Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa
Hatari kweli kweli

mpwayungu village
 
Utetezi upi.
Wanaume wa sasa ni kama hamna malezi ya kiume yani hamna maneno ya kiume.
Mwanaume na akili zake timamu hawezi kuja kuongea ongea hapa kuhusu mwanamke.

Wanawake ni wavumilivu sana ukiona amefikia maamuzi ya kufanya chchte kwa ajili ya furaha yake ilopotea basi hujue amepitia mengi sana.

Alaf kingine ww mtoa mada OKW BOBAN SUNZU huyo rfk ako aejifaraghua alikwambia yeye alikua akimtreat vip mke wake.
Msipende lawama wanawake wabaya mnawatengeneza wenyewe hawatengenezwi
Kuna wengine wanawatimizia Kila kitu wake zao, ila wanachapiwa unamkuta mke anasema shetani kampitia, ni kweli baadhi ya wanaume hawatimizi majukumu Yao ila Kuna wengine wanatimiza kabisa but still wanachapwa.
Tatizo kuu mi naloiona ni malezi ambayo mwanamke amepatiwa na wazazi/walezi wake.
 
Atakayekuoa ana kazi.
Ila Mungu ni Mungu utashangaa huolewi na mcha Mungu ila utaolewa na WA kufanana naye ambaye hakuwa na option nyingine.
That's according to you bro🙏by the way stop masterbutting under my comment 🤣🤣🤣🏃
 
Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa
We unaongelea hilo. Mi nimetoka kushuhudia mwamba amemfumania mke wake ambaye hana hata siku 40 toka atoke labor!

Mgoni kafurumushwa kakatiza na pensi kitumbo wazi duki baya yani 😀... Jamaa naye kasusa mtoto kabeba kibegi chake anasepa.

Mwanamke asivyo na aibu anamfata nyuma na mtoto na kumtangazia deni kuwa amlipe deni lake akidhani anamuabisha. Jamaa kamchapa makonde kavu kavu yani 🤣🤣🤣wanawake viumbe vya hovyo mno.
 
Kwann mkuu?

Mwanamke na Mwanaume ni walewale, wote ni wanadamu.
Kusema Mwanamke hatabiriki au hawaeleweki hiyo ni kasumba, Maoni ya jamii lakini sio fact.
Kwani Sisi wanaume ndio tunatabirika au kueleweka?

Hayo mapungufu ya Wanawake hata Sisi wanaume tunayo hayohayo, tena Sisi ndio tumezidi kwenyeishu ya Usaliti wa mapenzi
 
Kuna wengine wanawatimizia Kila kitu wake zao, ila wanachapiwa unamkuta mke anasema shetani kampitia, ni kweli baadhi ya wanaume hawatimizi majukumu Yao ila Kuna wengine wanatimiza kabisa but still wanachapwa.
Tatizo kuu mi naloiona ni malezi ambayo mwanamke amepatiwa na wazazi/walezi wake.
Ndoa zina siri nyingi sana.
Stry usiisikize upande mmja tu.
 
Sio TU mwanamke. Isipokuwa ni binadamu yoyote ni vigumu kumtabiri. Mimi siku nikichepuka basi hiyo ndio siku ambayo nikirudi nyumbani ni lazima nimpande, Tena kumpanda Kule Kwa kukera Ili asiwaze chochote. Same to them siku akiliwa ndio siku atakayokuonyesha kuwa na minyege.
Unashauriwa ukitoka kuchepuka ukae walau Massa 48 ndio umuingilie mkeo, hii itasaidia kama huko ulibeba magonjwa ya zinaa ukayahamisha kwa mkeo au mumeo otherwise uwe umetumia kinga huko, all in all kuchepuka hakuepukiki bro hongera sana but make sure mchepuko uwe pisi kuliko mkeo
 
Hufai hata na kuwa na direct relationship na mtu kabisa, ni hatari sana maana no one can replace the man you love in your heart, hayupo.
Geeze chill take a deep breath and relax🤔umekuwa too upset na comment yangu,nini mbaya young bro,may be i might be of help 🤣it's Sunday remember 🤣🤣🤣
 
Unabadili mahali pa tukio na majina ya wahusika... Mfano, kama ilikuwa Dar, waweza sema Mtwara, etc
Hapana mkuu Kuna kisa hata ubadilishe location, code zinaweza leta ukakasi, nampa pole Afisa wa wilaya flani. Mke kulipa nauli na hotel na kwenda kugegedwa mikoani si issue, alafu baadae muda mzee baba anadrive na kumfuata kumrudisha magetoni , na wakifika magetoni mzee baba anazira kulala na wife analala garini, alafu wife material Kila nukta anampa msela wake na kumwomba ushauri. Yaani hata siku mzee baba akigonga my wife wake anamueleza msela, mpaka sasa Wana watoto watatu wote wa msela.
Ila mwaka huu ndo my wife wa mzee baba kamwomba msela kwamba waachane Kwa kuwa anaona hasara ni kubwa kuliko faida, huyo msela ana mapicha ya lundo huyo mke wa mzee baba, mengine papa Yuko hadharani, lakini sasa mzee anavompenda wife balsa.
 
Na Huyo mwanamke Alikuwa na Mwanaume. Yaani hakuna Mwanamke bila mwanaume, yaani hakuna Kosa la Mwanamke Mwanaume Hajahusika!

Hila nitatizo la wote sio kutwa mwanamke mwanamke
Mwanaume yeye Ruksa.
Mwanamke analaumiwa sababu bila yeye kuruhusu hilo tukio mwanaume hawezi fanikisha. Kwani hakuna mwanaume anabaka mke wa mtu!
 
Rel
Karma is real subiri.
Relax 🤔 Kama umeoa afu uka.t.mbewa that's your problem 🙏 stress zako usizihamishie kwa watu usowajua mitandaoni🤣🤣🤣 don't quote me please,am done with you,seems you have marital problems 🤣🏃
 
Geeze chill take a deep breath and relax🤔umekuwa too upset na comment yangu,nini mbaya young bro,may be i might be of help 🤣it's Sunday remember 🤣🤣🤣
Hamna sijawa upset sema nimefikiria , kwanza are you married or?
Maana nawaza mtu atakayejilengesha kwako na umekataa kumsahau mtu wako ambaye ashaoa.
It's time to protect your dignity, sio utumike tu na mtu ambaye ashakukataa kukuoa but still unampa k. Ni mawazo yangu, you can take it or ignore it.
 
Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa
mpwayungu village anatamani kuwa mwanamke na hawa ndio wanawake sasa😂
 
Rel

Relax 🤔 Kama umeoa afu uka.t.mbewa that's your problem 🙏 stress zako usizihamishie kwa watu usowajua mitandaoni🤣🤣🤣 don't quote me please,am done with you,seems you have marital problems 🤣🏃
Daah mbona kombora nzito rafiki?
 
Back
Top Bottom