Wanaoondoka CHADEMA ni waliokuwa Viongozi peke yao, Vipi Wanachama?

Mzee Said ukimsamehe Nyerere kwa yote unayodai aliwatendea wazee wako
na EAMWS utakuwa mtu sana😁
 
Sio wote wanaojazana ktk mikutano ya CHADEMA ni wanachama au mashabiki wa CHADEMA! na sie CCM pia huwa tunahudhuria na hata wasio na vyama pia wanakuwepo!
 
Wameshakwambia ndoto zao za kua wabunge na madiwani zimezimwa, hivyo wanaenda majukwaa mengine kutimiza ndoto zao.


Sasa, Wanachama wanasababu gani kuhama? Au nal wana ndoto zao zimezimwa?
 
Upo na Upo na watu elfu moja , wanaondka 100 kwa mfano shida ipo wapi? Mkuu , hao majoka hachana nayo
 
Mzee Said ukimsamehe Nyerere kwa yote unayodai aliwatendea wazee wako
na EAMWS utakuwa mtu sana😁
Yoda,
Nimsamehe Nyerere mimi kwa unachosema ninadai aliwatendea wazee wangu na EAMWS.

Kwanini nimsamehe mimi wakati hakunitendea mie?
 
Siyo wewe tu huyu bad looser katuweka wengi kwenye ignore list yake ya ki G55 hataki kupigwa spana ni kichekesho
 
Sio wote wanaojazana ktk mikutano ya CHADEMA ni wanachama au mashabiki wa CHADEMA! na sie CCM pia huwa tunahudhuria na hata wasio na vyama pia wanakuwepo!
Mikutano ya CCM wanawasomba watu kwa malori, sasa kwenye mikutano ya CDM mnakuja kwa miguu hamsombwi?
 
Haya maelezo yako inaonesha kuwa zama za NCCR - Mageuzi hukuwepo Bali ulisimuliwa tu.

Hakuna mfanano wowote kati ya CHADEMA ya sasa na NCCR - Mageuzi ya zama zile!
Kukusaidia tu nimeanza kupiga kwa,mara,ya kwanza mwaka 1985. Jiulize wakati huo ulikuwa na miaka mingapi?
Historia ya nchi hii nimeishuhudia tangu enzi za TANU na ASP.
 
Kukusaidia tu nimeanza kupiga kwa,mara,ya kwanza mwaka 1985. Jiulize wakati huo ulikuwa na miaka mingapi?
Historia ya nchi hii nimeishuhudia tangu enzi za TANU na ASP.
Inawezekana umeweka mfanano usio sawa. CHADEMA njia inayopitia haifanani hata kidogo na NCCR - Mageuzi wala CUF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…