Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Waje tuNgoja waje wabishi
Wanajua kutumia, ila hawajajua njia mbadala za kuwawezesha kuendeleza huo mnyororo ili asiishi kwa tabu baada ya akaunti kukauka.Vipi, je wanaopata mshahara wote unaishia kwenye matumizi na kubakisha zero balance hadi mshahara ujao naoa wanajua kutumia au wanalazimika kutokana na ufinyu
Nimekuja mkuu kubishana.Waje tu
Huyo anajua matumizi ya pesa; pesa haitakiwi kutunzwa, inatakiwa iende kwenye matumiziKama ukipeleka pesa mahali akaunti yako inakonda kiasia Cha kubaki na 20k 50k ni wazi we ni mgaa gaa na upwa
Utunze pesa au utumie pesaKupanga ni kuchagua,
Huo ndio ukweliIt's true that poor people focus on saving but rich people focus on investing,, lakin 20k kwa account 🥱
Motivation na bia zinakuharibu kijanaHuyo anajua matumizi ya pesa; pesa haitakiwi kutunzwa, inatakiwa iende kwenye matumizi
Nimeipenda hii ''It's true that poor people focus on saving but rich people focus on investing''Nimekuja mkuu kubishana.
Pesa huwa inatafutwa kwa ajili ya mambo ya msingi 6. Mavazi, makazi, chakula,Elimu,Usafiri na Afya. Ziada ni starehe na burudani...
Kwa nini 'cash' iwe ni muhimu?Motivation na bia zinakuharibu kijana
Whatever the case cash bado ni muhimu sna
Ukishajua kutumia pesa lazima ujue na namna ya kutafuta pesa, ili ule mzunguko uwe endelevu; na si kutunza pesa.Kwenye business kuna ups and down huwezi toa pesa yote kwa account ukabaki huna kitu.
Kuna dharura ambazo ukiwa na saving zinakuepusha na aibu ndogo ndogo.Huyo anajua matumizi ya pesa; pesa haitakiwi kutunzwa, inatakiwa iende kwenye matumizi
Wa namna hiyo hawajajua matumizi ya pesaMatajiri wanasifika sana kuwa na tabia ya ubahili sana wa fedha.
Hawatumii kabisa fedha zao bila kuwepo na sababu ya msingi kwa sababu wanajua matumizi sahihi ya fedha, kuanzia kuweka bajeti, kupangilia fedha zao, kujilipa kwanza wao wenyewe, wanawekeza fedha zao sehemu ambazo zina faida, kuweka fedha ya dharura na kuishi chini ya kipato!
Ndo maana nikasema kama unatunza inayobaki baada ya kutimiza mambo yako muhimu upo sawa.Nimeipenda hii ''It's true that poor people focus on saving but rich people focus on investing''
Pesa haitakiwi kutunzwa, inatakiwa iende kwenye matumizi; kama bado unatunza jua hujui kutumia pesa.
Na wengi wanaojua matumizi ya pesa, wanakuwa wametengeneza 'brand', vitatizo vidogo vidogo brand yake inamaliza.Kuna dharura ambazo ukiwa na saving zinakuepusha na aibu ndogo ndogo.
Upo matembezini umejikwaa ukaangukia trei za watu za mayai unaambiwa ni laki mbili na nusu badala ya kumwambia twende bank nikutolee unatangulizwa polisi ndugu zako na marafiki ndo wakuchangie.