Wanaoomba kulipiwa mahari Al Hikma wafika 1,000, wapo wanawake, wanatakiwa 50 tu

Mkaja wa bibi wanatoa?

Inawezekana wao wana watu wao wa kwenda kwa wazazi wa binti kubageini. Ktk hali ya kawaida itabidi wazazi/walezi wakubali maana watabigwa aya na khadithi mpaka mtu ataona aibu,atashusha 'bei'
Wewe usiwe mshamba bhana
 
Alitangaza 50 tu wamejitokeza zaidi, kama huyu sheikh ana imani ya Mungu anatakiwa awalipie mahari wote waliojitokeza. Usaili wa nini kwenye mambo ya imani?
Atoe kwa watu 1000 huo uwezo umejuaje anao. Mpaka wanataja watu 50 wanajua walichotangaza, na kuhusu usaili hiyo ni hela yao lazima wajue inaenda wapi. Sio vichaa wanafyatuka huko wanataka hela ya kuvutia bangi.

Kwanza kwa sheria zao dowry inaweza kuwa kidogo sana sasa sijui kwanini hao wakaombe kulipiwa. Kama huwezi toa pesa kidogo vipi mke akipata changamoto ya ghafla ya uzazi, michango tena
 
Hiki Ni Kipindi Cha Utakatishaji Fedha Chafu Kwa Namna Mbalimbali
Biashara Aina Zote, Kilimo Aina Zote Wananchi Wao Wanajua Juhudi Za Mtu Kumbe Pesa Chafu
 
Amlipaye mpiga zumari ndie mchagua wimbo.

Kimantiki hapo iko hivi huyo alielipia ndio mmiliki wa haswa wa hiyo mali bali wewe ni mlinzi, so hapo mke ni wa yule alietoa pesa yake mfukoni.

Kama huwezi tafuta mahali ya kuolea je, utaweza kumtumza huyo mke ama unawaolea wahuni?

Kama kijana huwezi pata mahali ya kumlipia mkeo basi wewe ndo umeolewa.

Kijana wa kiume ni kujidhalilisha kushindwa kupata mahali, pambana pata hata robo ya mahali lakini sio kupewa mke bure.

Baada yankupewa mke bure kumbuka:
1. Kumlisha
2. Kumvisha
3.Malazi
3. Huduma za kiafya
5.Huduma za watoto, nk

Ushuri wangu mwambie huyo Kishki awapatie vijana mitaji mfanye biashara mkue kiuchumi mjitafutie mahali muoe wanawake wa ndoto zenu kwa oesa yenu.

Usiwape samaki bali Wape nyavu wakavue samaki kwa akili zao
 
Usikute walio peleka maombi wengi wao timu ya kataa ndoa ya JamiiForums 🀣🀣
 
Laah!
 
Wanatafutiana majanga tu

Wakishafunga ndoa,kwenye maisha
Wakuzinguana....mwanamke anambwambia mwanaume,we nini kwanza mahari yenyewe ulilipiwa!

Ova
 
Mahari ni razima unataka ubebe mtoto wa watu bure kwani umemzaa weye.
Una huyu naye,kwani mwnaume alijizaa!? Mahali ni utamaduni wa kipuuzi inabidi upingwe na kila mpenda haki,ndo maana nasaport watu wanaokataa kuoa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…