Dube ana tatizo la fitness linamsumbua kwa muda mrefu, yani akiguswa tu kidogo kaanguka. Yanga wana kazi ya kunoa wachezaji, hasa washambuliaji ili wawe clinical katika umaliziaji.Wachambuzi wasiojua mpira wanambagaza Prince Dube binafsi nabaki nawashangaa
Sisi tuliocheza mpira na baadae tukapata course za coaching tunajua hata striker kukosa nafasi ya kukosa goal ni mzuri mno, Ile nafasi ni ngumu mno
Wachambuzi wengi hawaoni potential ya Dube kwakuwa hawajui mpira
Strikers aina ya Dube ni muhimu mno kwenye mifumo ya football ya Kisasa kuliko hata wale wanaofunga
Strikers hawa kimbuni huitwa
1. Support strikers
Hawa wanatengeneza nafasi Kwa Viungo wengi wafunge na hii kazi Dube anafanya vyema
2 False namba 9
Anashuka chini kuanzisha mashambulizi.
Dube ni striker anayefanya runnings nyingi kiwanja, hii ni talent kubwa
3 target man.
Anatunza mpira juu na kuunganisha timu
Nakupa orodha ya baadhi ya strikers hatari walioteka soccer ila sio goal getter wazuri, ila walifaa kimbinu
1. Robert Firmino
Akiwa pale Liverpool hakuwa goal getter mzuri ila alikuwa mzuri kimbinu,
Aliwafanya Mane na Salah wafunge mno
2. Olivier Girioud
Akiwa pale Arsenal alikuwa sio goal getter mzuri ila alikuwa kipenzi cha mbinu za Mzee Wenge
Olivier Girioud alicheza mechi zote za world cup akiwa na France lakini hakufunga goal hata 1
Huyu aliwafanya Ozil na Sanchez wafunge mno
3 Mario Madzukic
Alitamba sana pale Bayern, Juventus na AthletiCo, hakuwa goal getter mzuri ila alikuwa na nidhamu kubwa kimbuni
4 Edin Dzeko
Akiwa Man City, Roma na Inter hakuwa goal getter mzuri ila alikuwa target man
Alikuwa anamaliza msimu akiwa na magoli 5 tu au hata asifikishe,
5 Diego Costa
Hakuwa goal getter mzuri kama Suarez lakini alikuwa aggressive, hold up na kutisha mabeki kulimfanya awe kati ya washambuaji muhimu duniani
6 Ferdinando Torres.
Hakuwa goal getter mzuri akiwa pale Liverpool kama Dirk Kuyt au Peter Crouch hata pale Chelsea
Kazi yake kuburuta mabeki ilisaidia strikers wengine wafunge
Wachambuzi wasiojua mpira wanambagaza Prince Dube binafsi nabaki nawashangaa

Me napenda movements zake Ile pumzi ya Dube kuwa nayo sio kawaida.Dube sijui anakumbwa na nini? Naona anacheza kwa pressure sana inamfanya anakuwa na kitete mguuni sana
Hebu angalia pasi ile pacome, pale Dube alikuwa anatap in tu pale ila akataka atulize na alikuwa karibu na goli vile??
Ninachokiona jamaa ana pressure sana hasa hizi za mitandaoni
Arudishiwe kujiamini kwake kama Miloud alivyomuamini
Hakupaswa kutoka pale hata kama aliomba sub kiuhalisia imemuumiza sana pale nje hata sisi mashabiki tumeumia sana
Hizo movements zake ni hatari mkuu.Kwa sasa Dube ni mbovu, amezingua sana.
Kama haujaangalia mpira, sio sahihi kufanya analysis kwa matukio ambao hukuyaona yote.Sijaangalia mpira na mimi mara zote nimekuwa nikimsema sana Mpumelelo kwenye changamoto yake ya kukosa nafasi.
Lakini kwa namna alivyoshika headline kwenye huu mchezo nikahisi kuna mistake kubwa atakuwa kaifanya kwasababu walalamikaji wengi awamu hii ni mashabiki wa Yanga wenyewe.
Lakini nilivyoona hii clip inazagaa sana mitandaoni nikaanza kupata mashaka..
View attachment 3493649
Nimekuwa na maswali ambayo najiuliza na sijapata majibu yake
Je tukio hili pekee ndio limemfanya abebe lawama zote ambazo kila mtu anamshushia? Au kuna matukio mengine critically ambayo aliyafanya kuliko hili?
Kwasababu nachokiona mimi hapo ni kitu cha kawaida kwenye football na inaweza kumtokea mchezaji yeyote.
Look, the dude was in motion Mpira umekuja kimo cha goti, (muda haupo upande wako) mpinzani yupo karibu ku win huo mpira and you need to make a quick decision kati ya ku shuti (probability ya kupaisha ni kubwa) au kutuliza ili upate clear shot (probability ya mpinzani kuu-secure mpira ni ya wastani)
Mpumelelo alikuwa kwenye option ya kuchagua kati ya afadhali Vs haiwezekani.
Vipi angelazimisha kushuti na akapaisha, au mpira ungeenda off target kama ilivyokuwa kwa Pacome kwenye 1st leg, mngeacha kulaumu?
Na watu wanajisahaulisha tu, mechi ya mkondo wa kwanza nilibahatika kuangalia kipindi cha pili chote. Kuna nafasi ya kusawazisha bao aliipata Pacome dakika za jioni akiwa peke yake lakini hakubahatika kupata clear shot mwisho shuti lake likaenda nje ya lango.
But nobody blamed him. Why are we so selfish?
So ni kama kuna utabaka ambao mashabiki wameuweka kwa wachezaji wao na kwamba sio kila mchezaji anapata treatment na support sawa kutoka kwa mashabiki.
Ndio maana inaweza kutokea tukio fulani likifanywa na mchezaji A lisisemwe sana wala huyo mchezaji kutukanwa kwasababu kwao ni favorite. Lakini tukio hilo hiilo katika mazingira yale yale yanayofanana likifanywa na mchezaji B anatukanwa matusi.
We should stop being such hypocrital
Kingine watu ni kama hawaangalii mipira ya ligi za wenzetu, matukio kama haya ni mengi na yanafanywa na wachezaji wakubwa.
Angalia hii ya Ronaldo kwenye mechi dhidi ya Al-ain
View attachment 3493650
Hivi kati ya scenario hizo mbili (Mpumelelo na Ronaldo) ipi ambayo inaweza kukupa urahisi kuitetea kuonesha ilikuwa ni changamoto tu ya kikawaida inayoweza kumkuta mchezaji na sio uzembe wa kuthibitisha kuwa mchezaji hana uwezo wa kufunga?
Ukiambiwa uchukue moja kati ya hizo mbili kutetea tukio la kukosa goli, hivi unahisi ni nani zaidi ambaye atakupa kazi ngumu kumtetea?
Honestly ni Ronaldo ndio atakupa ugumu kumtetea, swali ni je Would you be able to draw the same conclusion kama ambavyo ulihitimisha kwenye tukio la Mpumelelo? Utasema Ronaldo hamna kitu? Would you dare to say that huh?
Sasa matukio kama haya kwenye ligi za wenzetu kwa wachezaji wakubwa ni common, lakini wenzetu hawajawahi kuyabeba kwa kipimo cha kubeza ubora wa mchezaji.
So kwa hili, Mpumelelo mnamuonea na hii sio nzuri kwasababu lina side effect kwenye psychology mnazidi kushusha confidence yake.
Kuna matukio kwenye mechi za mbeleni anaweza kuyafanya mkasema "Eeh si umeona, tuliwaambia huyu ni mbovu" lakini kumbe wala maskini ya Mungu hajafanya sio kwasababu ni mbovu ila ni kwasababu yupo mental distracted kupitia kauli zenu za shombo.
tatizo hajaanza leoSijaangalia mpira na mimi mara zote nimekuwa nikimsema sana Mpumelelo kwenye changamoto yake ya kukosa nafasi.

Hivi kwanini kipindi cha pili hatukupata goal?Karibu mkuu
Kwa mantiki yako, kazi yake awe anapasia wengine wafungeNi mchezaji mzuri mno kimbinu
Kila timu inatamani kuwa na Dube