Wanaoondoka CHADEMA ni waliokuwa Viongozi peke yao, Vipi Wanachama?

Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani
inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa
yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao
ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata
mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan wa mkutano wa
Nyamgana Mwanza, kisha Mugumu na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanaotoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wa kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.

Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.

Amandla...
 
Hadi mzee wangu Mohamed Said umeamua kuongea kuhusu hawa madalali wa kisiasa kweli CCM wana hali mbaya na maigizo yao wanayoyafanya kupitia haya mapandikizi yao.

Kwa kifupi saivi Chadema ndo chama cha kweli katika kuwakomboa Watanzania. Ndo Chama chenye watu safi kutokana na kuwa chini ya Viongozi wasafi waliokataa kuwa madalali wa Chama cha Mapinduzi kufanya siasa la kilaghai kuwarubuni Watanzania.
 
Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.

Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.

Amandla...
Suzan Kimwaga anaondoka na watu 50 ni vichekesho sana kiufupi hana ushawishi
 
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Una hakika kuwa wote wanaohudhuria mikutano ya hadhara ya CDM ni wanachama wa CDM?

Hata kama sio mwanachama ni shabiki.
Binafsi sio mwananchama wa cdm wala ccm, ila ni shabiki na mfuasi wa cdm na katika eneo palipo na mkutano wa cdm lazima niwepo.
Ndio kusema kamwe siwezi hudhuria mkutano wa cxm hata aje mama tena ufanyike nje ya nyumba yangu hapa Mwanza.
 
Mohamed Said ni hazina kubwa Sana TANZANIA MUNGU ukubariki
Pure...
Amin.
Sote ni wanafunzi bado tunajifunza kwa kujaribu kuangalia matukio na kuhangaisha akili kufikiri.

Waingereza waliua kwa kuwapiga risasi waandamanaji Amristar wakati wa kupigania uhuru wa India.

Hili lilikuwa jambo kubwa na zito lililohitaji serikali na viongozi wa vyama vya siasa kukaa meza moja kuzungumza.

Gandhi aliwaambia Waingereza damu ya wananchi imemwagika wajitazame upya.
 
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.

Wanachama nadhani inabidi wapewe somo kuwa nao waachane na chama. Maana ni kweli inashangaza why wanahama viongozi daily. Ila wananchi wanajaa mikutanoni. Nahisi chadema itakuwa inawasomba na magari kuwapeleka hao watu.
 
Maelfu kwa maelfu wamekikimbia chama, safari watabaki Lissu na Heche.
Hatukubali ubaguzi.
 
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Wanajiona wao ndio chama, kumbe walizoea wananchi wanapigwa virungu wao wanazunguka kupewa bahasha😀
 
hao viongozi wamejisahau au wanataka kujisahaulisha wao ni bora kuliko chama!
 
Maelfu kwa maelfu wamekikimbia chama, safari watabaki Lissu na Heche.
Hatukubali ubaguzi.
wacha upumbavu wewe! Maelfu? mkifika alfu mje humu! Hicho chama kimepiganiwa na watu wengi sana sio Mbowe aliyepewa mikoba na Baba Mkwe na genge lake tu! Rejea uchaguzi wa kwanza 1995! CHADEMA iliambulia viti vitatu tu na sio hata Machame bali Kigoma, Mpanda na Rombo!
 
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Wanachama hawanunuliki kwavile hawapigi kelelele nyuma ya mikamera, labda vibe la kwenye mikutano, Kwanini wasipeleke hiyo mihela kwenye mikutano ya chadema, ili kunyamazisha vibe
 
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.

Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.

Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.

Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.

Inanishangaza.

Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...

Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.

Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.

Kuna kitu hakijakaa sawa.

Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.

Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Hao viongozi wanaohama walikuwa madalali wa CCM kwa kujinufaisha wenyewe sasa wameumbuka kuwa hawakuwa wanapigania maslahi ya wanachama/wananchi bali matumbo yao!
 
Itafuata awamu ya chawa kutoka ccm,kujileta chamani,natabiri ujio waLucas Mushaambaa,Tlatlaah,ChoiceVariable na wengine anui.Hivyo mpango wa g55 unazo awamu,hivyo kwakuwa awamu walizoanzia zimeshafale kabla ya kufika robo ya mpango wao nataraji wanajipanga kivingine.
Unajua we jamaa fala sana😂 umesababisha nacheka peke yangu kwa sauti
 
Back
Top Bottom