurecover faster baada ya kugongewa bila kusababisha madhara yoyote ,kwani siku hizi kuchapiwa ni kama kitu cha kawaida sana.
 
Hayo yote uliyoyasema ni mapungufu ya wanaume. Dunia ya leo wanaume jina ni wengi sana.

Kama unabisha muulize bibi yako.
Hahahahahahahah

Lishe
Mazoez
Ulozi
Uchumi
Malezi

Hayo yanatosha nimejijibu mwenyewe

Unaishi na mwanamke hajui menu muhimu Kwa Mr tatizo la(mke)

Mwanaume anakula chips mchana na jioni (mume shida) mazoez hakuna.

Watu umbali mfupi tu gari, bodaboda nguvu za kiume shida.(mume shida)

Wanawake wamezidi ulozi kitu kidgo tu kwa mganga asilimia mia wanawake wanafanya khik kitu.

Maisha magumu yanashida nyingi kwenye familia.

Mtoto wa kile na wa kiume malezi yao yana impact kuu kwenye ndoa, zipo ndoa mwanamke katulia tuliii hata kama mumewe bamia
 
Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa
Mnahangaika sana na mwanamke au mwanaume kwani Kuna malaika hapo?
 
Kuna workmate anajifanyaga anajua sana kum-handle mkewe, kutwa anashauri wengine wafanye kama yeye! But Kila nikimwangalia mkewe naona.....there is inside spark othat needs to be boosted...kizuri ni kwamba anaishi na watakatifu wengi!.....ndio salama yake ngosha. Pengine Angelia kama wengine na angeacha kukosoa wengine.
Hakuna Cha mtakatifu wewe ndio unaona hivyo ila anapigwa mstari na anasanuka.
 
Hahahahahahaha wanaume bhana. Hapa wote mnaungana na mtoa mada vizuri tu kama vile wote mmepigwa matukio.

Vipi kwani, hamkuoa bikra? Maana kwenye nyuzi za bikra karibia wote mnasema hamuwezi kuoa asiye bikra. Kwamba mabikra wana tabia njema.

Vipi hamkuoa wenye wapo 25years and below? Maana kwenye mada za hivo wote mmeoa wenye wapo under 24 maana wana maadili.

Vipi sasa, mbona mnalia lia kama vile wote mmeoa single mothers ikiwa humu hamtaki kuoa single mothers? Au hao bikra na under 25 nao wanawapiga matukio?

Solution ni moja tu ... HAKUNA KUOA.

#YNWA
 
Wanawake ndio watu wabaya sana, yani unampa mmeo na kondom alafu mchepuko kavu duh inasikitisha sana.
Kipindi anatongozwa kwa nini asiseme mimi ni mke wa mtu sitaki, singizia basi unaukimwi[emoji23][emoji23]
Wanawake wana kitu inaitwa kupenda na kwenda Kwa mtu kisa chakula au heshima.
 
Tunapoelekea kuoa kutaonekana kama moja la jambo la KIJUJAA.

Ila mahusiano ya siku hizi lazima uwe na plan B kichwani mwako jinsi ya kurecover faster baada ya kugongewa bila kusababisha madhara yoyote ,kwani siku hizi kuchapiwa ni kama kitu cha kawaida sana.
Kuchapiwa si kitu cha kawaida, usiruhusu ubongo wako kukubali huu ujinga.

Ndoa za kikristo ni ngumu kutowa talaka lakini kwa kosa la uzinzi Mkristo ameruhusiwa na Biblia kutowa talaka, na mwanaume yeyote atakayemuowa mwanamke huyo basi anazini.

Hana tofauti na anayechukuwa Malaya corner bar au wavuvi camp.
 
Angalia hapa:
Adamu aliponzwa na mwanamke
Samson aliponzwa na mwanamke
Rutu aliponzwa na mwanamke
Mfalme suleiman aliponzwa na mwanamke
Dola ya rumi chanzo cha kuanguka ni mwanamke

Ndio maana vitabu vitakatifu vikawaasa wanaume muishi nao kwa akili sana maana anaweza kua analia usoni kumbe moyoni anacheka tu na anaweza kua anacheka kumbe usoni analia ni vyema kua makini sana .mwanamke sio kiumbe dhaifu kama wengi mnavodhani, kama aliweza kupanga mipango na nyoka unadhani atashindwa kupanga nini huyu kiumbe
Binafsi Huwa Sina mda wa kujali mwanamke kiviile nilishakubali kwamba akichepuka sawa asichepuke sawa maana Sina hata Mpango wa kutaka kujua ila tuu heshima ichukue mkondo wake..

Achepuke ambako sitojua maana na mie nachepuka ila maisha yaendelee..
 
Kumbe shida ni nyie kuwa busy na maisha kwaiyo kutenga muda hata weekend na mkeo hamna Sasa mnatarajia Nini alafu mnalalamika
Binafsi sihitaji maisha ya kitumwa kufurahisha mtu.

Yaani niache kufanya Yale nayoona yananipa furaha Bali nitenge mda wa kufurahisha mwanamke? Wala siwezi labda mwanamke ndio angekuwa furaha yangu sawa..

Uliwe au usiliwe hainihusu so long as sijajua Wala sihitaji hata kujua.Kwa Sasa Nina mengi ya maana kuliko ya kufurahisha mwanamke.
 
Back
Top Bottom