Wanaolilia legacy ya Hayati Magufuli someni alichoandika Bollen Ngetti

Kula 5 mkuu
 
Kunywa uji wa futar nakuja kulipa.

Hayat hakustahili kuzikwa kwa heshima kwa matendo yake mfu.
Hata sijaelewa mambo yale. Watu tukanyimwa sherehe na kulazimishwa kuomboleza.
 
Na wale kinamama walioweka kanga zao njiani lilipopita gari walikuwa ni wasanii.

Punguza akili za kitoto.
 
Painful. Nilipoteza ndugu zangu 2 kwa Corona halafu mtu anasimama anakebehi Corona. Wakaibatiza Pneumonia. Nina hasira kali.
 
Umemaliza mkuu!
 
Ha ha ha
 
Very true
 
Labda hii ndiyo legacy kaacha huyo katili kwa kujenga hofu miongoni mwa wananchi na kufuta kabisa sifa yetu ya kisiwa cha amani. Kuna watu wanaongelea ukondoo wa Watanzania na kwa kweli inatia huruma. Hebu watazame hawa wasanii kwenye hii video...eti hawa ndio watunga sheria ambao wanatakiwa waisimamie serikali, upuuzi mtupu!
Your browser is not able to display this video.

Mwaka 1985 waligonga meza hivi hivi kwa Mwinyi
Mwaka 1995 wakagonga meza hivi hivi kwa Mkapa
Mwaka 2005 waligonga meza hivi hivi kwa Kikwete
Mwaka 2015 wakagonga meza hivi hivi kwa Magufuli
Na sasa wanaendelea kugonga meza hivi hivi kwa Samia...

Kweli tutafika? Watu wale wale, akili zile zile, unafiki ule ule...anaweza, anaweza, anaweza na vigelegele...

Your browser is not able to display this video.

Mwaka 1985 walimwimbia hivi hivi Mwinyi
Mwaka 1995 walimwimbia hivi hvivi Mkapa
Mwaka 2005 wakamwimbia hivi hivi Kikwete
Mwaka 2105 wakamwimbia hivi hivi Magufuli
Na sasa wanamwimbia Samia

Je tutafika? Wimbo ule ule, watu wale wale, akili zile zile, unafiki ule ule, ujinga ule ule...tuna imani, tuna imani. tuna imani na vigelegele!

Legacy, my foot! Labda ya watu wasiojulikana wanaoteka, kutesa na kuwapoteza wananchi wenzetu!
 
Mkuu,

Huyo Bollen Ngetti asikupotezee muda kana kwamba unafikiria kwa kutumia ubongo wake, he is such a typical coward and failure in everything he attempts to engage supporting influence. He never dared utter such blah blah he is lashing out now during the late's regime, so he is just spewing his personal hatred to relieve his psychosis disorder.

In short Memories generate from Legacy, in the absence of the latter the former automatically is obsolete.

Let's look and examine the following definitions of LEGACY and the context of MEMORIES

A legacy is something that is handed down from one period of time to another period of time. Often it means something handed down from an ancestor or predecessor. Metaphorically, leaving a legacy is planting seeds in a garden you never get to see (Ideas or philosophy, courageous and dares doing something thought impossible, implementing mega projects of infrastructures such as the hydro power generation dam-Stigler’s Gorge, SGR electric rolling stock, building state house mansions local generated financial funds and human capital resources, Tax collection improvement, government & public servants discipline, practical self-reliance conduct, maritime vessel transport improvement, national sovereignty wealth retention-minerals & gas to name a few. You could make a real difference to someone's life by leaving them a generous legacy that stir memories to recall the good deeds with diversity effects to a number of beneficiaries.

A legacy is a gift by money or property which someone leaves to you when they die

A legacy of an event or period of history is something which is a direct result of it, and which continues to exist after it is over. Historical people, situations or things extended in the past and are considered to be a part of history. If you look at an event within a historical context, you look at what was happening at that time and what had previously happened in order to judge the event and its importance.

Difference between legacy and memories

A legacy
of an event or period of history is something which is a direct result of it and which continues to exist after it is over. Therefore, a legacy is usually something tangible and transferable,

Memory refers to the processes that are used to acquire, store, retain, and later retrieve information. There are three major processes involved in memory: encoding, storage, and retrieval. A memory is personal to whoever remembers and when 9retrieved from the past and used at the present whether for recognizing or challenging its authenticity the you acknowledge legacy existence. Human memory involves the ability to both preserve and recover information that has ever learned or experienced.

Maalim Seif Sharif Hamad left a good legacy as being a benchmark on PATIENCE and RECONCILIATIVE figure to recall

Benjamin Mkapa left a lot of good legacy starting from being CONFIDENT, KNOWLEDGEABLE and several other constructive reforms

Julius Kambarage Nyerere Burito left his legacy that speaks of itsself to date

Rashid Mfaume Kawawa (Simba wa Vita) left a very good legacy pillared on patience, submissive/obedient and reconciliative figure of his time

Dr.Omar Ally Juma left a very unprecedented benchmark as a polite, confident, knowledgeable and leader centered figure to harmonize potential clashes in the community

Edward Moringe Sokine left a benchmark legacy stanrdas towards fighting against the corruption, embezzlement, laxity and encouragement to peasants ambitions

Horace Kolimba left legacy for being confident and transparent

And many more have diffent legacies defining their contributions to excel what they believed would relieve the citizens from the hardships they encounter in their day to day income generation to subsist the living standards and subsequent personal development achieved.

So, tell Bollen Ngetti he has missed the point , he needs to be intutioned afresh to flourish according to the status quo.
 
Kitu kinachonitisha Sana Ni kuona kuwa Watanzania wengi Sana bado Ni wajinga na hata wasomi wakubwa ,na wengi zaidi wanaukubali uongo na wamepotezwa na propaganda.
Ujinga wao Ni kwamba kwa Magufuli kujenga Madaraja,barabara,viwanja vya ndege,kununua ndege na majengo wanona hiyo ndiyo Legacy.

Hivi huwa najiuliza Maraisi waliopita hawakujenga?

Tangu Zama za Mwalimu kulikua na Wizara ya Ujenzi,je Wizara ya Ujenzi kazi yake Ni Nini?
Nchi karibu zote Zina Wizara za Ujenzi ama Wizara zinazoshughulikia Mambo ya ujenzi.

Lakini Wizara ya Ujenzi peke yake hawezi kufanya Chochote lazima kuwe na pesa kwa ajili ya Ujenzi,pesa zinatoka wapi?
Sehemu kubwa zinatokana na Kodi ambazo sisi raia wenyewe ndio tunalipa.

Sasa Magufuli au rais yoyote katika Mambo mengine lazima ajenge miundombinu.
Hata mwanangu wa miaka 12 akiwa rais Leo lazima miundombinu itajengwa,
Marekani Hadi leo wanajenga ,Urusi,China,Japan na wengine wanajenga.

Sasa sioni kwa Nini Magufuli asifiwe kwa kujenga miundombinu wakati kujenga Ni kazi ya aseeikali yoyote.

Ningemuona Ni Rais Mahili Kama angeendelea kuwaunganisha Watanzania na kuwafanya kitu kimoja,lakini kwake imekua Ni kinyume,kaleta utengano Mkubwa Sana wasukuma na wachaga wanasimangana,CHATO Ni sehemu ya Tanzania lakini watu wanaisema vibaya Haijawahi Kutokea nchini mji mmoja kusemwa Kama inavyosemwa CHATO.
Vyama vya Siasa na viongozi wao wamekua wakimbizi katika nchi yao na baadhi kukimbia nchi.
Viongozi wa Dini kukubali kumsujudia binadamu na waliokataa kusujudu waliambiwa sio raia.

Legacy gani itaachwa hapa?
Labda kwa vile mie Lugha ya Malkia haipandi vizuri labda Legacy ina maana ya kuacha kumbukumbu ya Mambo mazuri au mabaya.
Kama Ni Legacy ya Mambo mabaya Mwamba kaacha.

Kama Ni ujenzi hakuna kitu.

Sasa kafa tuone Kama miundombinu haitajengwa Tena.
 
Asante kwa ukweli huu!
Nihitimishe kwa kusema Magufuli alizaliwa Chato, akaishi, akatuongoza, akafariki, akazikwa Chato, finito! Hana "legacy' yoyote. Chapeni kazi. No Legacy any more! Karibuni!
 
Hata wazazi wanajenga nyumba za familia na kuleta huduma kama maji na umeme kwenye nyumba sasa mtu Kama Raisi kujenga ni jukumu lake na huduma kwa wananchi, Kikwete angekamilisha katiba mpya pamoja na jinsi alivyokuwa ameachia demokirasia angeacha legacy.
 
Umenena vyema hata Kasangatumbo aliyeanzisha Chama cha DP kupingana na TANU mwaka 1964, alimfanya aishi Tabora tu. Ila akitaka kwenda nje ya Tabora alitakiwa kuomba ruksa kwa RC. Hakuna mtu alikufa kwa kupishana kauli.

Mwendazake alikuwa ni LAANA
 
Umenena vyema hata Kasangatumbo aliyeanzisha Chama cha DP kupingana na TANU mwaka 1964, alimfanya aishi Tabora tu. Ila akitaka kwenda nje ya Tabora alitakiwa kuomba ruksa kwa RC. Hakuna mtu alikufa kwa kupishana kauli.

Mwendazake alikuwa ni LAANA
Na Tanzania tumebarikiwa. LAANA haitakiwi. Na tukiomba huwa tunasikilizwa na Mungu. Ona hata Kimbunga Jobo tumesimama kuna watu waomba serious ikiwemo mimi. Kadri masaa yanasogea tunasikia habari njema kama zile za Mwezi wa Jana. Chini ya code.
 
Na wale kinamama walioweka kanga zao njiani lilipopita gari walikuwa ni wasanii.

Punguza akili za kitoto.
Hao akina mama waliotandika khanga ni MAPUMBAFU na wala hayakustahili kuzaliwa. Kweli angekuwa mkeo katandika khanga wakati mzoga wa DIKTETA muuaji unapita ungejisiakiaje??
Wale Ni MAHAYAWANI, iko siku wakikumbuka UPIMBI huo watajilaumu Sana.

Mimi mke wangu hata kuangalia TBC1 wakati wa msiba nilimpiga MARUFUKU
 
Unaweza kuwataja hao Kwa majina yao mkuu!!
 
Kuna Watanzania wengi wapumbavu ambao walikuwa wanategemea kupata taarifa za upande mmoja wa vyombo vya habari VILIVYO DHIBITIWA ndiyo hao wanadhani amejenga sana miundombinu. Na kuna kuna wale WASUKUMA ambao hakuwabomolea nyumba kama alivyobomoa Kimara halafu kuna wale aliowapa vyeo.

Ila tuachieni sisi ambao ametuvurugia biashara ya korosho, sisi aliotunyang'anya Dolla na sisi ambao amewaweka ndugu zetu rumande kwa kesi za kubandikiza TUSHEREHEKEE kufa kwa DIKTETA
 
Kaumiza wengi? Mapaka watu wakaanza kumteta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…