Sio kila sehemu brand inafanya kazi. Wewe ni mwenyeji wa DSM, famous hapo kariakoo, umeenda tegeta bahati mbaya umegonga kibanda cha mtu, raia hao wapo wamekuweka mtu kati, unaambiwa baba gharama ni laki mbili we lipa ondoka zako, utaanza yoo mm brand kariakoo? Mwenye saving anavuta kwenye simu, analipa na utaona pesa ilivyo na nguvu kuliko brand.
Vyote kwangu ni muhimu, siwezi kutumia pesa yote kwa account kiasi cha kubakiwa na 20k au 10k, lakini pia siwezi kukaa na pesa kwa account bila kuizungusha.