Wanaoondoka CHADEMA ni waliokuwa Viongozi peke yao, Vipi Wanachama?

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
 
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani
inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

imejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa
yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ndiyo wanatoka
chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan wa Nyamgana
kisha Mugumu na kwengineko na kuangalia watu waohudhuria
mikutano hiyo kisha wanavyopambana na polisi picha ya haya,
yaani viongozi wanaotoka chama na wanachama mtaani naona
kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama
na wanachama wabeba kadi za chama wanaojazana katika katika
mikutano ya hadhara ya CHADEMA kisha wakawasindikiza viongozi
baada ya mikutano.

Sijua kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Hao lundo la wanachama unaowaona kwenye mikutano ya chadema ni mapandikizi ya ccm na wapo kwenye payroll ya mwenye nchi
 
Ugumu unakuja kutokana na Bajeti ya manunuzi kushindwa kutosheleza, Inatosha kununua watu 10 lakini haitoshi kununua watu mil 1

Kumbuka kwamba wanaonunuliwa wameahidiwa pia kuhudumiwa kwa ajili ya kujikimu na ikiwezekana vyeo pia
 
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani
inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa
yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao
ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata
mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan wa mkutano wa
Nyamgana Mwanza, kisha Mugumu na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanaotoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wa kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Hawana madhara, siasa ni watu!
 
waohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanaotoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wa kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijua kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Mzee Said hilo naliona ila sishangai kwa sababu kuna kitu viongozi wa Chadema walilipandikiza kwa wanachama, mashabiki na wapenzi wa Chadema nalo ni imani kwa chama na siyo kwa kiongozi. Chama kimewakaa sawa sawa wanachama.

Na hii ndiyo maana halisi ya chama ni mali ya wananchi siyo mali ya viongozi.
Walipojiondoa kina Dr Slaa na viongozi wengine wanachama walibaki, hawakubabaika. Ndiyo kinachotokea sasa.
 
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani
inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa
yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao
ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata
mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan wa mkutano wa
Nyamgana Mwanza, kisha Mugumu na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanaotoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wa kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Itafuata awamu ya chawa kutoka ccm,kujileta chamani,natabiri ujio waLucas Mushaambaa,Tlatlaah,ChoiceVariable na wengine anui.Hivyo mpango wa g55 unazo awamu,hivyo kwakuwa awamu walizoanzia zimeshafale kabla ya kufika robo ya mpango wao nataraji wanajipanga kivingine.
 
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani
inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa
yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao
ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata
mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan wa mkutano wa
Nyamgana Mwanza, kisha Mugumu na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanaotoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wa kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.

Hao wanaoondoka kwani nani anaushawishi kwa watu wakawaida?
Zaidi yakuwa walikuwa wanabebwa na Chama.

Mbaya zaidi ni kujisaliti.
Fikiria mtu aseme walipanga No Reforms na election ati walikuwa wanatishia.
Kweli wanachama waondoke kwa watu wa aina hiyo?
 
Back
Top Bottom