To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😉Smart girl [emoji3059]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😉Smart girl [emoji3059]
Kichwa tikiti majiBaada ya ndoa kufungwa, na baada ya miezi sita kupita, katika ndoa 50 zitakazo kuwa salama ni ndoa 10 pekee, nazo baada ya miaka miwili kutakuwa hakuna ndoa,
Why:
Nafsini ya muoaji ya dhati na upendo wa dhati huwa haifungwi na mahari.
Huyo kajaa chuki kichwani mwakeAisee wewe ni Kuhani?
Wasukuma hawatoi mahari bali wanatoa mali tofautishaWanatoa mahari Kama zile za wasukuma za Ng'ombe 15?
Wewe usiwe mshamba bhanaMkaja wa bibi wanatoa?
Inawezekana wao wana watu wao wa kwenda kwa wazazi wa binti kubageini. Ktk hali ya kawaida itabidi wazazi/walezi wakubali maana watabigwa aya na khadithi mpaka mtu ataona aibu,atashusha 'bei'
Atoe kwa watu 1000 huo uwezo umejuaje anao. Mpaka wanataja watu 50 wanajua walichotangaza, na kuhusu usaili hiyo ni hela yao lazima wajue inaenda wapi. Sio vichaa wanafyatuka huko wanataka hela ya kuvutia bangi.Alitangaza 50 tu wamejitokeza zaidi, kama huyu sheikh ana imani ya Mungu anatakiwa awalipie mahari wote waliojitokeza. Usaili wa nini kwenye mambo ya imani?
Anayeolewa(binti) ndio jukumu lake kutaja kiasi cha mahariHiyo mahar sh ngapi
Amlipaye mpiga zumari ndie mchagua wimbo.Siku chache baada ya Taasisi ya Al Hikma kutangaza uamuzi wa kuwalipia mahari vijana 50 ili waoe, zaidi ya vijana 1,000 wametuma maombi wakiwamo wanawake watatu wanaowaombea wachumba zao.
Mkurugenzi wa taasisi hiyo
Shehe Nurdin Kishki amesema Dar es Salaam jana kuwa saa chache baada ya kutangazwa kwa ofa hivo taasisi hiyo ilianza kupokea maombi.
"Tulipotangaza tu siku ile ya Aprili 9 pale Uwanja wa Uhuru tulianza kupokea simu, kwenye kurasa zetu za kijami, barua pepe maombi ya vijana zaidi ya 1,000 wanaoomba kuozeshwa," alisema Shehe Kishki.
Alisema dirisha la kuchukua fomu za maombi limefunguliwa jana hadi Mei 5 mwaka huu na watakaochaguliwa baada ya kufungishwa ndoa pia watapatiwa semina ya ndoa ndipo watakabidhiwa wake zao.
"Hatutaki ndoa hizi ziishie baada ya fungate kwenye talaka. Ndio maana hatutaki vijana wa kukurupuka tu baada ya kusikia tangazo hili, tumelenga wale wenye nia na shida kweli ya mahari. Tunaamini talaka za vijana zikiongezeka ndio na mmomonyoko wa maadili unaongezeka," alisema Shehe Kishki.
Alisema baada ya taratibu zamaombi na mchujo kukamilika ndoa hizo zinatarajiwa kufanyika baada ya miezi mitatu hadi minne kuanzia sasa.
Ametangaza masharti manane kwa waombaji ili kupata sifa ya kulipiwa mahari na kuozeshwa ikiwemo waombaji kuwa tayari wa-metoa posa na kupangiwa mahari.
Alitaja masharti ya vijana wanaotaka kuingizwa kwenye programu hiyo kuwa ni lazima kijana mwombaji awe Muislamu kwa kuwa ndoa hizo zitafungwa na kusimamiwa na Shehe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zuberi Bin Ally.
Aidha, alisema sharti lingine ni lazima kijana mwombaji asiwe na mke, awe amejaza fomu maalumu ya maombi, lazima afanyiwe usaili, awe tayari kufunga ndoa ya pamoja Dar es Salaam, awe Mtanzania na lazima athibitishwe na imamu wa eneo lake.
"Hivi ninavyoongea tayari tumeshapokea maombi kutoka nje ya nchi wakiomba kuozeshwa akiwemo kijana Mtanzania anayeishi Misri. Lakini sisi tumewalenga vijana wa hapa nchini na lazima wakidhi vigezo hapo ili fedha isitumike kwa watu wasio na uhitaji," alisema Shehe Kishki na kuongeza:
"Tutalipa mahari, ukumbi, chakula, vifaa vidogo vidogo vya hapa nchini na lazima wakidhi vigezo hapo ili fedha isitumike kwa watu wasio na uhitaji," alisema Shehe Kishki na kuongeza:
"Tutalipa mahari, ukumbi, chakula, vifaa vidogo vidogo vya chumbani na bwana harusi atapewa kadi 20,10 kutoka upande wake na 10 upande wa mkewe kuja kushuhudia ndoa yake hiyo.
Laah!Siku chache baada ya Taasisi ya Al Hikma kutangaza uamuzi wa kuwalipia mahari vijana 50 ili waoe, zaidi ya vijana 1,000 wametuma maombi wakiwamo wanawake watatu wanaowaombea wachumba zao.

Una huyu naye,kwani mwnaume alijizaa!? Mahali ni utamaduni wa kipuuzi inabidi upingwe na kila mpenda haki,ndo maana nasaport watu wanaokataa kuoaMahari ni razima unataka ubebe mtoto wa watu bure kwani umemzaa weye.
Unataka ukamsage au!?Smart girl [emoji3059]
Mkuu umeongea kitu kikubwa sanaBaada ya ndoa kufungwa, na baada ya miezi sita kupita, katika ndoa 50 zitakazo kuwa salama ni ndoa 10 pekee, nazo baada ya miaka miwili kutakuwa hakuna ndoa,
Why:
Nafsini ya muoaji ya dhati na upendo wa dhati huwa haifungwi na mahari.
Siku chache baada ya Taasisi ya Al Hikma kutangaza uamuzi wa kuwalipia mahari vijana 50 ili waoe, zaidi ya vijana 1,000 wametuma maombi wakiwamo wanawake watatu wanaowaombea wachumba zao.