Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?

Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?


Nasisitiza tena, upo umuhimu wa kutumia watu wenye akili na uwezo mkubwa katika propaganda. Ukiangalia tu watu wanaotetea 'ule upande' wengi kama sio wote wanaonekana wana uwezo mdogo sana kiakili na hata kifikra.

Kinachofanyika hapa ni kujaribu kuonyesha umma kwamba, hata huko Katoliki sio wote wanaokubaliana na yale matamko (hii nimewahi kumsikia mtu akisema, japo alikurupuka) lakini sasa hawa wasukuma ajenda mnaowatumia hawana uwezo wowote kiakili. Kwanza sijawahi kumsikia mkatoliki anasema "sisi waroma" hii tayari ni kituko.

Kama unaigiza ukatoliki na hata huwezi kuigiza kuimba nyimbo za kikatoliki, hilo ni tatizo.

Wengi hapo ukiwatazama kwa makini unaona vile wanaumizwa na dhamira zao, wanaumia ni kwanini wapo hapo, hawajatulia kiakili.
​
Kutumia watu wenye akili ni muhimu katika kila jambo.
Kanisa katoliki lina watu wenye akili na kupambana nao lazima utafute watu wanaoweza kuigiza uhalisia.
Changamoto ya ujinga ni kubwa sana kuliko inavyoweza kufikiriwa.
 
BIG NO..!!! wakatoliki tangu lini waimbe nyimbo za wasabato wanaowapiga spana kali hadi humu jf

Catholic na sabato ni maji na mafuta
Wanafuatisha kuimba nyimbo za wasabato toka kwenye sabufa zao,acha kujifanya nyapara wa wakatoliki
 
Nilipo papenda, wote wamemkiri na kumtukuza Yesu Kristo.
Hii ni Moja ya hatua kubwa sana ya kuijua KWELI na KWELI itawaweka HURU.
Kumtukuza Kristo ni mwanzo wa HEKIMA
Waabudu sanamu la zege la kike hawataki
 
Back
Top Bottom