Wanaomlaumu na kumshambulia Prince Dube ni watu wasiojua mpira

Dube ni mzuri na Akiwa uwanjani anatengeza nafasi nyingi sana Kitu ambacho ni kizuri, Kutengeneza tu izo chances tayari inaonesha dube ni striker mzuri
Dube ni mzuri mno
Japo ana mapungufu yake ambayo inabidi Coach Pedro Valdemour Soares atazame potentials zake
 
Dube huwa anaji position vizuri sana, ila ndiyo hivyo, kuna mambo nadhani yanamzidi.
Nakumbuka Mzize pia alipitia sana hali hiyo...mpaka watu wakawa wanasema haiwezekani na hata kurogwa hakupo vile itakuwa anaendekeza sana nyeto
 
😂🤣😂Hilo la nyeto Sina uhakika nalo
Nadhani ni pressure anataka ku prove kitu
Coach amjenge afanye vitu vile anaweza kufanya Kwa ubora na amjenge asiwe anaogopa kufanya makosa, amuache afanye makosa, acheze Kwa uhuru atakuwa Bora tu
 
Umeandika vyema sana na kimpira. Ninaweza nikamlaumu Dube kwa muendelezo wa kutoweza kufanya jambo sahi pale anapokuwepo sehemu sahihi. Kwa wanaomlaumu kwa matukio ya jana watakuwa wanakosea sana.
Kwahiyo unataka kusema wanaomlaumu kwa matukio ya jana, wamemuona Dube jana? Kiufupi wewe unaungana na walikuwa wanamlaumu Dube jana sema umeshindwa kujielewa tu. Kifupi kilichotokea jana ndio muendelezo wenyewe huo wa kutoweza kufanya jambo sahihi pale anapokuwa sehemu sahihi, ambapo umesha declare kuwa hilo unamlaumu.
 
Ni mchezaji mzuri mno kimbinu
Kila timu inatamani kuwa na Dube
basi tuzipe hzo timu huenda akazisaidia ila kwa Yanga imemshinda michuano mikubwa nafasi inapojitokeza mfungaji anapaswa kuwa kama Simba mwenye njaa..Ukikutana na timu kubwa kama AL AHLY,MAMEROD SUNDOWN NA ES TUNIS halafu unakosakosa nafasi wanakuadhibu ipasavyo. Dube hawez kucheza kama underdog.
 
Naheshimu mtazamo wako Mkuu
 
Dube huwa anaji position vizuri sana, ila ndiyo hivyo, kuna mambo nadhani yanamzidi.
Nakumbuka Mzize pia alipitia sana hali hiyo...mpaka watu wakawa wanasema haiwezekani na hata kurogwa hakupo vile itakuwa anaendekeza sana nyeto
Kuji position halafu end product ni sifuri, je manufaa ya huko kuji position vizuri ni yapi? Timu inahitaji magoli sio blah blah za position huku nafasi nyingi unazipoteza.
 
Good positioning yake ina mchango mkubwa sana, ndiyo maana makocha humvumilia na kuendelea kumuacha. Inawezekana asifunge, lakini inawasunbua mabeki wa timu pinzani, inawapunguzia confidence. Ingekuwa na yeye anashuka chini kabisa kuungana na mabeki kukaba asibgekuwa na msaada.
Ni kweli, nafasi anazozipata inatakiwa azibadil8she kuwa magoli, hapo ndipo anapotakiwa kusaidiwa. Mimi kwa kumuangalia, akiwa na mpira, hata akihisi kivuli kimemkaribia huwa anachanganyikiwq
 
Bila kupatikana goli, huo usumbufu wake utakuwa na impact gani kwenye timu?
Kule Angola kuna move kibao kaziua yeye kwa kuwa na papara na kukosa stamina. Ni mchezaji anayeonesha mapungufu mengi sana, anschoweza ni kukaa tu kwenye maeneo basi.
 
😂🤣Acha hasira mkuu
 
Nenda mbele rudi nyuma
Nenda kulia rudi kushoto DUBE mumepigwa
 
Back
Top Bottom