Sio wote wanaojazana ktk mikutano ya CHADEMA ni wanachama au mashabiki wa CHADEMA! na sie CCM pia huwa tunahudhuria na hata wasio na vyama pia wanakuwepo!Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Upo na watu elfu moja , wanaondka 100 kwa mfano shida ipo wapi? Mkuu , hao majoka hachana nayoWachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Yoda,Mzee Said ukimsamehe Nyerere kwa yote unayodai aliwatendea wazee wako
na EAMWS utakuwa mtu sanaš
Siyo wewe tu huyu bad looser katuweka wengi kwenye ignore list yake ya ki G55 hataki kupigwa spana ni kichekeshoMkuu Tindo, nasikia Fundi Mchundo anatishia kukuweka nawe kwenye ignore list, Mbona kuzira sasa kunakuwa kawaida ya wasaliti! G-55 walizira wakijiaminisha wataiweka Chadema kwenye ignore list lakini wapi! Hata mimi tayari kaniweka kwenye ignore list as if I care!
Mikutano ya CCM wanawasomba watu kwa malori, sasa kwenye mikutano ya CDM mnakuja kwa miguu hamsombwi?Sio wote wanaojazana ktk mikutano ya CHADEMA ni wanachama au mashabiki wa CHADEMA! na sie CCM pia huwa tunahudhuria na hata wasio na vyama pia wanakuwepo!
Kukusaidia tu nimeanza kupiga kwa,mara,ya kwanza mwaka 1985. Jiulize wakati huo ulikuwa na miaka mingapi?Haya maelezo yako inaonesha kuwa zama za NCCR - Mageuzi hukuwepo Bali ulisimuliwa tu.
Hakuna mfanano wowote kati ya CHADEMA ya sasa na NCCR - Mageuzi ya zama zile!
Inawezekana umeweka mfanano usio sawa. CHADEMA njia inayopitia haifanani hata kidogo na NCCR - Mageuzi wala CUF.Kukusaidia tu nimeanza kupiga kwa,mara,ya kwanza mwaka 1985. Jiulize wakati huo ulikuwa na miaka mingapi?
Historia ya nchi hii nimeishuhudia tangu enzi za TANU na ASP.