Dube ni mzuri mnoDube ni mzuri na Akiwa uwanjani anatengeza nafasi nyingi sana Kitu ambacho ni kizuri, Kutengeneza tu izo chances tayari inaonesha dube ni striker mzuri
Dube huwa anaji position vizuri sana, ila ndiyo hivyo, kuna mambo nadhani yanamzidi.Dube ni mzuri mno
Japo ana mapungufu yake ambayo inabidi Coach Pedro Valdemour Soares atazame potentials zake
😂🤣😂Hilo la nyeto Sina uhakika naloDube huwa anaji position vizuri sana, ila ndiyo hivyo, kuna mambo nadhani yanamzidi.
Nakumbuka Mzize pia alipitia sana hali hiyo...mpaka watu wakawa wanasema haiwezekani na hata kurogwa hakupo vile itakuwa anaendekeza sana nyeto
Kwahiyo unataka kusema wanaomlaumu kwa matukio ya jana, wamemuona Dube jana? Kiufupi wewe unaungana na walikuwa wanamlaumu Dube jana sema umeshindwa kujielewa tu. Kifupi kilichotokea jana ndio muendelezo wenyewe huo wa kutoweza kufanya jambo sahihi pale anapokuwa sehemu sahihi, ambapo umesha declare kuwa hilo unamlaumu.Umeandika vyema sana na kimpira. Ninaweza nikamlaumu Dube kwa muendelezo wa kutoweza kufanya jambo sahi pale anapokuwepo sehemu sahihi. Kwa wanaomlaumu kwa matukio ya jana watakuwa wanakosea sana.
basi tuzipe hzo timu huenda akazisaidia ila kwa Yanga imemshinda michuano mikubwa nafasi inapojitokeza mfungaji anapaswa kuwa kama Simba mwenye njaa..Ukikutana na timu kubwa kama AL AHLY,MAMEROD SUNDOWN NA ES TUNIS halafu unakosakosa nafasi wanakuadhibu ipasavyo. Dube hawez kucheza kama underdog.Ni mchezaji mzuri mno kimbinu
Kila timu inatamani kuwa na Dube
Naheshimu mtazamo wako Mkuubasi tuzipe hzo timu huenda akazisaidia ila kwa Yanga imemshinda michuano mikubwa nafasi inapojitokeza mfungaji anapaswa kuwa kama Simba mwenye njaa..Ukikutana na timu kubwa kama AL AHLY,MAMEROD SUNDOWN NA ES TUNIS halafu unakosakosa nafasi wanakuadhibu ipasavyo. Dube hawez kucheza kama underdog.
Kuji position halafu end product ni sifuri, je manufaa ya huko kuji position vizuri ni yapi? Timu inahitaji magoli sio blah blah za position huku nafasi nyingi unazipoteza.Dube huwa anaji position vizuri sana, ila ndiyo hivyo, kuna mambo nadhani yanamzidi.
Nakumbuka Mzize pia alipitia sana hali hiyo...mpaka watu wakawa wanasema haiwezekani na hata kurogwa hakupo vile itakuwa anaendekeza sana nyeto
ubarikiwe.Naheshimu mtazamo wako Mkuu
Good positioning yake ina mchango mkubwa sana, ndiyo maana makocha humvumilia na kuendelea kumuacha. Inawezekana asifunge, lakini inawasunbua mabeki wa timu pinzani, inawapunguzia confidence. Ingekuwa na yeye anashuka chini kabisa kuungana na mabeki kukaba asibgekuwa na msaada.Kuji position halafu end product ni sifuri, je manufaa ya huko kuji position vizuri ni yapi? Timu inahitaji magoli sio blah blah za position huku nafasi nyingi unazipoteza.
Bila kupatikana goli, huo usumbufu wake utakuwa na impact gani kwenye timu?Good positioning yake ina mchango mkubwa sana, ndiyo maana makocha humvumilia na kuendelea kumuacha. Inawezekana asifunge, lakini inawasunbua mabeki wa timu pinzani, inawapunguzia confidence. Ingekuwa na yeye anashuka chini kabisa kuungana na mabeki kukaba asibgekuwa na msaada.
Ni kweli, nafasi anazozipata inatakiwa azibadil8she kuwa magoli, hapo ndipo anapotakiwa kusaidiwa. Mimi kwa kumuangalia, akiwa na mpira, hata akihisi kivuli kimemkaribia huwa anachanganyikiwq
😂🤣Acha hasira mkuuBila kupatikana goli, huo usumbufu wake utakuwa na impact gani kwenye timu?
Kule Angola kuna move kibao kaziua yeye kwa kuwa na papara na kukosa stamina. Ni mchezaji anayeonesha mapungufu mengi sana, anschoweza ni kukaa tu kwenye maeneo basi.