Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Karanga tra wanakufilisi kwa mikodi kibao. Kwa ujumla nchi imeharibika
Uliona wap😂😂, afu kulipa Kodi n wajibu, unalalamika hakuna ajira, we unatak ukiajiliwa afu wafanyabiashara wasilipe kod utalipwa nn?, Afu sisikii mo dewj na matajr wengine wakilalamika Kodi, ss watoa tukodi ndo makeleleee😂😪
 
Kwa wenye dreams za kuwa workers it's fine, but kwa wenye dreams za kuwa millionaires ndo chance ya kwenda beyond dreams, afu ebu taja nchi dunian iliyoajir wasomi wote wenye vigezo na ujitaj wa kuajiriwa 😋
 
Uliona wap😂😂, afu kulipa Kodi n wajibu, unalalamika hakuna ajira, we unatak ukiajiliwa afu wafanyabiashara wasilipe kod utalipwa nn?, Afu sisikii mo dewj na matajr wengine wakilalamika Kodi, ss watoa tukodi ndo makeleleee😂

Kwa wenye dreams za kuwa workers it's fine, but kwa wenye dreams za kuwa millionaires ndo chance ya kwenda beyond dreams, afu ebu taja nchi dunian iliyoajir wasomi wote wenye vigezo na ujitaj wa kuajiriwa 😋
During the kikwete regime all doctors and teachers were employed all of them regardless of the colleges they graduated from. Mahitaji ya madaktari na walimu ni makubwa nchini. Jpm anafunika matatizo tu. Kikwete alikomba wote huu ni mfano tu kujibu swali lako
 
Kwa wenye dreams za kuwa workers it's fine, but kwa wenye dreams za kuwa millionaires ndo chance ya kwenda beyond dreams, afu ebu taja nchi dunian iliyoajir wasomi wote wenye vigezo na ujitaj wa kuajiriwa 😋
Halafu kwa Nini serikali hii ni bingwa wa kuiga Mambo mabaya ya nchi zingine na kujustify kwamba Kama wale wamefeli Basi na sisi ngoja tufeli tu. Lakini haiigi good things Kama demokrasia na kukuza uchumi na kukuza sector binafsi ila ni mabingwa wa kujustify failures tu.
 
History haifutiki. Hii inasaidia watu wenye akili kutorudia makosa.

Kama nchi hii itakuja kuruhusu mtu kama Magu kuwa tena Rais nchi hii, nchi itakufa kabisa.

CCM wako kimya ila naamini hata wao wamejifunza.
Ukiona wanaojiita wasomi wako mtaani wanalalamika na ajira na bado hawajui wafanye nini basi na huko ccm wapo wa aina hiyo tuu.
 
Washikaji zangu 6 niliokuwa nao mtaani walipata ajira jeshini mwaka 2008 na hii ni baada ya kumaliza form four na matokeo hayakuwa mazuri

Sasa leo hii Tanzania ya jiwe unaweza kupata ajira jeshini kirahisi Ivo!? Tena ukiwa form four failure
 
Au ndo zile wanatangaza wataajiri walimu 13,000 halafu wanaajiri walimu 1000 halafu wanajaza majina ya waliopo kwenye ajira tayari na kusema wameajiri 800. Ajira zilikuwepo kipindi Cha kikwete. Sasa hivi ni siasa tu kwenda mbele na uongo wa kufa mtu
Umesomea nini? Maana una stress Sana, nahitaj kukusaidiaa
 
Si Bora kajiajiri kuliko wewe unalialia humu
 
Umesomea nini? Maana una stress Sana, nahitaj kukusaidiaa
We mwenyewe hapo ulipo ni ubishi tu. Huna ajira au Kama una ajiri rafiki zako au ndugu zako wanateseka ila hutaki kukiri uozo wa serikali kwa sababu ama una ajiri ndogo au unatetea chama Chalo kinachokosa mvuto kila kukicha kinabaki kinategemea jeshi na polisi kubaki madarakani Kama bashiru alivyosema
 
Si Bora kajiajiri kuliko wewe unalialia humu
Mi silii nawaonea huruma vijana wanaomaliza kipindi hiki chini ya huyu dictator anay jari barabara kuliko watu. Mi Nina ajira nzito nilimaliza enzi za jk moenda watu
 
Serikali kama imeshindwa kuwa ajiri watu isiwasomeshe, kumsomesha mtu usimuajiri,moja ni wastage of precious time,and second mtu huyu uliyemsomesha kama hatakua productive kwenye uchumi wetu kwa kutompa ajira, hii inaongeza economic burden katika familia na nchi yetu kwa ujumla
 
Acha Uongo....unasema wakati wa awamu iliyooita ajira zilikuwa nje nje???sema kazi za kujiajiri zilikuwepo walau kuliko sasa....Wakti ule walau mzunguko wa hela za bure bure na mission Town zilikuwepo,,sasa hv hakuna hela za burebure
 
Acha upumbavu ww kwann unanisemea maneno mdomon, hapo kwny huo uzi umeona comment yangu ata moja ya kumtukana jk??
 
About democracy, kila nchi ina democracy yake, kwa sababu tuna utamaduni tofaut, assume bint ako mwenye 15yrs old aje na boyfriend kumtambulisha kwako, Kama unaona it's okay bas democracy yetu inabid ifanane na ya whites, Kama unaona haifai bas ndo na ss Africa tuna limitations zetu kwenye democracy
 
Demokrasia gani ya kuchapana risasi hadharani na kuiba kura mchana kweupe na kuzima internet ili iwe rahisi kuiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…