Nilikuwa nimeandaa bonge la tusi, Ila nakustahi.
Ikawaje mkawa mnashangilia huyo jk kuondoka na kumtukana matusi yote ikiwa kafanya hayo mazuri?
Tafuta comment yako humu ukimtukana ulinganishe na leo unavyomsifia, alafu sema "Mimi ni mjinga"
Tangu nchi hii ipate uhuru, hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete. Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi; ni katika awamu hii kashfa za wizi wa mabilioni ya fedha za...
www.jamiiforums.com