granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
Ukitaka kudanganya usimtumie mjingaJambo la mchongo ni la mchongo tu. Halikosi matobo na inconsistencies!
Ukitaka kudanganya usimtumie mjingaJambo la mchongo ni la mchongo tu. Halikosi matobo na inconsistencies!
Wewe mkuu ukaokoteze machangudoa na wacheza vigodoro unategemea nini?Halafu eti papa wanamuita papa wa 16 wakati ni papa Leo wa 14
Eti papa wanamuita baba mtakatifu wa kumi na SITA wakati ni baba mtakatifu Leo wa 14 ha ha ha ha ha ha ha ha hili igizo hajaliriheso vizuri they could have rehearsaled it well before staging such a trash.
Hapo hawapo kwenye misaSijakuuliza kuhusu hayo mambo mengine wala sijakuuliza habari za madhehebu mengine wala ukuu wa kanisa katoliki na sijasema ni kanisa bora kuliko wengine, Nimekuuliza unalijua kanisa katoliki? Unafahamu taratibu zao za kiluturjia? Nyimbo za misa, Kanuni za kiimani, Misingi na taratibu zao?
Hakuna waislam hapo,hizo ni counter propaganda,eti anaswalia msikiti fulani, waislam hawana huo utaratibu wa kuswali msikiti mmoja tuUzuri kwenye hawa wanadamanaji kuna Waislam wanaojulikana kwa majina na wote kwa kauli moja wameimba kuwa Yesu ni Mwamba.
Sema Halleluia, Ameen
Wakatoliki wajinga sana, yaani wanaamini wao Wana maisha ya juu na tunawaona mtaani!Na umeambiwa hawavai madela/Vijora, sijui kama ni kweli wakatorkki wote ni wakishua wanavaa spesho pamba kali tu!!
Ndo maana yake.Kwamba nilikuwepo au
Mtoto wangu kila siku anapasua chupa za chai naona nimechoka kufagia vipande kila sikuNdo maana yake.
Ebu tumegee, Savimbi kawalipa sh ngapi kufanikisha hilo igizo?!
Naomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Fikiria unampanga Mwaipopo abattle na father Kitima. Kuna watu wana mizaa sana.Kutumia watu wenye akili ni muhimu katika kila jambo.
Kanisa katoliki lina watu wenye akili na kupambana nao lazima utafute watu wanaoweza kuigiza uhalisia.
Changamoto ya ujinga ni kubwa sana kuliko inavyoweza kufikiriwa.