Hasa huku kweny malori aloh wanasumbua sanaKuna mbuzi kafungiwa hiyo kamba anakula kwa urefu wa kamba yake
Haya mambo tulishasahau enzi zile yamerudi yana mwisho Watanzania sio wajinga siku zoteNahis ndio hao hao wazee wa Wrong Parking..
Walifunga gari yangu na ile michuma yao wakakwangua rangi pia sikuona vzr wakat natak kutoka kumbe tyre imefungwa bumper nikalijeruhi kdg...
Kweliii mkùuu. Ngoja niende dodoma nkaangalie hizi tendazinatolewaje yaan.....Wakiivuta bila laki tatu ukomboi gari Yako,laki ya traffic laki mbili ya breakdown,na breakdown ni za matrafick.
Ukipata nafasi ya kupiga nchi hii usimuone huruma mtu
Nasikia sasa anamla Meek Mill Pdidy unawafunga kamba wanaume wenzio🤣🤣Pdidy🤣
Nyingi zinamilikiwa na askari hao hao wa usalama barabaran.Kuna mambo yanatokea watu wanakaa kimya inasikitishaa sana
Kuna mradii sijui wa nani yaan gari isiaribikee njian dk 😱 wako na breakdown wanavuta gariyako
Inasikitisha sana naamini manispaa mkooo mnajua hawaa watu ushauri tu waonywe waondoke kuna siku mtasikia mambo ya ajabu watanzania wakiwa kimya kwa mda wanapobadilika hamtoamini
Hujui thamaniii yagari unavuta kirahisi kabisaa
Hope mtabadikika manispaa
Safi sana. Waendelee kuyavuta mpaka raia watie akili, waache uoga wa kondoo.Kuna mbuzi kafungiwa hiyo kamba anakula kwa urefu wa kamba yake
Hasa huku kweny malori aloh wanasumbua sana