Wanaojua magari Naomba kujua changamoto za Toyota Sienta

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,

Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?

Hasa katika barabara za vijijini?
 
Kuna shida ndogo ndogo za Sienta kama Wiring errors. Kiti cha katikati waga kinachoka hakinasi kwenye reli hivyo kama mnatembea ukasimama watu wanajibana kati ya kiti cha mbele na cha kati. Sliding door haina maisha marefu kama Raum. Bodi yake ni mayai inawahi sana kuchoka.

Vinginevyo Sienta ni gari nzuri.
 
Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,

Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?

Hasa katika barabara za vijijini?
Probox ni kaz kabisa, Sienta waachie ma bank teller chief.

Au kama upo njema komaa upate Caldina, inabeba mali ukirudi unabeba na abiria...🤣
 
Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,

Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?

Hasa katika barabara za vi
Moja ya changamoto kubwa ya hiyo gari ni kuwa ukipita mtaani na hiyo gari watu wanajua ni slay queen 👸 anapita so jiandae na hiyo changamoto kama wewe ni wa kiume.
 
Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,

Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?

Hasa katika barabara za vijijini?
Achana kimeo hicho hiyo ni bajaji iliyochangamka inatabia ya kuua injini.
 
Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,

Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?

Hasa katika barabara za vijijini?
kipengele chake ni body kuwa laini kama nyanya tu hivyo kitachakaa mapema ila technically ni gari imara sana kama ilivyo probox tu.
 
Nje ya mada 🤝Mkuu Extrovert tia neno kwenye kwenye uimara wa Toyota Vits ya 2015 engine 1KR cc 990 kwa matumizi ya mizururo ya town na off road za hapa na pale.Vipi uimara wa body na engine.Pia changamoto zake kubwa hii gari ni zipi???🤝
 
Chukua pro box au suceed, mi niba sienta mwaka wa 4 huu, ila naitumia kwa misele ya dar na maramoja moja naruka nayo mikoani, moro, dom, arusha. Changamoto zake rough road haipendi sana, pia ikijaa inashuka sana na kuharibu bampa hasa nyuma, pia mlango wa kati sliding door hauna maisha na siti ya row ya kati zile loki zinalegea ukisimama gafla au kwenye matuta kita kinasogea mbele au nyuma, ila engine, gear box, ulaji wake wa mafuta uko poa kabisa
 
Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,

Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?

Hasa katika barabara za vijijini?
Vigari vya sokoni haviwezi shuruba za mishemishe
 
Back
Top Bottom