Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

Demokrasia tu hiyo.

Wameamua kumsupport mwanachama mwenzao na mwenyekiti wa chama chao kama wengine tu walioamua kuandamana.

Shida ya nchi hii wote hatuziwezi siasa na wala hatujui maana ya demokrasia basi ni vuruguvurugu tu.
 
Demokrasia wazee, hawana dhambi yeyote wao wameamua kumuunga mkono wampendaye hatuna mamlaka yakuwalazimisha wapende tukipendacho.
 
KUna mda kujipendekeza nikutafuta ujinga
FB_IMG_1709906660913.jpg
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT , Msanii duni wa filamu , Jokate .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini )

Sasa swali letu ni hili , wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani ? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana , Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao , tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais

View attachment 2927375
Njaa mbaya sana😏
 
Zindua na wewe Mukya Queen au Mbowe Queen kwani umekatazwa?
 
Si umewaona wako wazi Mkuu, bongo movies na some bongo fleva.

Ni wale wale tulio wazoea miaka yote ikikatiria chaguzi na fursa mbalimbali.

Acha watekeleze jukumu lao la "usanii".

🤣🤣🤣
 
Ingekuwa vyema ufuatilie na kuhoji Ruzuku za CHADEMA zinakwenda wapi mpaka chama kinakosa ofisi zenye hadhi ya chama chenye umri wa miaka zaidi ya 32.

Ungehoji ni kwanini Mbowe ameng'ang'ania uwenyekiti kwa miaka 20 sasa kana kwamba wanachama wengine ni manyumbu na mazuzu wasio na akili ambao hawawezi kuongoza chama isipokuwa yeye tu.
Mbona sijaon mahal mbowe katajwakwa huu Uzi 🧐
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT , Msanii duni wa filamu , Jokate .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini )

Sasa swali letu ni hili , wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani ? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana , Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao , tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais

View attachment 2927375
Zilipendwa wanatafuta pa kutokea.
Mwasiti na genge lake umri na mistari kwisney
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT , Msanii duni wa filamu , Jokate .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini )

Sasa swali letu ni hili , wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani ? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana , Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao , tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais

View attachment 2927375
Nchi ngum sana hii, tutaona majina mpaka ya pangoni kipindi ichi,mpaka aibu yani, mara chawa, mara friend of Samia sasa Queens, shida tupu
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT , Msanii duni wa filamu , Jokate .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini )

Sasa swali letu ni hili , wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani ? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana , Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao , tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais

View attachment 2927375
Hawa watakuwa wanafanya ile kazi ya Lucas mwashambwa bila shaka
 
Kwa sasa sie wapenda nchi kwa vizazi vijavyo tunaendelea kujipanga vizuri , uchaguzi ukifanyika ccm itaondoka madarakani mapema sana , acha waendelee na maigizo yao ,
 
Back
Top Bottom