Wanaolalamikia 'SINGO MAZA' wasipuuzwe. WANA HOJA

Yes , kwakuwa umepewa Akili make sure unafanya calculation ktk Kila MOVE yako.

Maswala kama kuzaa ni mambo sensitive , hakikisha umejiweza kiuchumi kwanza then ndo ufikirie kuzaa au kuzalisha

Out of that , tumia Condoms (Lifetime).
 
Unashauri nini kifanyike kuyaepuka haya?
Hatuwezi kuyaepuka haya yote. There will always be irresponsible people out there. Kuyapungunguza tuendelee kukumbushana umuhimu wa maadili. Ndoa ziheshimiwe. Ukizaa, tunza. Iwe kwa hiari au kwa shuruti. Vijana wahimizwe matumizi ya contraceptives.
 
Aah kwakweli wanatunyoosha hii nyuzi sijui ya saba kwa leo tu, na singo maza mmoja akizingua huko ni wote, heri ku-avoid hast generalizations tu!
Halafu watu watambue kwamba hata mwanamke ana uhuru wa kumwacha mwanaume. Akaamua aishi zake mwenyewe na mtoto.

Si kila single mother anataka kuwa na mwanaume.

Kuna watu kwenye hii Dunia, wanataka kuzaa tu watoto kisha wabaki wenyewe wakiwalea.

Hawataki masuala ya kuishi mume na mke.
 
Yes , kwakuwa umepewa Akili make sure unafanya calculation ktk Kila MOVE yako.

Maswala kama kuzaa ni mambo sensitive , hakikisha umejiweza kiuchumi kwanza then ndo ufikirie kuzaa au kuzalisha

Out of that , tumia Condoms (Lifetime).
It’s not about me homie, i know ball!

Jamii huwa inabadilika collectively, acheni kujificha kwenye shamba la karanga.
 
It’s not about me homie, i know ball!

Jamii huwa inabadilika collectively, acheni kujificha kwenye shamba la karanga.

Ukiwa umepewa Akili ila hauzitumii je unafikiri ni sahihi.

Swala la kuzaa kwa 100% linaamuliwa na mwanamke

Kwahiyo is ur responsibility kuhakikisha una calculate every move in ur life .

Kumlaumu Mwanaume ni utoto mkubwa kabisa .
 
Kuna watu wengi sio single mothers lakini ni washenzi. Tusiwanyooshee vidole single mothers kama vile hao watoto waliwapata kwa kujipa mimba wenyewe. Kulea mtoto sio kuwa na hela tu kuna mambo mengi sana madogo madogo yanahusika. Tusiwape presha zisizo na ulazima. Kama umeingia kwenye uhusiano na single mama ukaona mambo hayaendi achana naye kwa amani badala ya maneno mengi.
 
Bwashee, kabla sijaamua kufanya hayo maamuzi nikapita pita humu jukwaani nikakuta nyuzi nyingi zinasema tuoe mabikra ila cha ajabu sio tu kumpata aliye bikra imekua ngumu ila hata yule ambae hana mtoto ni ngumu😅😅.
Hahaha bwashee mbona wapo watoto kibao hata sio single maza?
 
Hatuwezi kuyaepuka haya yote. There will always be irresponsible people out there. Kuyapungunguza tuendelee kukumbushana umuhimu wa maadili. Ndoa ziheshimiwe. Ukizaa, tunza. Iwe kwa hiari au kwa shuruti. Vijana wahimizwe matumizi ya contraceptives.
Sahihi, ila kwa kelele hizi za mitandaoni huenda mabinti wataogopa kulombwa bila kinga! Tuwahimize walio karibu yetu pia!
 
Ukiwa umepewa Akili ila hauzitumii je unafikiri ni sahihi.

Swala la kuzaa kwa 100% linaamuliwa na mwanamke

Kwahiyo is ur responsibility kuhakikisha una calculate every move in ur life .

Kumlaumu Mwanaume ni utoto mkubwa kabisa .
Na mwanamume kumlaumu mwanamke ni unini?

Unamaanisha wanawake wasizae? kwasababu kama ulisema mwanamke azae akiwa na uwezo wa kutunza, maana yake umeshajiondoa….na maana yake nyingine ni kuwa kila mwanamke ambaye amezaa yuko kwenye risk ya kuwa single mother….!
 
Absolutely! Na hapo ndipo wanaposhindwa kuelewa, sio kila mtu anazaa na mtu ili awe mke wa mtu.. mwingine anatamani kuwa na mtoto ila hana shida ya ndoa na anajiweza kwahiyo hawezi kutumbukia kwenye kundi la singo mamaz wasiojitambua!
 
Shukrani.

Bahati mbaya wanaume waliokomaa kifikra wanaitwa Simps 😂 no win !
 
Being a single mother sio tatizo na halijawahi kuwa tatizo kwa wanawake waliojipanga kuzaa .

Tatizo kwa Hawa wanawake wajinga wanalalamika kuwa wametelekezewa mtoto /watoto huu ni ujinga

Inawezekanaje mtoto wako ulieamua kumzaa mwenyewe ulalamike kuwa umetelekezwa
 
Kuna Vijana humu ni watoto ya single mother ila wakisikia single mother wanashambulia kweli, wanajua single mother ni cheo cha mpenzi tu kumbe hata mzazi aliyekulea bila baba yako ni single mother.
It’s called resentment, somehow somewhere mama zao hawakuweza kuwapa walichopaswa kuwapa, it’s life shit happens…. So low-key wamewaresent single mothers wote.

Nayajua mashambulizi na nayajua maonyo nikiyaona…..
 
Ukiwa umepewa Akili ila hauzitumii je unafikiri ni sahihi.

Swala la kuzaa kwa 100% linaamuliwa na mwanamke

Kwahiyo is ur responsibility kuhakikisha una calculate every move in ur life .

Kumlaumu Mwanaume ni utoto mkubwa kabisa .
Hahaha. Wana kamsemo kao wanasema "it all starts with a man".
 
Absolutely! Na hapo ndipo wanaposhindwa kuelewa, sio kila mtu anazaa na mtu ili awe mke wa mtu.. mwingine anatamani kuwa na mtoto ila hana shida ya ndoa na anajiweza kwahiyo hawezi kutumbukia kwenye kundi la singo mamaz wasiojitambua!
Sasa kwa wamatumbi huku, ngumu sana kuelewa hii.

Ngumu sana kuelewa uhuru binafsi wa mtu.

Watu walisha karirishwa, Mwanaume lazima aoe. Mwanamke lazima aolewe na aishi na Bwana milele yote.

Kumbe ni Ujima tu na utamaduni wa kishenzi.

Watu wana uhuru na faragha zao binafsi wala hawapaswi kuingiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…