Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

Rais kutokuwa na makundi haimaanishi wengine wasiwe na Makundi ndio maana kasema kama Wana makundi ni wao.

Sasa watu wameunda kikundi Chao nyie mnapinga kama nani? Mnawalisha? Acheni upunguani fanyeni mambo ya chama chenu sio kutwa kucha mnahangaika na udaku
Ndugu Chawa tafuta kazi ile mliyokula jana ndio futari ya mwisho , Masikini wakubwa nyie !
 
Ndugu Chawa tafuta kazi ile mliyokula jana ndio futari ya mwisho , Masikini wakubwa nyie !
Watu wamejiundia kundi la Samia nyie mnahangaika,huoni kwamba ni upumbavu?

Hiyo ya umbea itawaongezea kura? Mbona kama hamjui muelekeo wa genge lenu? 🤣🤣
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.

Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)

Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana. Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao, tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais.

Erythrocyte una wivu sana, si uunde kikundi cha Mbowe Queens hapo bavicha na nyie mtunge wimbo
 
Ingekuwa vyema ufuatilie na kuhoji Ruzuku za CHADEMA zinakwenda wapi mpaka chama kinakosa ofisi zenye hadhi ya chama chenye umri wa miaka zaidi ya 32.

Ungehoji ni kwanini Mbowe ameng'ang'ania uwenyekiti kwa miaka 20 sasa kana kwamba wanachama wengine ni manyumbu na mazuzu wasio na akili ambao hawawezi kuongoza chama isipokuwa yeye tu.
🚮
 
Screenshot_2025-01-17-11-13-16-1.png
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.

Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)

Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana. Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao, tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais.

Wao full kujikomba na hakuna kitu Mheshimiwa anapenda kama kusifiwa.
Mtakumbuka Mheshimiwa aliacha shughuli zote za kuendesha nchi na kwenda Mlimani City kuzindua albamu ya Chokoraa mmoja mvuta bangi yenye nyimbo zote za kumsifu yeye.(Leo hakuna mtu anajua hata wimbo mmoja kwenye album hiyo)
 
Back
Top Bottom