ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Wachambuzi wasiojua mpira wanambagaza Prince Dube binafsi nabaki nawashangaa
Sisi tuliocheza mpira na baadae tukapata course za coaching tunajua hata striker kukosa nafasi ya kukosa goal ni mzuri mno, Ile nafasi ni ngumu mno
Wachambuzi wengi hawaoni potential ya Dube kwakuwa hawajui mpira
Strikers aina ya Dube ni muhimu mno kwenye mifumo ya football ya Kisasa kuliko hata wale wanaofunga
Strikers hawa kimbuni huitwa
1. Support strikers
Hawa wanatengeneza nafasi Kwa Viungo wengi wafunge na hii kazi Dube anafanya vyema
2 False namba 9
Anashuka chini kuanzisha mashambulizi.
Dube ni striker anayefanya runnings nyingi kiwanja, hii ni talent kubwa
3 target man.
Anatunza mpira juu na kuunganisha timu
Nakupa orodha ya baadhi ya strikers hatari walioteka soccer ila sio goal getter wazuri, ila walifaa kimbinu
1. Robert Firmino
Akiwa pale Liverpool hakuwa goal getter mzuri ila alikuwa mzuri kimbinu,
Aliwafanya Mane na Salah wafunge mno
2. Olivier Girioud
Akiwa pale Arsenal alikuwa sio goal getter mzuri ila alikuwa kipenzi cha mbinu za Mzee Wenge
Olivier Girioud alicheza mechi zote za world cup akiwa na France lakini hakufunga goal hata 1
Huyu aliwafanya Ozil na Sanchez wafunge mno
3 Mario Madzukic
Alitamba sana pale Bayern, Juventus na AthletiCo, hakuwa goal getter mzuri ila alikuwa na nidhamu kubwa kimbuni
4 Edin Dzeko
Akiwa Man City, Roma na Inter hakuwa goal getter mzuri ila alikuwa target man
Alikuwa anamaliza msimu akiwa na magoli 5 tu au hata asifikishe,
5 Diego Costa
Hakuwa goal getter mzuri kama Suarez lakini alikuwa aggressive, hold up na kutisha mabeki kulimfanya awe kati ya washambuaji muhimu duniani
6 Ferdinando Torres.
Hakuwa goal getter mzuri akiwa pale Liverpool kama Dirk Kuyt au Peter Crouch hata pale Chelsea
Kazi yake kuburuta mabeki ilisaidia strikers wengine wafunge