Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.

Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)

Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana. Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao, tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais.

View attachment 2927375
Mkuu naona umeweka picha kabisa ushawajua sisi haina haja yakudadavua
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.

Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)

Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana. Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao, tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais.

View attachment 2927375
Hawa ni chawa wa Mama kama ilivyo wewe ni chawa wa Mwenyekiti.

Siku zote nyani haoni kun.......
 
Ingekuwa vyema ufuatilie na kuhoji Ruzuku za CHADEMA zinakwenda wapi mpaka chama kinakosa ofisi zenye hadhi ya chama chenye umri wa miaka zaidi ya 32.

Ungehoji ni kwanini Mbowe ameng'ang'ania uwenyekiti kwa miaka 20 sasa kana kwamba wanachama wengine ni manyumbu na mazuzu wasio na akili ambao hawawezi kuongoza chama isipokuwa yeye tu.
Mbowe akiwa m/kiti kwa miaka 100 itakuathiri vipi? Tuseme labda ndio imefanya sukari kuadimika/kupanda bei? Ndio imeleta mgao wa umeme? Mbowe ndiye amesababisha mashule kutokuwa na madarasa, madawati na vyoo? Mbowe ndiye amesababisha maisha duni kwa mapolisi, waalimu na watumishi wengine?
 
Ingekuwa vyema ufuatilie na kuhoji Ruzuku za CHADEMA zinakwenda wapi mpaka chama kinakosa ofisi zenye hadhi ya chama chenye umri wa miaka zaidi ya 32.

Ungehoji ni kwanini Mbowe ameng'ang'ania uwenyekiti kwa miaka 20 sasa kana kwamba wanachama wengine ni manyumbu na mazuzu wasio na akili ambao hawawezi kuongoza chama isipokuwa yeye tu.
"2020 hukuwa na uchaguzi hofu ilitanda kila nchi...watu wakauliwa na wakapata vilema kisha Jiwe na makamu wake wapite bila kupingwa kama vile Majaliwa nawe zake" Kinana(2024).
 
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.

Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)

Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana. Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao, tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais.

View attachment 2927375
Mbowe ni kigando aka Ruba ,king'ang'anizi aka mkwe wa mwanzilishi wa chadema ,hatoki hata kwa rato 😂😂😂😂
 
Mtoa mada kama unaona wivu na nyie huko ufipani jiungeni tu mjiite MBOWE QUEENS, mbona rahisi tu!!
 
Back
Top Bottom