Wanaoomba kulipiwa mahari Al Hikma wafika 1,000, wapo wanawake, wanatakiwa 50 tu

Wanaoomba kulipiwa mahari Al Hikma wafika 1,000, wapo wanawake, wanatakiwa 50 tu

Kindness na ukarimu, issue zinazofanana na wito wa ndani na upenzi wa dhati wa jambo husika, mfano, ualimu, uwe na utashi kwanza ndipo uusomee!, semina kwa mtu ambaye hana utashi ispokuwa tu wakati umemlazimu kufanya ndoa, patakuwa na shida.
Maneno ya mkosaji
 
Hilo ipo wazi na hata mafundisho yanasema katika hadithi kuwa ndoa bora ni yenye mahali hafifu ,hata kwa ndizi kama mahari ndoa inapita ikiwa muolewaji ameridhia japo swala hilo limepewa uhuru kwa muhisaka kutaja.

Na ndoa ni moja kati ya majambo yanatakiwa yawahishwe katika uislamu maana bila hivyo maranyingi hakuna njia isipokuwa uzinzi kuenea kutokana na hilo wazazi na wahusika wenyewe wanashauriwa mara nyingi kutoweka ugumu katika swala la ndoa. Lakini tatizo miongoni mwa watu wapo ambao bado wabishi na wanafanya mambo yawe magumu.
Watu wanashindwa kutofautisha mahari na mali
 
Mtu ambaye anashindwa kujilipia mahali huyo ndio ataweza kuhudumia familia kweli,mwisho wasiku hao ndio wanaenda kutia mimba na kutelekeza wanawake na watoto,masingo maza wanaongezeka kila uchwao mwisho wasiku ukahaba na umalaya unashamili mitaani.
 
we mfia dini unafananisha serikali na mambo ya imani? Huoni kuwa dini haipaswi kuonesha ubaguzi? Serikali ina namna nyingi kuwahudumia wananchi wake. Wakikosa mikopo kuna sehemu nyingine watahudumiwa, fikiria kuna elimu bure wanasoma watoto wote. Mtu wa dini unaitisha kusaidia watu hamsini kwani hujui kuwa watajitokeza wengi na utaishia kufanya ubaguzi na upendeleo? Dhambi kubwa sana hii ya kujitakia
Wewe unajua dhambi wewe,dhambi ni kumuabudu mungu alie fufuka juzi pia atakufa mwezi desemba hiyo ndio dhambi ilio zaa ukafiri
 
Swali langu ni kwa hao wanawake,wao si ndo wataja kiwango cha mahari ina maana wameshindwa kutaja msahafu au wametaja kisha wanaume zao wamekosa pesa za kununulia?
Kakojoe ulala waache wenye imani yao wajadili
 
Mahari mara nyingi mwanamke anatumia na yeye kufanya maandalizi binafsi ya ndoa ,jambo jipya kama hilo lazima afanye maandalizi ya ziada kwani kutakuwa na mambo ya ziada ambayo yanahitaji fedha hivyo katika haki nyingine inalazimu pesa zitumike hapo inakuwa ngumu kutaja msahafu au kiwango cha chini cha pesa.
Hakuna ulazima wa kutaja msahafu ifahamike mahari haina kiwango wala kitu fulani kinacho itwa mahari bali mahari ni chochote atakacho taka muolewaji kutoka kwa muoaji kulingana na uwezo wake muoaji tajiri akitajiwa milioni 50 sawa masikini kama mimi nikatajiwa 100000 au msahafu hata yeboyebo ndio maana ya mahari tatizo watu wanachanganya mahari na mali
 
hiyo ni taasisi ya kidini haipaswi kutoa ufadhili kwa ubaguzi na upendeleo, hao wote waliojitokeza kulipiwa mahari wanahitaji huo msaada na wote wanastahili kusaidiwa bila hata kufanyiwa usaili. Ukifanya ubaguzi ni dhambi
Ibaguzi uko kwenye tass zenu kila jumapili mnachangia hela nyingi zinajenga shule lakini wewe hapo mchafu koga huwezi peleka mwanao kusoma bule au kutibiwa hata kama unakata roho lakini mapadiri na wachungaji ndio wanao faidika huo ndio ubaguzi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Alitangaza 50 tu wamejitokeza zaidi, kama huyu sheikh ana imani ya Mungu anatakiwa awalipie mahari wote waliojitokeza. Usaili wa nini kwenye mambo ya imani?
Usaili lazima kwa sababu masharti yametolewa, lazm awe muislam, sasa usipomsaili si hata mkristu atajiita Juma ataingia kwenye kupewa/kilipiwa mahar, lkn pia lazim awe amelipia posa, sasa usipomsaili utajuaje km kalipa au bado
 
We
Quran 2:97

Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur’ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.”


ADUI WA JIBRIL (GABLIEL) NI SHETANI NDIE ALIYEMSHUSHIA MTUME QURAN.
Mbwa Malaya ni mdini na una chuki sana kenge we!
 
Usaili lazima kwa sababu masharti yametolewa, lazm awe muislam, sasa usipomsaili si hata mkristu atajiita Juma ataingia kwenye kupewa/kilipiwa mahar, lkn pia lazim awe amelipia posa, sasa usipomsaili utajuaje km kalipa au bado
kuna ubaya gani mkristo akabadili dini na kuwa muislam ikiwa huko atasaidika kupata ndoa haraka?
 
Kwanini unaoa na huna uwezo wa kulipa mahali?

Na wakwe zako watajisikiaje aakijua hiyo mahali wanayopokea umesaidiwa?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ibaguzi uko kwenye tass zenu kila jumapili mnachangia hela nyingi zinajenga shule lakini wewe hapo mchafu koga huwezi peleka mwanao kusoma bule au kutibiwa hata kama unakata roho lakini mapadiri na wachungaji ndio wanao faidika huo ndio ubaguzi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
unachoongea kuhusu hospitali ni kweli, ndio maana mi huponda kotekote palipo na upumbavu na ujinga Mungu hakai hapo. Upuuzi kwenye mambo ya dini umezidi na werevu kamwe hawatakubali kupuuzwa. Nawe kuwa na akili huru usiburuzwe na mihemko na ushabiki wa dini.
 
Dini zimeingia kwenye showbiz rasmi kabisa. Interesting stuffs unfold behind our eye's.
 
Sasa mahari imemshinda kulipa,huko wanaenda kuishi vipi?,kula,kuvaa na matibabu?...wangewapa na ajira ingekuwa bora zaidi.
 
Back
Top Bottom