Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?

Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?

Wametoa boko dakika za jiooooooniiii
 
Wimbo wa walokole tangu lini ukaimbwa na wakatoliki 🤣 kudanganya kazi sana, bora wangetafuta hata wimbo mmoja wa Bikira Maria 🤣 Very stupid people
Wakatoliki mbona huimba na kupiga nyimbo za wasabato?.. kwamba hakuna mkatoliki wa kuimba nyimbo za rose mhando,shusho,chidumule?
 
Naomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Sasa kukariri nyimbo za wakatoliki wasingeweza. Na sauti zao wanavyopangilia wanapoziimba unadhani huyu dada aliembele ya maiki ataweza? Anaonekana ni mnywaji mzuri wa pombe kali za Tandale.
 
Wanafeli pakubwa script kwa kuwa si wakatoliki hawa, mkatoliki hawezi kusaliti kanisa lake kiasi hiki
 
tukisema hamna akili kuanzia Jezebel Hadi vikaragosi mnakasiririka Bure

Hilo igizo hata ukiwapa wanufunzi wa chekekechea wataona aibu kuigiza
Jibu maswali niliyouliza hapo,usijifanye una akili wakati unapigia magoti sanamu la zege la kike kuliabudu
 
Jibu maswali niliyouliza hapo,usijifanye una akili wakati unapigia magoti sanamu la zege la kike kuliabudu
Hamna swali lenye akili umeuliza hapo

Mmechukua wapuuzi wenzenu ambao hawajui taratibu Wala nyimbo Moja ya kikatoliki

Mnazidi kumdhalilisha Jezebel mnywa damu za watu kama yule wa enzi za Ahabu alivyoua watu hovyo

Lakini kiongozi ni kawaida akiwa mjinga LAZIMA azungukwe na wajinga
 
Hawa ni mabumnda waliojificha kwenye kujifanya wakatoliki. Pia waelewe kwamba ata balozi wa papa anajua kinachoendelea hapa tanzania
 
Hayupo. Kanisa Katoliki nyimbo zake ni lazima zipitishwe na kamati ya liturujia, ndiyo maana hata tune yake ni ile ile miaka yote. Wimbo ukiimbwa tu na kwaya ya Kanisa Katoliki, wala huulizi huu wimbo ni wa kanisa gani.
 
Back
Top Bottom