incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Probox ni kaz kabisa, Sienta waachie ma bank teller chief.Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,
Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?
Hasa katika barabara za vijijini?
Moja ya changamoto kubwa ya hiyo gari ni kuwa ukipita mtaani na hiyo gari watu wanajua ni slay queen 👸 anapita so jiandae na hiyo changamoto kama wewe ni wa kiume.Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,
Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?
Hasa katika barabara za vi
Achana kimeo hicho hiyo ni bajaji iliyochangamka inatabia ya kuua injini.Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,
Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?
Hasa katika barabara za vijijini?
Sawa mkuu shkrnAchana kimeo hicho hiyo ni bajaji iliyochangamka inatabia ya kuua injini.
Aisee wewe ni mjanja Sana....mtoa mada fuata ushauri huuProbox ni kaz kabisa, Sienta waachie ma bank teller chief.
Au kama upo njema komaa upate Caldina, inabeba mali ukirudi unabeba na abiria...🤣
kipengele chake ni body kuwa laini kama nyanya tu hivyo kitachakaa mapema ila technically ni gari imara sana kama ilivyo probox tu.Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,
Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?
Hasa katika barabara za vijijini?
Nje ya mada 🤝Mkuu Extrovert tia neno kwenye kwenye uimara wa Toyota Vits ya 2015 engine 1KR cc 990 kwa matumizi ya mizururo ya town na off road za hapa na pale.Vipi uimara wa body na engine.Pia changamoto zake kubwa hii gari ni zipi???🤝kipengele chake ni body kuwa laini kama nyanya tu hivyo kitachakaa mapema ila technically ni gari imara sana kama ilivyo probox tu.
Vigari vya sokoni haviwezi shuruba za mishemisheWakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,
Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?
Hasa katika barabara za vijijini?