Naona unataka kupiga pesa .... kazi ndogo sana hiyo ...hizo amplifier ulizo suka zinajulikana kama PUSH PULL AMPLIFIERView attachment 3230366View attachment 3230379ukiwa na idea hautapata shida Sana ila Kama hauna msingi wa umeme kabisa itachukua mda kidogo mpaka kukaa sawa
Naweza kuku chambulia hiyo amplifier yako na kukupa elimu zaidi mfano hapo kwenye resistor ya 22k inayo ungana na resistor ya 220 ohms unajua nini maana yake ? Hiyo 22k ni FEEDBACK RESISTOR...hapo ukitaka kujua gain ya amplifier yako unatakiwa kugawanya hiyo 22k ÷kwa 220= 100 gain hivyo hiyo amplifier yako ina gain ya 100View attachment 3230366View attachment 3230379ukiwa na idea hautapata shida Sana ila Kama hauna msingi wa umeme kabisa itachukua mda kidogo mpaka kukaa sawa
Lwiva mapepe mengi mbona hujamaliza kuchambua
Capacitor na diode ndiyo ujaweka ninajua vizuri ...naweza kuimalizia hata kuunga njia chini kama hauja unga ...hapo kuna capacitor 2 ambazo unaweza kuwekq zenye volt 50 / 47uf au ya 100uf pia kuna diode ujaweka zinaunga kwenye base ya hizo transiator 2 ya kushoto na ya kulia 😁😁Sio mbaya Sana umejtahidi kuchamba ila Kuna kitu umesahau hiyi circuit Kuna vitu kadhaa havipo
Hizo mambo uzuri ni kwamba siyo kila mtu anaweza siunajua lakini shughuli inaanzia kwenye karatasi...Naona unataka kupiga pesa .... kazi ndogo sana hiyo ...hizo amplifier ulizo suka zinajulikana kama PUSH PULL AMPLIFIER
Capacitor na diode ndiyo ujaweka ninajua vizuri ...naweza kuimalizia hata kuunga njia chini kama hauja unga ...hapo kuna capacitor 2 ambazo unaweza kuweka zenye volt 50 / 47uf au ya 100uf pia kuna diode ujaweka zinaunga kwenye base ya hizo transiator 2 ya kushoto na ya kuliaSio mbaya Sana umejtahidi kuchamba ila Kuna kitu umesahau hiyi circuit Kuna vitu kadhaa havipo
Capacitor na diode ndiyo ujaweka ninajua vizuri ...naweza kuimalizia hata kuunga njia chini kama hauja unga ...hapo kuna capacitor 2 ambazo unaweza kuweka zenye volt 50 / 47uf au ya 100uf pia kuna diode ujaweka zinaunga kwenye base ya hizo transiator 2 ya kushoto na ya kulia
Hizo resistor mbili zilizo simama sijaona rangi zake hivyo sijakosea mara nyingi huwa ni 4.7k kama siyo sawa ila nilicho jibu ni kwambq kama ni 4.7k mbili unaweza kuweka 10kSafi sana umejtahidi nakupa 5%/100 nadhani unatakiwa ukasome notes vizuri hakuna sehemu nemeweka 4.7k na maswala ya resistor in series and parallel na yafahamu kijana
Kiufupi nimekukubali unajua kujitetea Sasa nakuletea circuit nyingineHizo resistor mbili zilizo simama sijaona rangi zake hivyo sijakosea mara nyingi huwa ni 4.7k kama siyo sawa ila nilicho jibu ni kwambq kama ni 4.7k mbili unaweza kuweka 10k
Mafundi wakubwa wa amplifier wananiletea mimi ramani zao niwaboreshee kwa kuwapa vipimo sahihi vya omhs na capacitor na kuwafundisha mbinu za kijiniasi kusolve matazizo mfano hiyo amp yako unaweza kufunga mp3 ukazisikia zile sauti za mlio wa bizzzzzeee unao toka kwenye mp3 wengi wenu mnafungaga chaji za simu kuuondoa au kuupunguza ila ningeweza kukuonyesha ni wapi ungeweza kufunga capacitor kwenye hiyo ramani yako na kuondoa kabisa ule mlio wa buzzzz kwenye mp3 bila ya kuangaika na chaji za simu au adapter...semq wewe unaonekana ni wale mafundi uchwala wajuaji wasio weza kutambua wakubwa waa.Kiufupi nimekukubali unajua kujitetea Sasa nakuletea circuit nyingine
Kwanza tunaanza na kujua Gain ya hii amplifier yako hapo tunaitafuta feedback resistor ambayo ndiyo ndiyo hiyo yenye rangi za BROWN BLACK YELLOW hiyo ni resistor kubwa sana ni 100K kisha inaunganika na hiyo resistor ya blue ambayo inarangi ya BROWN BLACK BLACK RED ambayo ni sawa sawa na 10K hivyo kujua gain ya hiyo amplifier yako unagawanya 100k ÷10k= 10 gain SEMA HII AMPLIFIER NAONA KAMA UMEIKOSEA HAPO KWENYE RESISTOR YA BLUE HIYO RESISTOR NI KUBWA SANA NI 10K NADHANI HAPO ILITAKIWA KUWA KITU KAMA 1K TU ILI GAIN YA HIYO AMPLIFIER IWE KUBWA YA KUTOSHA...resistor colour code huwa ni changamoto kwa watu wengi hapo mtu anaweza kudhani kaweka 1k kumbe hiyo ni 10k...kama hiyo resistor ya blue imeungana na hiyo ya 100k hapo kutakuwa na kosa kwenye hiyo ramani hila kama hiyo resistor ya 100k inakwenda kuungana na hiyo resistor iliyo simama wima basi itakuwa sawa hadi nijue value yake hiyo iliyo simama wima ndiyo nitaweza kukujulisha GAIN ya hiyo amplifier yako
470ohms hiyo iliyo simama nadhani Kuna kitu utakuwa umesahau amplifier inatengenezwa kutokana na mahitaji ya muhusika note low resistor value =high current pass kumbuka Hilo brother fundi