Wanaojua kutumia pesa, akaunti zao zinasoma salio kidogo

Wanaojua kutumia pesa, akaunti zao zinasoma salio kidogo

Na wengi wanaojua matumizi ya pesa, wanakuwa wametengeneza 'brand', vitatizo vidogo vidogo brand yake inamaliza.
Sio kila sehemu brand inafanya kazi. Wewe ni mwenyeji wa DSM, famous hapo kariakoo, umeenda tegeta bahati mbaya umegonga kibanda cha mtu, raia hao wapo wamekuweka mtu kati, unaambiwa baba gharama ni laki mbili we lipa ondoka zako, utaanza yoo mm brand kariakoo? Mwenye saving anavuta kwenye simu, analipa na utaona pesa ilivyo na nguvu kuliko brand.
 
Pay check to paycheck LIFE

Hand to mouth LIFE.

Kuwa na Abundance ni muhimu Sana ili kujiweka mbali na mambo nimeandika hapo juu.👆
 
Back
Top Bottom