Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Vipi kuhusu single fathers?
Mimi nilifurahi kabisa , kwasababu aliacha kiherehere cha kutaka kubaki na mtoto, ikabidi abaki kwangu๐Naona huko kuolewa kabisa ndio kunawapasua vichwa single fathers. Hahahah.
Tunajua mkuu sema tujifanye tu hatujui.Hatuwezi jua mkuu
Tuliodate single fathers ndio tunaelewa shida zao. TuacheHamna tatizo la single father wala single mother
Issue kubwa ni uwezo wa kumlea mtoto .
Kama MTU hana uwezo wa kulea mtoto awe mwanamke au mwanaume asianze kuzalisha au kuzaa mpaka at least awe stable
Watakusikia basi?Hamna tatizo la single father wala single mother
Issue kubwa ni uwezo wa kumlea mtoto .
Kama MTU hana uwezo wa kulea mtoto awe mwanamke au mwanaume asianze kuzalisha au kuzaa mpaka at least awe stable
Mtoto ni wa mama ujue. Oooho. Mie nisingekubali. HahahahMimi nilifurahi kabisa , kwasababu aliacha kiherehere cha kutaka kubaki na mtoto, ikabidi abaki kwangu๐
Wadada na wao kama hauna hela na kibamia wanakusagia kunguni , mimi nawapenda single maza il vita yao na gen z nawaachia๐ ๐Tunajua mkuu sema tujifanye tu hatujui.
Tafuteni uchumi muwe Financial stable. Then ndo mfikirie kuzaa au kuzalisha out of that malalamiko yenu yatakuwa endlessTuliodate single fathers ndio tunaelewa shida zao. Tuache
Ungefanya nini na jamaa anaetaka kukutunuku ndoa kakaza๐Mtoto ni wa mama ujue. Oooho. Mie nisingekubali. Hahahah
Kuna mambo hata hayatatuliki kwa fedha.Tafuteni uchumi muwe Financial stable. Then ndo mfikirie kuzaa au kuzalisha out of that malalamiko yenu yatakuwa endless
And that's simple mathematics.
Ningesawazisha na wewe tulee mtoto wetu๐Ungefanya nini na jamaa anaetaka kukutunuku ndoa kakaza๐
Hahaha wakati na mimi nilishangilia kutoka kifungoni๐Ningesawazisha na wewe tulee mtoto wetu๐
Hahaha, ngoja wapunguzwe speed ya uhuni na kina Natafuta AjiraWadada na wao kama hauna hela na kibamia wanakusagia kunguni , mimi nawapenda single maza il vita yao na gen z nawaachia๐ ๐
Dah. Timu kataa ndoa jamani ni shidaHahaha wakati na mimi nilishangilia kutoka kifungoni๐
๐๐ vijana wameona isiwe tabu na wao wanatuma ballistic missle ๐Hahaha, ngoja wapunguzwe speed ya uhuni na kina Natafuta Ajira
Kuna mambo hata hayatatuliki kwa fedha.
Hahaha๐๐ vijana wameona isiwe tabu na wao wanatuma ballistic missle ๐
Ndoa iwe na amani sio uwanja wa fujo sasaDah. Timu kataa ndoa jamani ni shida
Hii vita imekita mizizi ndani mno kuingilia ni ngumu sana๐Hahaha
Bana hata uwe na uchumi stable kulea watoto peke yako sio jambo jepesi ujue. Yaani malezi sio mepesi hata uwe na hela tena kama hauna napo ndio kabisaaa.Unadhani single mothers wangekuwa na uchumi stable wangekuwa wanalalamika ?. Kama ilivyo Sasa?