Hujanielewa, nilikuwa nasapoti motion yako. Wengine wanaona ni mbovu wakati wewe unaona anafaa si kufunga bali assist. Ndiyo nikasema abadilishiwe majukumu ndani ya uwanja kama unavotanabaisha kuliko kutompangaRudia kusoma uzi
Wewe mwenye uelewa unaendeleaje na kibarua chako hapo Real Madrid?Una uelewa mdogo mno kwenye football ⚽
Yah apunguziwe majukumu ya kufungaHujanielewa, nilikuwa nasapoti motion yako. Wengine wanaona ni mbovu wakati wewe unaona anafaa si kufunga bali assist. Ndiyo nikasema abadilishiwe majukumu ndani ya uwanja kama unavotanabaisha kuliko kutompanga
Hata sub aliomba sio kwamba kachoka ni vile tu yaliyotokeaMe napenda movements zake Ile pumzi ya Dube kuwa nayo sio kawaida.
Nadhani yeye yupo ivo na coach akiongea nae ampe majukumu sio ya kufunga sana Bali ku link timu ili Pacome, Doumbia, Kouma, Mzize na Ecua wafunge sana
Shida ya Dube siyo local matches.Hata sub aliomba sio kwamba kachoka ni vile tu yaliyotokea
Uliona boyeli dakika chache tu alikuwa anatepeta?
Dube ni mwanaume sana basi tu mimi naona ajengewe uwezo wake wa kujiamini zaidi tusimlaumu
Tukumbuke msimu uliopita alikuwa na assist ngapi na alihusika kwenye magoli mangapi
Jamaa mtu sana kuna vi movement anafanyaga dah hatari
Nakubaliana na wewe kuwa Dube ana weaknesses kadhaa kama ulivoeleza, lakini angalia potential yake ambayo Kwenye tactics ni muhimuUnatukosea heshima wana Yanga.
Mbaya zaidi unawakisea adabu na heshimu Roberto Firmino na Fernando Torres. Hao wilwili lini uliwaona wanashikwa kitete, mchecheto, au wenge wakiwa na mpira mbele ya goli?
Lini walipata pressure na woga mbele a Kopites pale Anifield ikiwa imejaa mashabiki kwenye Europian night?
Shida ya Prince Dube ni hofu au kitete siyo kwamba hajui. Sasa mchezaji wa umri wake hawezi kubadilika tena akiwa kwenye timu kubwa yenye shabiki wengi. Huyo mambo mawili tu.
Mosi aachwe aondoke zake au pili timu imtafutie mwanasaikolojia professional kutoka Ulaya siyo Afrika. Sasa hiyo option 2 Ina gharama kubwa bora tuachane naye.
Kama tumeacha watu muhimu Kama Aucho, Gamond, Lomalisa hatushindwi kwake labda Kama Kuna udalali kwenye malipo yake. Anatugharimu pakubwa. Aachie nafasi tujaribu wengine.
NB: Kaangalie video za Firmino jinsi alivyokuwa na utulivu akiwa ndani ya boksi. Huyo Torres ndiyo hatari, habari nyingine kwa kufunga akiwa LFC.
Yah akikosekana ndo tunamkumbukaga.Hata sub aliomba sio kwamba kachoka ni vile tu yaliyotokea
Uliona boyeli dakika chache tu alikuwa anatepeta?
Dube ni mwanaume sana basi tu mimi naona ajengewe uwezo wake wa kujiamini zaidi tusimlaumu
Tukumbuke msimu uliopita alikuwa na assist ngapi na alihusika kwenye magoli mangapi
Jamaa mtu sana kuna vi movement anafanyaga dah hatari
Kwenye mpira striker hata kupata nafasi ya kukosa goli ni ngumu kupata mpaka ufanye movements nyingi za nguvu na akili kubwaDube ni kweli anapoteza nafasi nyingi, lakini tukumbuke hizo nafasi anazozikosa hazijileti zenyewe, ni yeye anaezitafuta, akicheza mshambuliaji mwingine hizo nafasi huwa hazionekani au zinakua ni chache sana, ili Dube afanye vizuri inatakiwa acheze na striker mwingine kama Mzize au Boyeli, na msimu uliopita Dube amekua akifanya vizuri anapocheza na Mzize.
Umeandika vyema sana na kimpira. Ninaweza nikamlaumu Dube kwa muendelezo wa kutoweza kufanya jambo sahi pale anapokuwepo sehemu sahihi. Kwa wanaomlaumu kwa matukio ya jana watakuwa wanakosea sana.Sijaangalia mpira na mimi mara zote nimekuwa nikimsema sana Mpumelelo kwenye changamoto yake ya kukosa nafasi.
Lakini kwa namna alivyoshika headline kwenye huu mchezo nikahisi kuna mistake kubwa atakuwa kaifanya kwasababu walalamikaji wengi awamu hii ni mashabiki wa Yanga wenyewe.
Lakini nilivyoona hii clip inazagaa sana mitandaoni nikaanza kupata mashaka..
View attachment 3493649
Nimekuwa na maswali ambayo najiuliza na sijapata majibu yake
Je tukio hili pekee ndio limemfanya abebe lawama zote ambazo kila mtu anamshushia? Au kuna matukio mengine critically ambayo aliyafanya kuliko hili?
Kwasababu nachokiona mimi hapo ni kitu cha kawaida kwenye football na inaweza kumtokea mchezaji yeyote.
Look, the dude was in motion Mpira umekuja kimo cha goti, (muda haupo upande wako) mpinzani yupo karibu ku win huo mpira and you need to make a quick decision kati ya ku shuti (probability ya kupaisha ni kubwa) au kutuliza ili upate clear shot (probability ya mpinzani kuu-secure mpira ni ya wastani)
Mpumelelo alikuwa kwenye option ya kuchagua kati ya afadhali Vs haiwezekani.
Vipi angelazimisha kushuti na akapaisha, au mpira ungeenda off target kama ilivyokuwa kwa Pacome kwenye 1st leg, mngeacha kulaumu?
Na watu wanajisahaulisha tu, mechi ya mkondo wa kwanza nilibahatika kuangalia kipindi cha pili chote. Kuna nafasi ya kusawazisha bao aliipata Pacome dakika za jioni akiwa peke yake lakini hakubahatika kupata clear shot mwisho shuti lake likaenda nje ya lango.
But nobody blamed him. Why are we so selfish?
So ni kama kuna utabaka ambao mashabiki wameuweka kwa wachezaji wao na kwamba sio kila mchezaji anapata treatment na support sawa kutoka kwa mashabiki.
Ndio maana inaweza kutokea tukio fulani likifanywa na mchezaji A lisisemwe sana wala huyo mchezaji kutukanwa kwasababu kwao ni favorite. Lakini tukio hilo hiilo katika mazingira yale yale yanayofanana likifanywa na mchezaji B anatukanwa matusi.
We should stop being such hypocrital
Kingine watu ni kama hawaangalii mipira ya ligi za wenzetu, matukio kama haya ni mengi na yanafanywa na wachezaji wakubwa.
Angalia hii ya Ronaldo kwenye mechi dhidi ya Al-ain
View attachment 3493650
Hivi kati ya scenario hizo mbili (Mpumelelo na Ronaldo) ipi ambayo inaweza kukupa urahisi kuitetea kuonesha ilikuwa ni changamoto tu ya kikawaida inayoweza kumkuta mchezaji na sio uzembe wa kuthibitisha kuwa mchezaji hana uwezo wa kufunga?
Ukiambiwa uchukue moja kati ya hizo mbili kutetea tukio la kukosa goli, hivi unahisi ni nani zaidi ambaye atakupa kazi ngumu kumtetea?
Honestly ni Ronaldo ndio atakupa ugumu kumtetea, swali ni je Would you be able to draw the same conclusion kama ambavyo ulihitimisha kwenye tukio la Mpumelelo? Utasema Ronaldo hamna kitu? Would you dare to say that huh?
Sasa matukio kama haya kwenye ligi za wenzetu kwa wachezaji wakubwa ni common, lakini wenzetu hawajawahi kuyabeba kwa kipimo cha kubeza ubora wa mchezaji.
So kwa hili, Mpumelelo mnamuonea na hii sio nzuri kwasababu lina side effect kwenye psychology mnazidi kushusha confidence yake.
Kuna matukio kwenye mechi za mbeleni anaweza kuyafanya mkasema "Eeh si umeona, tuliwaambia huyu ni mbovu" lakini kumbe wala maskini ya Mungu hajafanya sio kwasababu ni mbovu ila ni kwasababu yupo mental distracted kupitia kauli zenu za shombo.
Sawa mkuuShida ya Dube siyo local matches.
Shida mechi kubwa za kimataifa.
Unapo muhitaji ajitokeze wakati muhimu yeye ndiyo anapotea na kuwapoteza wenzie kisaikolojia anapo kosa kuzitumia nafasi muhimu. Anaivuruga timu yote kwa pressure.
Nakuelewa saana mkuu. Upo sahihi.Kama haujaangalia mpira, sio sahihi kufanya analysis kwa matukio ambao hukuyaona yote.
Dube ni mchezaji anayeigharimu Yanga kwa kupata nafasi nyingi sana kuliko wachezaji wote wa Yanga lakini anashindwa kuzitumia. Umekuja kumlinganisha na CR7 kwa kupoteza nafasi ya wazi, lakini umeshindwa kujua kama anachowakera mashabiki ni kupoteza nafasi nyingi sana ambazo ni za wazi kabisa. Hili jambo sio la msimu huu tu bali ni tokea msimu uliopita, yaani unapata nafasi 10 za wazi unakosa zote au ndio upate goli moja hilo sio jambo zuri kama striker.
Pacome kupaisha kwake kule Malawi hawezi kulalamikiwa kwasababu kafanya mazuri mengi uwanjani hivyo ni rahisi mtu kusema kuwa ilikuwa ni bahati mbaya, ila Dube anaboa sana, kushindwa kuwa makini, utulivu na kutumia akili anapokuwa langoni mwa mpinzani. Ili kumtegemea Dube katika mechi kubwa ni lazima afanyiwe namna ili abadilike lasivyo Yanga iangalie namna ya kuwatumia wachezaji wengine katika eneo la forward.
Asante kwa kuandika kwa herufi kubwa. Ungebold kabisa.HITIMISHO: PRINCE DUBE HAFITI KWENYE UFUNGAJI AMA ABADILISHWE NAFASI AMA AUZWE.