Wanaomiliki Toyota Starlet wanaonekana vituko wakiwa mjini na Vigari vyao




Wewe hata gari huna unakuwa na Maringo hivyo, mnaishiaga kuishi kwenye ndoto na kuwa maskini milele.
 
Kama mtu comfortability kwake ni kua na starlet anaimudu gharama za mafuta na inamrahisishia pia kazi zake, kama maintenance ya gari anaimudu sion sababu ya wewe kumshawishi aone aibu maana hayo ni maendeleo kwake, maana kwanza haimpi hasara na shughuli zinaenda
 
Mwenye starlet hana hii adha, yeye angejipitia zake anacruise huku kaweka kishoka anapiga mluzi na akiwa na uhakika wa kutochomolewa wallet au simu mfukoni. BTW mtoa umesema bado hujafanikiwa kumiliki yako eenh!View attachment 2745760View attachment 2745761
 
Onyesha unayomiliki,wewe,Iache starlet yangu najua nilipotoka nayo mwenyewe na hata mafuta nawema mwenyewe.
 
Naomba mungu anipe uzima mwakani ninunue starlet/Carina au Corolla sprinter
 
vp Kwa side was kijijini inaweza kutumia bila shida au ni town tu
Hiyo inafaa kwa maeneo ya kijijini ukija nayo huku town tutakuona kichekesho huna tofauti na dereva bajaji ila angalau bajaji anaweza fanyia biashara na pia ni common huku town
 
Kikubwa napumua hayo mengine sijui kumiliki gari siyawezi ngoja nyinyi wenye hizo starlet niwaache mvimbe ila hilo haliwezi kubadili ukweli kuwa mnaonekana vituko pia mnadharauriwa sana na jamii.
 
Kikubwa napumua hayo mengine sijui kumiliki gari siyawezi ngoja nyinyi wenye hizo starlet niwaache mvimbe ila hilo haliwezi kubadili ukweli kuwa mnaonekana vituko pia mnadharauriwa sana na jamii.
Mimi sina starlet ila it is very ironic huna hata hiyo starlet halafu unamdharau mwenye nayo... The most funny part is, vipi wewe unachukuliwa kwa heshima kwenye hiyo jamii inayomdharau mwenye starlet nawe hata hiyo huna...

Wakati wewe usiye na gari unadefine kuwa na gari lengo ni kuvimba wengine wenye mafari wanafafanua kuwa gari ni kiokoa muda na ni kirahisishi cha kukutoa sehemu moja kwenda nyingine
 


Sema wewe unawafharau wanaomiliki Starlet sio Jamii. Na huo ni mtizamo wako, hata hivyo sio mbaya kuwa na fikra au mapendekezo ya vitu unavyotaka au kupenda, shida ni ukitaka maoni Yako yawe mapendekezo ya watu wote.

Mie binafsi napenda Suzuki Jimny, zile za 4x4.
Ni imara sana, Zina nguvu, zinatumua mafuta vizuri, gharama za matunzo nafuu sana.
 
Natafuta kazi, nina ujuzi wa kusimamia biashara kwa miaka 5





Ama kweli ujinga mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…