Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?

Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?

FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Kumbe wakatoliki huwa wanaimba na wao
Basi mwendo utakuwa ni ule ule kama wasanii kutohudhuria shoo zao
 
Naomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Nyimbo za kikatolic ni ngumu ngumu huwa zinaimbwa na wakatolic wenyewe. Hao jamaa walitakiwa wapate mda wa kuzikalili. Hiyo pambio ni kkkt na makanisa ya kilokole. Huwez kuta inaombwa na wakatoliki
 
Naomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Wale charistma
Nyimbo za kikatolic ni ngumu ngumu huwa zinaimbwa na wakatolic wenyewe. Hao jamaa walitakiwa wapate mda wa kuzikalili. Hiyo pambio ni kkkt na makanisa ya kilokole. Huwez kuta inaombwa na wakatoliki
Wale wa charismatic huwa wanaimba tenzi za rohoni lakini sijawahi kusikia tenzi za rohoni kwenye misa takatifu...
 
Walae wakatoliki 100 wa mchongo kutoka buza kwa lulenge , hatimae wameonekana wakiimba mapambio ya Yesu ndio mwamba huku nyuso zao zikionyesha wasiwasi mkuu. Lakini pia kulisikika sauti zilizoashiria ukinzani wa mashairi baina ya waimbaji..
Mdomdo hawa mazezeta wanaenda kuumbuka
 

Attachments

  • AQOqhzjO6nZq3aq6XnZOp1J4h3OnqroDxJuIbvmDZ9p5MAYPCg9Pl4dn4us5K0UnmMrZIQbUTiQ-seh3i5zAusuB.mp4
    3.3 MB
Wimbo wa walokole tangu lini ukaimbwa na wakatoliki 🤣 kudanganya kazi sana, bora wangetafuta hata wimbo mmoja wa Bikira Maria 🤣 Very stupid people
Halafu eti papa wanamuita papa wa 16 wakati ni papa Leo wa 14
Hakuna kitu kibaya kama kutumika
Eti papa wanamuita baba mtakatifu wa kumi na SITA wakati ni baba mtakatifu Leo wa 14 ha ha ha ha ha ha ha ha hili igizo hajaliriheso vizuri they could have rehearsaled it well before staging such a trash.
 
Back
Top Bottom