Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

Tumepata agenda mpya kwenye maandamano yetu ya amani.
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.

Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)

Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana. Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao, tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais.

Hii mishangazi ndiyo ma Queen?
 
Ingekuwa vyema ufuatilie na kuhoji Ruzuku za CHADEMA zinakwenda wapi mpaka chama kinakosa ofisi zenye hadhi ya chama chenye umri wa miaka zaidi ya 32.

Ungehoji ni kwanini Mbowe ameng'ang'ania uwenyekiti kwa miaka 20 sasa kana kwamba wanachama wengine ni manyumbu na mazuzu wasio na akili ambao hawawezi kuongoza chama isipokuwa yeye tu.
Ukiacha Israel ,Ugerumani inafuata kwa watu wenye akili,Sasa tuseme kwakuwa Miekael alitawala Ugerumani kwa. miaka zaidi ya 20 basi Wagerumani walikosa akili.Watu wanataka"deliverrance na uumini wa kiongozi" na si show za ah, nimeng'atuka nimeng'atuka,mara talanta gaaa..
 
Mleta mada asikilizwe ana point. Jee kama kikundi cha malaya kikiamua kujiita Samia queens inakubalika tuu? Au pale Tandale kundi la panya road wakijiita "Samia strong boys" nayo inakubalika tuu kwa vile jina linapata milage?
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.

Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)

Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana. Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao, tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais.

Njaaa mbaya Sana
 
Screenshot_2024-03-13-13-55-31-1.png
 
Huo ni fitina wanatengeneza makundi ya kichawa ya kujikomba na kusababisha migawanyiko. Kuna wajinga wengine waliaanzisha walichoita eti Jukwaa ;a Walimu wazalendo Bashiru wakati huo akawapiga marufuku. Hawa nao wanaangalia udhaifu wa uongozi uliopo kuwa unataka sifa sana
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.

Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)

Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana. Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao, tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais.

Kwani nyie machadema mnateseka na vikundi vinavyomuunga mkono Samia Kwa nini? Mbona mnalalama kama Watoto wadogo?
 
Naona Hawa Machadema ni kama majinga hivi , yaani watu kuamua Kwa Raha zao Kuunda vikundi Cha kumpa shangwe Rais wao wanateseka na nini hasa? Kwa nini wasiunde vyao? Kwani wamekatazwa? Kuna kosa kufanya hivyo? Mbona Huwa Kuna Hadi Ile Kwaya ya Utumishi wa Umma ,JKT ambao Huwa wanatunga nyimbo za kutumbuiza Kwa kumsifia Rais sijawahi ona ni tatizo?
Screenshot_2024-03-13-13-55-31-1.png
 
Back
Top Bottom