Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

Ndugu Chawa tafuta kazi ile mliyokula jana ndio futari ya mwisho , Masikini wakubwa nyie !
 
Ndugu Chawa tafuta kazi ile mliyokula jana ndio futari ya mwisho , Masikini wakubwa nyie !
Watu wamejiundia kundi la Samia nyie mnahangaika,huoni kwamba ni upumbavu?

Hiyo ya umbea itawaongezea kura? Mbona kama hamjui muelekeo wa genge lenu? 🤣🤣
 
Erythrocyte una wivu sana, si uunde kikundi cha Mbowe Queens hapo bavicha na nyie mtunge wimbo
 
🚮
 
Wao full kujikomba na hakuna kitu Mheshimiwa anapenda kama kusifiwa.
Mtakumbuka Mheshimiwa aliacha shughuli zote za kuendesha nchi na kwenda Mlimani City kuzindua albamu ya Chokoraa mmoja mvuta bangi yenye nyimbo zote za kumsifu yeye.(Leo hakuna mtu anajua hata wimbo mmoja kwenye album hiyo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…